Pre GE2025 Wasira awatetemesha akina Tundu Lissu na Wenzake: "Kauli Mbiu ya "No Reform, No Election" Haina Maana Kwa Sasa"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Baada ya Mbowe kutoka. CHADEMA is already dead. Tayari Lissu ameanza kuwafukuza wachaga kwenye chama. Watamsusia na kumuachia.

Atabaki na akina Maria Sarungi ambao hawana impact katika jamii.

CHADEMA IS DEAD
Halafu unataka tukuone una akili? Lema ni kabila gani? Na wapi Mbowe amesema ametoka CHADEMA? UWT hamuwezi kuwa na akili CCM imetengeneza wajinga. You are not smart una propaganda za kizamani nilizisikia 1971 kwenye kipindi maarufu cha redio Tanzania cha mazungumzo baada ya habari
 
🤣 🤣 🤣 WanaJF wanajua kuwa umefika akili zako kwenye kisogo.
 
Kama lumumba na chimwaga ndio dunia yote sawa inawezekana
Kwa maandishi yako haya, ni hakika kuwa huna uwezo wa kujadili mada nzito kama hizi. Nakushauri topic hii ipo juu ya uwezo wako. Hatujadiliani mipasho hapa 🤣 🤣 🤣
 
Hakuna mada yenye akili zaidi ya upuuzi mtupu, hivi humu hujaona topic zenye akili? Kuna makada wa CCM akiwemo Pascal Mayalla bado anajenga hoja zenye akili siyo huu upuuzi wako.

Mbaya zaidi lugha zako unazojibu za kuintimidate wengine wakati hauna akili zaidi ya uchawa. Nataka ujione na utambue you are not smart, Tanzania ni yetu sote hoja iwe ya kujenga siyo kutetea kundi la watu

Utakapoanza kuwa na akili spana zitapungua. ACHA UJINGA
 
Mzee hata ujitahidi kuandika mandishi mengi kiasi cha kujaza pipa, uwezo wako wa kufikiri bado upo chini sana. Try to maximize your brain ability.

Kula dagaa kwa wingi
 
Umepanic juha. Wewe kama una uwezo wa kufiki ni wangapi kwenye uzi wako waliokuunga mkono? Pimbi tu unayehisi una akili.

At least nimekutuliza kwenye upumbavu wako.
 
Hii yote inaonesha uwezo wako upo below standard 😀 😀 😀
 
A silly topic from a silly person (CCM cronies)deserves silly comments. Leta ujinga wako tutakwenda na wewe ulalo ulalo, ujumbe pekeka lumumba
 
Kiswahili kimeisha 😀 😀 😀
Andika kiswahili bhana!!
 
Punguza bangi
unasema nipunguze bangi wewe kama nani?

nikivuta bangi ni uamuzi wangu binafsi,wewe inakuwashia nini kama sio umalaya unaniletea?

inaonesha una mawazo mengi kwangu mimi wakati sijakuomba unipe hayo mawazo
 
Bangi zako zinakufanya utoe comments za kipuuzi, unapotaka kuzungumza na wenye akili timamu usivute bangi unaleta chuki za kijinga
 
Back
Top Bottom