mchumi tumbo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 832
- 992
Soma post namba 11. Sio jambo la kujivuniaKweli lakini kipi bora kwa msomi kama yeye; tena mtoto wa kike Yoda ?
Kweli kabisa mkuu. Lakini ujue shida ya hizi kazi ni asipoamka hakiingii kitu.Hata kuendesha Bajaj Ni kitu Bora.
Kuingiza elfu 50 kwa siku sio Jambo dogo
Kweli kabisa mkuu. Lakini ujue shida ya hizi kazi ni asipoamka hakiingii kitu.
Ila nadhani kwa hicho kipato anaweza kuwa nazo kadhaa akazigawa yeye akawa anakusanya mapato ama akaanzisha/akafanya kitu kisichomhitaji yeye kuwepo physically ill kiende.
Huyo kawekwa particularly ili bajaji ionekane kawaida kwa wasomi ... Mshushe munkari degree 1 muendeshe hata boda boda..Na hili gazeti la mwananchi wanafeli sana, badala ya kutuletea emerging youth billionaires watu wawe inspired, tunarudishana kwenye udereva wa bajaji
Mkuu si kuna level katika maisha? Kaanzia hapo atafika huko unakokutakaHuko siyo kujiajiri bali ni kuganga njaa tu.
No any sustainability
Umeongea pointi ya msingi Saveya ! Labda akaombe kazi kwenye vyama vya siasa tena kwa kuanza kujitolea.-kuna wadau humu wanadai huyo 'Madam Mwasu' ni mtu wa kitengo
-Lakini pia angalieni degree alizosomea Sociology and political science, MA public administration hizo zimejaa sana mtaani.
Dunia ya sasa kuna kauli kwamba "hapendwi mtu bali Pesa" ! Vijana wasomi katika maisha ya leo tafuteni pesa kwa njia halali msiabike mitaani.Vyema angeeleza utofauti wake kibiashara na wale waliomaliza la 7 wakaanza kuendesha bajaji?.What's so different , hapo ndo usomi wake utaonekana ila kama anapark tu barabarani na kusubiri abiria like others do sidhani kama ni kitu cha kutangaza sana.
Nampongeza kwa uthubutu wake, kuweka pembeni vyeti na kusaka shekeri kwa nguvu zote.
Ana degree na masters ya fani gani????
-Lakini pia angalieni degree alizosomea Sociology and political science, MA public administration hizo zimejaa sana mtaani.
Mkuu unadhani kwanini watu wanasoma?We unafikiri mzazi wake aliemsomesha elimu ya Awali angejua kama anakuja kuendesha Bajaji angekubali kulipia Ada yote hiyo hadi kufika kuendesha Bajaji. HIYO SIO SIFA. Angalau angekuwa mwanaume.
Can you tell me kwanini watu wanasoma?Uko sahihi huyu kapoteza muda wake bure kupata hizo digrii
Mkuu imagine wewe wazazi wako ni masikini then huku uwe na elimu kubwa kama hiyo na ushamaliza chuo.Shahada mbili boss ni elimu kubwa sana kuja na mawazo ya kuendesha bajaji kwakweli lazima jamii isikitike na wale waliokupa pesa ya kwenda shule watamwaga machozi
Then uko tayari kuwa tegemezi maisha yako yote kama usingekuwa na ajira au kama usipopata ajira?Tungekuwa tunajua future zetu wengi tusingehangaika na Chuo Kikuu. Usomee uhandisi hadi upate degree halafu uiweke pembeni uanze kilimo cha matikiti?? 5 good years wasted!!! Bora mtu ungejua mapemaaaaa na kuanza mara tu baada ya kumaliza form 6