clips nyingi za video zitatoka kesho baada ya kikao cha ambao wamegoma kubebwa ufala na matapeli wa no reform no elections ambao pia ni watangaza nia za ubunge, udiwàni na urasi kupitia Chadema, dhidi ya vibaka wa siasa na wahubiri wa dhana potofu isiyo na faida ya no reform no elections,Na
Nakupongeza mno kwa juhudi za kashfa zisizofanikiwa. Sisi tumeona kwa macho clip ya mtu anayesema tofauti na sasa, na ni yule yule. Nawe lete clip inayowaumbua unaowakashifu. Tofauti na hapo, unajidhalilisha mkuu.
Nani mkuu mzee wa genteman?Analipwa shilingi ngapi huyu?
kama narudia rudia, hebu tafadhali, kitaalamu zaidi ibadilishe hiyo dhana potofu ya no reform no elections ili nione lugha na namna nyingine unavyoielezea kwa wadau, na kwakweli itapendeza zaidi gentleman, ama niaje?Mkuu
Mkuu inawezakana una akili ila ukiangalia uchangiaji wako daa! Hata Lucas mashamba anajitahid. Yaani unarudia rudia kauli moja kichiz.
Ila pamoj yote unatikiwa kujua kaamba 2015 ccm haikumtarajia Magu, wala awamu hii ya sita haikutarajiwa kuwa ndani ya awamu ya tano tena ikiongozwa na madam prezdaa.
Ndo maana Ex CDF Gen Mabeyo alisema ilimlazmu awakumbushe viongozi(***) kuwa katba inasema vice prezdaa ndo anastahili kushika nchi.
Hii ni waz kwamba walitahamaki walikuwa suprized.
Point yangu nikwamba pamoja na mahaba yetu kwa vyama na watu tunao wahusudu lakini tuweke akiba kuu ya mioyo yetu kwa kukubali uhalisia ikiwa yanatokea tusiyo yatarajia ili tuendelee kuifurahia amani.
Kwahyo the more uko deep kwa mahaba na chama chako jitahid pia kuwa deep katika unyenyekevu mkuu Dunia ya Mungu hii.
Congrats keep it up! Msimamo ni kitu kizuri mkuu.kama narudia rudia, hebu tafadhali, kitaalamu zaidi ibadilishe hiyo dhana potofu ya no reform no elections ili nione lugha na namna nyingine unavyoielezea kwa wadau, na kwakweli itapendeza zaidi gentleman, ama niaje?
una nyenyekea vipi matapeli na vibaka wa kisiasa ambao kwa makusudi wanajitenga na michakato ya kidemokrasia?
binafsi nitaendelea kukumbusha na kusisitiza kwa kurudia rudia kusema yale ambayo ni utapeli na dhuluma za wazi kwa uhuru na haki za kikatiba za wananchi.
ikiwa unajiskia vibaya,
ni vizuri ukatambua kwamba hiyo ndio tabia ya ukweli ilivyo, na itakubidi uzoee, sawa gentleman? 🐒
kazi na utu, tusonge mbele pamoja gentleman 🐒Congrats keep it up! Msimamo ni kitu kizuri mkuu.
Halaf skunaanisha kumnyenyekea mtu otherwise ndo ulivozoea kubadili maana za commets au nyuzi za watu.kama narudia rudia, hebu tafadhali, kitaalamu zaidi ibadilishe hiyo dhana potofu ya no reform no elections ili nione lugha na namna nyingine unavyoielezea kwa wadau, na kwakweli itapendeza zaidi gentleman, ama niaje?
una nyenyekea vipi matapeli na vibaka wa kisiasa ambao kwa makusudi wanajitenga na michakato ya kidemokrasia?
binafsi nitaendelea kukumbusha na kusisitiza kwa kurudia rudia kusema yale ambayo ni utapeli na dhuluma za wazi kwa uhuru na haki za kikatiba za wananchi.
ikiwa unajiskia vibaya,
ni vizuri ukatambua kwamba hiyo ndio tabia ya ukweli ilivyo, na itakubidi uzoee, sawa gentleman? 🐒
Duuh. Haya mkuu. Najua upo kazini, unalipwa, lakini nafsi yako inakusuta, kwamba uyasemayo na matusi yako kwa wapinzani ni msukumo tu kuwafurahisha wanaokulipa. Nao wao wanakudharau tu.kama narudia rudia, hebu tafadhali, kitaalamu zaidi ibadilishe hiyo dhana potofu ya no reform no elections ili nione lugha na namna nyingine unavyoielezea kwa wadau, na kwakweli itapendeza zaidi gentleman, ama niaje?
una nyenyekea vipi matapeli na vibaka wa kisiasa ambao kwa makusudi wanajitenga na michakato ya kidemokrasia?
binafsi nitaendelea kukumbusha na kusisitiza kwa kurudia rudia kusema yale ambayo ni utapeli na dhuluma za wazi kwa uhuru na haki za kikatiba za wananchi.
ikiwa unajiskia vibaya,
ni vizuri ukatambua kwamba hiyo ndio tabia ya ukweli ilivyo, na itakubidi uzoee, sawa gentleman? 🐒
elimu ya Tanzania ina shida kubwa sana. ati naye ni mhadhiri sijui wapi huko? fikiria mhadhiri kama anavyojiita kama huyu awe anafundisha na kusomesha political science? atawambia nn wanafunzi wake ikifika swala la uchaguzi huru?Nani mkuu mzee wa genteman?
Gentleman,Duuh. Haya mkuu. Najua upo kazini, unalipwa, lakini nafsi yako inakusuta, kwamba uyasemayo na matusi yako kwa wapinzani ni msukumo tu kuwafurahisha wanaokulipa. Nao wao wanakudharau tu.
Wastaarabu wa JF wakiamua, wana lugha chafu ya kukutukana wewe mara dufu kuliko unavyowatukana wapinzani, ila wamekupuuza baada ya kugundua una matatizo ya akili au umelewa sifa za kijinga za waliokutuma. Heshimu utu wa wengine kama tunavyokuheshimu broo.Gentleman,
sina haja ya kumtukana kibaka au tapeli yeyote wa kisiasa humu nchini, kwasababu they are all my fellow citizens 🐒
Gentleman,Wastaarabu wa JF wakiamua, wana lugha chafu ya kukutukana wewe mara dufu kuliko unavyowatukana wapinzani, ila wamekupuuza baada ya kugundua una matatizo ya akili au umelewa sifa za kijinga za waliokutuma. Heshimu utu wa wengine kama tunavyokuheshimu broo.
Itoshe kukupendekezea tu heshimu wenzako kaka kama tunavyokuheshimu. Usimwite mtu kibaka au tapeli wkt hajawahi kukuomba hata msaada wa mawazo acha tu kukukopa mia asikirudishie. Na wala hajawahi kukupora chochote,Gentleman,
sorry, sijui na wala sijawahi kumtukana kibaka au tapeli yeyote wa kisiasa nchini au hata nje ya nchi.
ni vizuri ukaweka nukuu ya matusi niliyomporomoshea kibaka au tapeli yeyote wa kisiasa nchini Tanazania, ili walau wadau wajiridhishe 🐒
Mkui usonge mbele na nani kwenda wapmkuikazi na utu, tusonge mbele pamoja gentleman 🐒
Mkuu huyo sio mhadhari. Angekuwa mhadhiri asinge idharaulisha taaluna yake kirahisi hivo kwa kujitambulisha humu.elimu ya Tanzania ina shida kubwa sana. ati naye ni mhadhiri sijui wapi huko? fikiria mhadhiri kama anavyojiita kama huyu awe anafundisha na kusomesha political science? atawambia nn wanafunzi wake ikifika swala la uchaguzi huru?
alishawahi kutokea chizi mmoja sasa marehemu akaenda kutembelea UDSM akawambia wanafunzi nyie wanafunzi kazi yenu ni kusoma msigome.... pumbavu yule yani mwanachuo asigome lakini awe chawa? leo ndo hawa kina mama asemewe
KABISAMkui usonge mbele na nani kwenda wapmkui
Mkuu huyo sio mhadhari. Angekuwa mhadhiri asinge idharaulisha taaluna yake kirahisi hivo kwa kujitambulisha humu.
We mpe mda tuu kuna siku atakuja jitambulisha kuwa yeye ni afisa wa uhamiaji au afisa mtendaji kata.
Jibu kuhusu tuhuma za Wasiira.Gentleman,
aibu zaidi ni kwa wasomi kutapeliwa pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone na ombaomba wa kimataifa akisaidiwa na jambazi wa kutoka hapo AR tu 🐒
Mkuu unajua wahenga waswahili wanasema nyani halioni kundule. Hivi huo ukibaka na utapeli wa kisiasa anaoungolea hajui kama anawakosea wana ccm wastaarabu wanaojua vitu solid?.Itoshe kukupendekezea tu heshimu wenzako kaka kama tunavyokuheshimu. Usimwite mtu kibaka au tapeli wkt hajawahi kukuomba hata msaada wa mawazo acha tu kukukopa mia asikirudishie. Na wala hajawahi kukupora chochote,
Asee ana allergy ya kujibu hoja yeye ana chorus zake za kuimba we unampa verse tena verse za busta rhymes.Jibu kuhusu tuhuma za Wasiira.
Mbona kuna vijana wanatumwa kuteka na kuua lakini hawapewi hivyo vyeo?Alikuwa upinzani kwa kazi maalum aliotumwa kuifanya,
Hamshangai anapewa wadhifa mkubwa CCM na huu umri?