min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Ipi mkuu?Wewe pinga hoja yangu kama umekosa evidence haya mambo niliokutajia yanajiendesha wenye au hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipi mkuu?Wewe pinga hoja yangu kama umekosa evidence haya mambo niliokutajia yanajiendesha wenye au hapana
Soma comment za nyuma mkuuIpi mkuu?
Valid question.So, who created God?
Ukijibu nani kaumba akili yako basi utapata jawabu lakeValid question.
Usiruke hoja mkuu jibu kwanza
Hauna hoja ya maana kama mtoa mada , kiufupi wewe unataka kufundishwa na mimi sipo tayari ,nipo bize😊Usiruke hoja mkuu jibu kwanza
Hakuna kilicho sahihiKwahyo vitabu vingine vipo sahihi?
Sasa kwanini isiwe Made by Mungu ? and Made in na Made By kuna tofauti....; na unaposema kila kitu alitengeneza Mungu kwahio alitengeneza zile fridge ambazo zilikuwa na freon ili ziharibu ozone layer....Ikiwa huamini Mungu alieumba ulimwengu mzima na vilivyomo, kwamba kila kitu kipo nature, mbona magari na vitu vyengine tunaona Made in China, made in Tanzania etc
Wenye akili tu wataelewa
Kwa nini uamini uwepo wa Mungu, Badala ya kujua kwa uhakika na uthibitisho kabisa kwamba kuna Mungu?Hakuna binadamu asiyeamini uwepo wa Mungu, wapo wahuni wachache huwa wanaongea vitu vya kujifurahisha tu ila deep down wanajua wameumbwa na Mungu.
Wewe ulikuja vpSasa kwanini isiwe Made by Mungu ? and Made in na Made By kuna tofauti....; na unaposema kila kitu alitengeneza Mungu kwahio alitengeneza zile fridge ambazo zilikuwa na freon ili ziharibu ozone layer....
Nature Abhors a Vacuum wewe ukiacha mkate wako hapo na kuna unyevuvu baada ya siku utakua mold.., sio kwamba Mungu ameleta hizo mold bali mazingira ni favorable kwa jambo hilo kutokea.... (ingawa ukitaka kwenda deep nothingness does not exists)
Kuna umri mtoto anakua na kuanza kuhoji "baba Mimi nilitoka wapi? Niliumbwa na Nani?" Jibu Kama mpagani!Hawa evidence kama mungu hayupo wanaonhea tu
Sikujua kwamba reproduction is a mystery....Wewe ulikuja vp
That is not my case. You asked me not them. By the way hakuna anayezaliws bila akili.Walio zaliwa bila akili wao vipi au kila anaezaliwa anakuwa na akili
Mungu Ni wa ajabu sana na hata uthibitisho wake kwetu Ni waajabu pia.Kwa nini uamini uwepo wa Mungu, Badala ya kujua kwa uhakika na uthibitisho kabisa kwamba kuna Mungu?
Tutahakikisha vipi na kuthibitisha vipi kwamba imani yako ya huyo Mungu ni ya kweli?
Maana kuamini tu, Unaweza kuamini hata uongo.
Sasa tutahakikije hiyo imani yako ya huyo Mungu kwamba ni ya ukweli?
Kwanza huyo Mungu kama yupo, Alishindwaje kuumba binadamu wenye ufahamu wa kumtambua yeye yupo pasipo kuhitaji imani?
Huyo Mungu anacho jifichia huko alipo ni nini?
Huyo Mungu ana ogopa nini akifahamika na kutambulika waziwazi kwamba yupo?
Kama huyo Mungu ni imani, Jambo lisiloweza kuthibitishwa, Wewe Uliwezaje kujua huyo Mungu yupo?Mungu Ni wa ajabu sana na hata uthibitisho wake kwetu Ni waajabu pia.
Fikiria kwamba anajidhihirisha kupitia imani, yaani kupitia Jambo lisiloweza kuthibitishwa.
Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea huyo Mungu kwa sababu hajawahi kuwepo mwenyewe ajidhihirishe yupo.Hapo ndipo alipo. Kwahiyo wewe utajiona unaakili nyingi na kumtafuta kwingine kote Wala hutamwona! Nikwasababu Mambo ya kiroho hutambulika kwa namna ya rohoni.
Wewe wa mwilini endelea kumtafuta utamwona MR.