Wasirra aonekana akihamasisha No Reform No Election kabla hajalamba Asali

Rekebisha, hapo alikuwa ccm na alishindwa na esther bulaya ubunge
 
Wewe utaakuwa Kuna bolt πŸ”© nuts zimelegea mahali!!!
 
Hana tofauti na Lissu na kijitapel cha siasa Slaa wote walisema lowassa ni mwizi halafu wakataka kumpeleka ikulu kabla wananchi wazalendo hawa jagomea uhuni na udalali wa chadema kuuza ikulu kwa fisadi!
Hapo Slaa unamhusishaje na wakati alijiengua Cdm kwa kashifa hiyo?

Ulikuwa na umri gani, au unajifanya kusahau kwa sababu ya chuki?
 
Unaongelea chaawa mtu mzima hovyo?
 
Hapo Slaa unamhusishaje na wakati alijiengua Cdm kwa kashifa hiyo?

Ulikuwa na umri gani, au unajifanya kusahau kwa sababu ya chuki?
Unavamia tu kama hujui uliza Slaa ndio katibu mkuu aliyeidhinisha Lowassa kupokelewa Chadema kwa sababu hujui ukisikiliza porojo za slaa unaamini hakuhusika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…