Wasioamini Mungu inawahusu

Wasioamini Mungu inawahusu

Watu mmeshiba ugali na kiburi Cha uzima kinawalevya mnajitoa ufahamu, mna discuss Muumba Kama mjomba wenu. Haya bhana ukibananika vizuri unaanza oooh! Niitie mchungaji.
 
Mbigu saba bila nguzo, usiku na mchana, watu kufa na kuzaliwa etc haya yote hayawezi kwenda menyewe isipokuwa yupo anaeviendeaha vyote
Na yeye Mungu kawekwa na nan? Kwa sababu ulichokifanya hapo ni theoretical triangulation.
 
Hiyo mantiki tunaikataa kwasababu kama ni hivyo basi mungu naye aliumbwa na flani, naye flani aliumbwa na flani..... hivyo.
Lete evidence mungu hayupo

Mimi nimetoa hiyo evidence na wewe lete evidence then nitalueleza ya mungu
 
Ikiwa huamini Mungu alieumba ulimwengu mzima na vilivyomo, kwamba kila kitu kipo nature, mbona magari na vitu vyengine tunaona Made in China, made in Tanzania etc

Wenye akili tu wataelewa

MUNGU yeye made in wapi ?
 
Back
Top Bottom