Wasioamini Mungu inawahusu

Wasioamini Mungu inawahusu

Ikiwa huamini Mungu alieumba ulimwengu mzima na vilivyomo, kwamba kila kitu kipo nature, mbona magari na vitu vyengine tunaona Made in China, made in Tanzania etc

Wenye akili tu wataelewa
Sasa kwanini isiwe Made by Mungu ? and Made in na Made By kuna tofauti....; na unaposema kila kitu alitengeneza Mungu kwahio alitengeneza zile fridge ambazo zilikuwa na freon ili ziharibu ozone layer....

Nature Abhors a Vacuum wewe ukiacha mkate wako hapo na kuna unyevuvu baada ya siku utakua mold.., sio kwamba Mungu ameleta hizo mold bali mazingira ni favorable kwa jambo hilo kutokea.... (ingawa ukitaka kwenda deep nothingness does not exists)
 
Hakuna binadamu asiyeamini uwepo wa Mungu, wapo wahuni wachache huwa wanaongea vitu vya kujifurahisha tu ila deep down wanajua wameumbwa na Mungu.
Kwa nini uamini uwepo wa Mungu, Badala ya kujua kwa uhakika na uthibitisho kabisa kwamba kuna Mungu?

Tutahakikisha vipi na kuthibitisha vipi kwamba imani yako ya huyo Mungu ni ya kweli?

Maana kuamini tu, Unaweza kuamini hata uongo.

Sasa tutahakikije hiyo imani yako ya huyo Mungu kwamba ni ya ukweli?

Kwanza huyo Mungu kama yupo, Alishindwaje kuumba binadamu wenye ufahamu wa kumtambua yeye yupo pasipo kuhitaji imani?

Huyo Mungu anacho jifichia huko alipo ni nini?

Huyo Mungu ana ogopa nini akifahamika na kutambulika waziwazi kwamba yupo?
 
Sasa kwanini isiwe Made by Mungu ? and Made in na Made By kuna tofauti....; na unaposema kila kitu alitengeneza Mungu kwahio alitengeneza zile fridge ambazo zilikuwa na freon ili ziharibu ozone layer....

Nature Abhors a Vacuum wewe ukiacha mkate wako hapo na kuna unyevuvu baada ya siku utakua mold.., sio kwamba Mungu ameleta hizo mold bali mazingira ni favorable kwa jambo hilo kutokea.... (ingawa ukitaka kwenda deep nothingness does not exists)
Wewe ulikuja vp
 
Kwa nini uamini uwepo wa Mungu, Badala ya kujua kwa uhakika na uthibitisho kabisa kwamba kuna Mungu?

Tutahakikisha vipi na kuthibitisha vipi kwamba imani yako ya huyo Mungu ni ya kweli?

Maana kuamini tu, Unaweza kuamini hata uongo.

Sasa tutahakikije hiyo imani yako ya huyo Mungu kwamba ni ya ukweli?

Kwanza huyo Mungu kama yupo, Alishindwaje kuumba binadamu wenye ufahamu wa kumtambua yeye yupo pasipo kuhitaji imani?

Huyo Mungu anacho jifichia huko alipo ni nini?

Huyo Mungu ana ogopa nini akifahamika na kutambulika waziwazi kwamba yupo?
Mungu Ni wa ajabu sana na hata uthibitisho wake kwetu Ni waajabu pia.
Fikiria kwamba anajidhihirisha kupitia imani, yaani kupitia Jambo lisiloweza kuthibitishwa. Hapo ndipo alipo. Kwahiyo wewe utajiona unaakili nyingi na kumtafuta kwingine kote Wala hutamwona! Nikwasababu Mambo ya kiroho hutambulika kwa namna ya rohoni.
Wewe wa mwilini endelea kumtafuta utamwona MR.
 
Mungu Ni wa ajabu sana na hata uthibitisho wake kwetu Ni waajabu pia.
Fikiria kwamba anajidhihirisha kupitia imani, yaani kupitia Jambo lisiloweza kuthibitishwa.
Kama huyo Mungu ni imani, Jambo lisiloweza kuthibitishwa, Wewe Uliwezaje kujua huyo Mungu yupo?

Ulifikaje hitimisho la kusema Mungu yupo, Wakati Mungu huyo unasema ni imani/jambo lisiloweza kuthibitishwa?

Sasa wewe ulithibitishaje, Jambo au imani ya Mungu ambayo haithibitishiki?

Hapo ndipo alipo. Kwahiyo wewe utajiona unaakili nyingi na kumtafuta kwingine kote Wala hutamwona! Nikwasababu Mambo ya kiroho hutambulika kwa namna ya rohoni.
Wewe wa mwilini endelea kumtafuta utamwona MR.
Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea huyo Mungu kwa sababu hajawahi kuwepo mwenyewe ajidhihirishe yupo.
 
Kama ni kweli kuna roho zinazoenda motoni, basi Mungu huyu anaetajwa wa Waisraeli hana uwezo kamili. Maafa yote duniani inaonyesha huyo Mungu sio mwema kwani anaruhusu maafa.
 
Back
Top Bottom