Halafu unataka tukuone una akili? Lema ni kabila gani? Na wapi Mbowe amesema ametoka CHADEMA? UWT hamuwezi kuwa na akili CCM imetengeneza wajinga. You are not smart una propaganda za kizamani nilizisikia 1971 kwenye kipindi maarufu cha redio Tanzania cha mazungumzo baada ya habariBaada ya Mbowe kutoka. CHADEMA is already dead. Tayari Lissu ameanza kuwafukuza wachaga kwenye chama. Watamsusia na kumuachia.
Atabaki na akina Maria Sarungi ambao hawana impact katika jamii.
CHADEMA IS DEAD