Wasirra aonekana akihamasisha No Reform No Election kabla hajalamba Asali

A
Wewe utaakuwa Kuna bolt πŸ”© nuts zimelegea mahali!!!
huenda huyo tapeli mnafiki wa no reform no elections ndio zimekaza halafu anapuuzwa kila kona na wanachadema dhidi ya huo utapeli wake gentleman πŸ’
 

View: https://youtu.be/OOiyG53mA-8
 
Hujui lolote wewe upo kama mshipa/ ngiri maji/ Busha mbele haupo nyuma haupo. Ili muradi kuropoka yatokanayo na chama mfu ccm
 
Gentleman,
aibu zaidi ni kwa wasomi kutapeliwa pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone na ombaomba wa kimataifa akisaidiwa na jambazi wa kutoka hapo AR tu πŸ’
Wasomi wa UDOBOLESI Dodoma ndio waandamane na mama asemewe hadi kusoma VETA?
 
Hujui lolote wewe upo kama mshipa/ ngiri maji/ Busha mbele haupo nyuma haupo. Ili muradi kuropoka yatokanayo na chama mfu ccm
sasa mjuaji mbona una mihemko, ghadhabu na kakasiriko tu aise?🀣
 
Wasomi wa UDOBOLESI Dodoma ndio waandamane na mama asemewe hadi kusoma VETA?
sasa gentleman,
yaan utapeliwe pesa yako na vibaka wa tone tone halafu uje unikasorikie mim?
alaaa hiyo si sawa kabisa gentleman 🀣
 
Unapimamaje makasiriko na mihemko ya watu wewe chawa?
ni Rahisi sana gentleman,
pale ambapo mdau anaacha hoja ya msingi anaanza kujipambanua kana kwamba yeye ana akili nyingi zaidi wakati anachofanya ni kufananisha watu na wanyama au vitu huku hoja ikiwa imemshinda kabsaaa🀣
 
sasa gentleman,
yaan utapeliwe pesa yako na vibaka wa tone tone halafu uje unikasorikie mim?
alaaa hiyo si sawa kabisa gentleman 🀣
Ndo degree yako umeipeleka VETA kumbe inakuwaga hivi we jamaa
 
ni Rahisi sana gentleman,
pale ambapo mdau anaacha hoja ya msingi anaanza kujipambanua kana kwamba yeye ana akili nyingi zaidi wakati anachofanya ni kufananisha watu na wanyama au vitu huku hoja ikiwa imemshinda kabsaaa🀣
Sawa. Lakini ndo tushindwe basi hata kujua haki za KIRAIYA Zilizopo kwenye katiba ikiwemo uchaguzi huru na wa haki? Ah
 
Ndo degree yako umeipeleka VETA kumbe inakuwaga hivi we jamaa
binafsi licha ya kua muhadhiri na mtumishi mchapakazi wa wananchi,
but nilienda veta kuchota maarifa zaidi, zaidi sana kilimo na ufugaji biashara vinanipa amani, uhakika na furaha ya kipato kuliko posho ya mwezi ya baada ya kuwatumikia wananchi.

msomi kutapeliwa na vibaka wa kisiasa ni fedheha sana πŸ’
 
Sawa. Lakini ndo tushindwe basi hata kujua haki za KIRAIYA Zilizopo kwenye katiba ikiwemo uchaguzi huru na wa haki? Ah
nadhani ni dhuluma kuwashawishi na kuwarubuni wananchi uhuru na haki zao za kikatiba kushiriki uchaguzi mkuu wa kihistoria wa October 2025,

No reform no elections is useless and completely nonsense plan as far as democratic processes are concerned πŸ’
 
Kama wewe ni muhadhiri basi kama nchi kazi ipo. Jitahidi kuwa unasoma historia kidogo ya nchi hii ili uwe unafahqmu kifogo. Hata nyerere alipelekwa UN kwa pesa ya Tone Tone hii unayoita utapeli leo. Hata warming kutoa sandaka makqnisani na misikitini ni TONE TONE. Hata kulipia kadi za wanachama ni Tone tone
Ndo mana nakuambia wewe ni mhadhiribumbu. Tangu lini mwanafunzi aliyejiandaa vyema kwa mitihani yake akaogopa kukaa mbele ya daresa? Kusema tunataka uwanja wa kuchezea uwe sawa kwa kubadilisha sheria za uchaguzi ni kuzulumu haki ya nani?
Hukuwepo tz 2019, 2020, 2024?
 
Dhuluma ni ipi kwako kati ya kuiba psa za umma rejea ( CAG ) Reports na kutaka uchaguzi huru na wa haki wewe muhadhiri kanjanja?
 
uhadhiri wangu au hii kazi ya kutumikia wananchi kisiasa, kwanza sio suala la nchi, hii ni bidii yangu binafsi, kama akina Salim Ahmed Salim walikua mabalizi huko ng'ambo wakiwa na umri wa miaka28, why not me or you kua muhadhiri within the same age?
Acha uvivu gentleman.

Hata hivyo,
Pamoja na Neema na baraka hizo kutoka kwa Mungu, stili na fanya kilimo na ufugaji biashara sana, lakin pia veta nilienda na ninafanya welding vizuri sana now.


Ile kitu ambayo sitaki kuruka, ni tabia za urika πŸ’
 
Dhuluma ni ipi kwako kati ya kuiba psa za umma rejea ( CAG ) Reports na kutaka uchaguzi huru na wa haki wewe muhadhiri kanjanja?
changamoto, dosari na kasoro ndogondogo ni jambo la kawaida hata kwenye maisha yako tu gentleman,

ni muhimu sasa ukizibaini,
unazibadili kua fursa ya kujirekebisha, kujisahihisha na hatimae kujipanga vizuri zaidi ili ufanye vizuri zaidi huko mbeleni.

hakuna haja ya kustack, kuzira au kukata tamaa, ni kusonga mbele kwa bidii zaidi ndio mpango muhimu πŸ’
 
Angalia video hyo we punguan waaheed
 
Ww ni mhadhiri!!!!basi tupo shimon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…