Wasioamini juu ya uwepo wa Mungu wanasemaje kuhusu mchawi aliyedondoshwa na nguvu za Mungu?



Ni mwanachama wa chama cha siasa au soka?
 
Kwa nini umesema hivyo mkuu?
Kwa sababu, katika hali ya kawaida, binadamu anafahamu kuwa kuna ulimwengu zaidi ya huu unaoonekana kwa macho ya kawaida.

Mkuu, sidhani kama ni kweli hujui kuwa kuna ulimwengu mwingine ambao wengine huuita ulimwengu wa roho. Kama ungekuwa hujui, ungekuwa na shauku ya kutaka kuujua. Lakini kwa jinsi unavyojibu, inaonekana unafahamu fika kuwa kuna ulimwengu wa roho na kuna maisha katika ulimwengu huo.
 
 

Attachments

  • Screenshot_20240105-112051_Firefox.jpg
    229.3 KB · Views: 3
Mkuu hakuna kitu kama hicho , Binadamu tamaa yake yakuishi ndio iliyofanya ajifariji kuna ulimwengu mwingne baada ya kufa, kitu ambacho kiuhalisia akipo, kipo kwenye fikra tu.
 
Sasa hapo kwanini usiamini huyo mchawi aliangushwa na nguvu za mchawi mwingine mwenye nguvu zaidi ?; Ukishaweka Imani everything goes.... wala hakuna cha kujadili....

Lakini kama tunaongelea logic basi kuna nafasi ya kuongea / kujadiliana kwa Hoja.... By the way Mungu ni yupi waliyomuamini mababu zako au hawa wa sasa waliokuja na Merikebu ?
 
Babu zangu wepi?

Kuna Mungu na mungu. Huyo mwenye "m" ndogo ni mizimu, n.k., lakini wa "M" kubwa Ndiye aliyeziumba Mbingu na nchi.

Mimi nimeamua kumfuata Mungu, Muumba wa Mbingu na nchi.
 
Babu zangu wepi?
Unless wewe sio Mbantu au asili yako ni huko Mecca au kwa Wayahudi basi hicho unachoamini sasa sicho walichoamini mababu zako..... Ingawa tukienda further kuna theory ambayo unaweza uka-argue Tanzania ni Cradle of Humanity hence hata wao wa huko walichokiamini kililetwa historically
Kuna Mungu na mungu. Huyo mwenye "m" ndogo ni mizimu, n.k., lakini wa "M" kubwa Ndiye aliyeziumba Mbingu na nchi.
Kwa imani yako like I say to each their own, ukishaweka Imani anything goes hata ukiamua kuamini tunaishi kwenye Matrix, fair to you.... ila swali linarudi palepale Babu zako hawakupata Memo ya kumuani huyu ambaye unamuani wewe ? (Au watakuwa walipata amnesia hapo katikati)
Mimi nimeamua kumfuata Mungu, Muumba wa Mbingu na nchi.
Yap kama nilivyosema tangia mwanzo...., to each their own...., we are entitled to our faith and opinions, lakini when it comes to facts and logic we need something more...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…