Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 2,468
- 2,905
Anapuuzwa?? π€π€ ?? Hivi wewe samahani naomba ruhusa nikuite "KENGE"π€£π€£A
huenda huyo tapeli mnafiki wa no reform no elections ndio zimekaza halafu anapuuzwa kila kona na wanachadema dhidi ya huo utapeli wake gentleman π
Hakuwa upinzani mkuu. Hii ni 2015 tu hapo yeye akiwa CCM alipopigwa kitu kizito na Bulaya wa CHADEMA akakimbilia mahakamani napo akashindwaππAkiwa Upinzani enzi zile Bwana Steven Wassirra alilalamika kwamba Uchaguzi haukuwa huru wala haukuwa wa haki kwa vile kwenye Kituo kimoja kilichoandikisha Wapiga kura 271 lakini Mgombea wa ccm kimiujiza alipata kura 749.
Juhudi za kuiweka hapa Video yake akilalamikia wizi huo wa kura mbele ya Waandishi wa habari zinaendelea.
Gentleman,Anapuuzwa?? π€π€ ?? Hivi wewe samahani naomba ruhusa nikuite "KENGE"π€£π€£
Wale watu maelfu wanaomsikiliza, wanaoenda kwenye mikutano yake bila kusombwa na malori na kulipiwa posho ni wajinga??
Huwa wanaenda kusikiliza madini, hoja zenye mashiko!!
Narudia wewe π© NUTS ziko Loose, Akili umweka Mifuko ya Suruali ya nyuma π€£π€£π€£π€£
Gentleman,toa akili kwenye mifuko ya suruali ya nyuma π€£π€£π€£π€£
Gentleman ,hivi wewe unaimba SAUTI YA NGAPI KWENYE KWAYA YENU YA KUSIFU NA KUABUDU WATU???π€£π€£π€£
Gentleman UISHI SANA,
Napenda sana Post zako ambazo Huwa zinawachekesha walionuna π π π
Upewe maua yako, ungeamua kuwa COMMEDIAN gentle man ungekuwa mbali sana π€£π€£π€£π€£π€£
Gentleman,Ww ni mhadhiri!!!!basi tupo shimon
relax gentleman,Angalia video hyo we punguan waaheed
View attachment 3290454Njaa ya uzeeni! Uchawa wa uzeeni unakuwa mchawi original<!!
Tumbo street at its best
Tumeiandika kwa mtindo wa NahauRekebisha, hapo alikuwa ccm na alishindwa na esther bulaya ubunge
Umefilisika na vioja umebaki kutapatapa tuGentleman,
aibu zaidi ni kwa wasomi kutapeliwa pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone na ombaomba wa kimataifa akisaidiwa na jambazi wa kutoka hapo AR tu π
Akiwa Upinzani enzi zile Bwana Steven Wassirra alilalamika kwamba Uchaguzi haukuwa huru wala haukuwa wa haki kwa vile kwenye Kituo kimoja kilichoandikisha Wapiga kura 271 lakini Mgombea wa ccm kimiujiza alipata kura 749.
Juhudi za kuiweka hapa Video yake akilalamikia wizi huo wa kura mbele ya Waandishi wa habari zinaendelea.
Kumbe huo ufedhuli na wizi wa uchaguzi unaofanywa na ccm huwa wanaujua vizuri, ila wakilambishwa asali tu wanajitoa ufahamu !!!
Kabisa.Kumbe huo ufedhuli na wizi wa uchaguzi unaofanywa na ccm huwa wanaujua vizuri, ila wakilambishwa asali tu wanajitoa ufahamu !!!
La saba unapelekwa kusoma Kkk? Akili ndogo haiwezi kuongoza akili kubwa.binafsi licha ya kua muhadhiri na mtumishi mchapakazi wa wananchi,
but nilienda veta kuchota maarifa zaidi, zaidi sana kilimo na ufugaji biashara vinanipa amani, uhakika na furaha ya kipato kuliko posho ya mwezi ya baada ya kuwatumikia wananchi.
msomi kutapeliwa na vibaka wa kisiasa ni fedheha sana π
ni mbaya sana aise,La saba unapelekwa kusoma Kkk? Akili ndogo haiwezi kuongoza akili kubwa.
Mkuu utaliua so kwa spana hizo. Sema huyo ni clone ya musiba.Kama wewe ni muhadhiri basi kama nchi kazi ipo. Jitahidi kuwa unasoma historia kidogo ya nchi hii ili uwe unafahqmu kifogo. Hata nyerere alipelekwa UN kwa pesa ya Tone Tone hii unayoita utapeli leo. Hata warming kutoa sandaka makqnisani na misikitini ni TONE TONE. Hata kulipia kadi za wanachama ni Tone tone
Ndo mana nakuambia wewe ni mhadhiribumbu. Tangu lini mwanafunzi aliyejiandaa vyema kwa mitihani yake akaogopa kukaa mbele ya daresa? Kusema tunataka uwanja wa kuchezea uwe sawa kwa kubadilisha sheria za uchaguzi ni kuzulumu haki ya nani?
Hukuwepo tz 2019, 2020, 2024?
Kwanza sijui hata kama ni binadamu? Nahisi kama ni roboti lipo mahali hapo lumumba??Mkuu utaliua so kwa spana hizo. Sema huyo ni clone ya musiba.
Mkuu inawezakana una akili ila ukiangalia uchangiaji wako daa! Hata Lucas mashamba anajitahid. Yaani unarudia rudia kauli moja kichiz.ni mbaya sana aise,
yaani eti tapeli na jambazi wa malori ndio anahamasisha na kuwaongoza graduates wachangie pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone
Yaani anashangaza sio kidogo.Kwanza sijui hata kama ni binadamu? Nahisi kama ni roboti lipo mahali hapo lumumba??
Analipwa shilingi ngapi huyu?Yaani anashangaza sio kidogo.
Nakupongeza mno kwa juhudi za kashfa zisizofanikiwa. Sisi tumeona kwa macho clip ya mtu anayesema tofauti na sasa, na ni yule yule. Nawe lete clip inayowaumbua unaowakashifu. Tofauti na hapo, unajidhalilisha mkuu.Gentleman,
aibu zaidi ni kwa wasomi kutapeliwa pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone na ombaomba wa kimataifa akisaidiwa na jambazi wa kutoka hapo AR tu π