Wasioamini juu ya uwepo wa Mungu wanasemaje kuhusu mchawi aliyedondoshwa na nguvu za Mungu?

Ni kweli kuna waigizaji, lakini sidhani kama hayo matukio ni maigizo.

Kuna miujiza halisi na feki.
 
Unaweza kuweka link ya confession yake? Isije ikawa labda ni mwingine.

Kuna miujiza fake, hilo linafahamika, na kuna "maigizo" pia.
 
Mtoto wa muumini alifufuliwa kwa mama wa mtoto kumtaja mungu wa nabii mkuu, masikitiko yangu wiki mbili zilizopita yule nabii kafiwa na mtoto wake wa kiume alishindwa vipi kufanya jambo la kumwepusha mwanae na umauti usimfike?
 
Na huyu mwanamke "aliyefariki" 2020 kwa ajali ya gari na kuonekana 2024 akiwa hai naye pia anaigiza?
 

Attachments

  • MAAJABU!_MREMBO_ALIYEFARIKI_AJALINI_2020_-_AKUTWA_MZIMA_2024_-_NDUGU_WAMKAGUA_KWELI_ni_YEYE......mp4
    13.6 MB
Na huyu je?
 

Attachments

  • ALIYEFARIKI_2020_na_KUONEKANA_2024_AZUNGUMZA_KWA_MARA_YA_KWANZA_-AULIZWA_HUYU_NANI_ASEMA_WAZIR...mp4
    20.1 MB
Huyu itakua alimuamini hata yule mama aliyesema kajifungua Jiwe.
Tupe mawazo yako kuhusiana na hili tukio
 

Attachments

  • ALIYEFARIKI_2020_na_KUONEKANA_2024_AZUNGUMZA_KWA_MARA_YA_KWANZA_-AULIZWA_HUYU_NANI_ASEMA_WAZIR...mp4
    20.1 MB
  • WASIMULIA_NDUGU_YAO_ALIYEFARIKI_2020_NA_KUONEKANA_HAI_2024,__TULIMZIKA,_ALIGONGWA_NA_GARI_(240p).mp4
    14.2 MB
  • ALIYEFARIKI_2020_AONEKANA_2024,_WANANCHI_WAFURIKA_KUMUONA,_NDUGU_ZAKE_WASIMULIA__ALIGONGWA_NA_...mp4
    18.8 MB
Kusika tu tayati ushaamini ,ulisikia yule mtu aliejfungua jiwe mwisho wake ?


Kama unadhibitisha uwepo wa Mungu kwa hizi drama unafeli pakubwa.
Kwa aliyedai kujifungua jiwe ilithibitika kuwa aliongopea, lakini hili la huyu "aliyekufa" 2020 na kuonekana hai 2024 limethibitishwa kuwa ni kweli. Taarifa ziko wazi. Utapingana hata na jambo lililo wazi kiasi hicho?
 
Aliyedai kunifungua kiwe ilithibitika kuwa aliongopea, lakini hili la huyu "aliyekufa" 2020 na kuonekana hai 2024 limethibitishwa kuwa ni kweli. Taarifa ziko wazi. Utapingaba hata na jambo lililo wazi kiasi hicho?
Hiz taarifa sio mara ya kwanza kwa Tanzania huu ujinga hauwezi upata nchi za watu walielimika au kwenye jamii za watu walio fanikiwa kiuchumi na kuwa na elimu ata apo apo tz jiulize kwa nini?
 
Hiz taarifa sio mara ya kwanza kwa Tanzania huu ujinga hauwezi upata nchi za watu walielimika au kwenye jamii za watu walio fanikiwa kiuchumi na kuwa na elimu ata apo apo tz jiulize kwa nini?
Kwa sababu ushirikina na "ufukara" ni kama pete na kidole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…