Wasomi tunamchukulia Musukuma kama Mchekeshaji wa ‘Stand Up Comedy’ ndani ya Bunge. Tunashauri aendelee kutuchekesha

Maisha Magumu kwako mzee

Nimeandika muandiko wao darasa la saba ili waendelee kutoa burudani
 
Duh....!
Msomi, yaani hata ulichoandika unakataa?
Kwenye uzi wako hapo mwanzo umeandika,
"Hari yenu"
"Bira shaka mpo wazima"
Hapo bado hujaona R palipostahili kuwekwa L?

Kwa hiyo akili yako ilivyo ndogo ukaona siwezi andika kiswahili fasaha?

Huo musukuma aenderee kutoha buludani bugeni

Sema na hapo sasa, sawa Mzee
 
Msukuma ataendelea kuwadharau kwa sababu vyeti vyenu mnaenda navyo bar kuwaonyesha wale wauza kinywaji kuwa mmesoma badala ya kutatua changamoto za Watanzania mpo busy na vitu visivyoeleweka...

Sisi tunamchukulia kama Mchekeshaji wa bunge
Kama vichekesho vyake ndio dharau zake basi hicho nacho ni kichekesho pia

Darasa la saba atamdharau nani labda awadharau walioshindwa kumpeleka shule
 
Ebu nawe fanya kua serious ili tukuweke ktk mzani tuone kati yako na na msukuma nani anazo na hamnazo ni yupi pia

Siwezi linganishwa na Wachekeshaji

Atakachonishinda Msukuma ni kipaji chake cha kuchekesha na umri basii

Vilivyobaki namuacha kwa mbali sana
 
Sisi tunamchukulia kama Mchekeshaji wa bunge
Kama vichekesho vyake ndio dharau zake basi hicho nacho ni kichekesho pia

Darasa la saba atamdharau nani labda awadharau walioshindwa kumpeleka shule
Hoja za kizamani sana hizo unakuta umesoma ila maisha unaishi ya kimasikini na ubinafsi juu wasomi kibao wanalala na ndoo za maji ndani nje akitoka full suti na kapasso kake kutwa kujisifia usomi tafuteni hela Wazee mkisoma sahauni...
 
Hahahhaha

Unazungumzia msomi mmoja kwa mia
Hao darasa la saba wao wanaishi maisha yapi?

Nilishaandikaga hapa siwezi shindwa kwenye maisha na mtu aliyelingana na mimi kiumri Alafu kaishia darasa la saba hapa nchini

Wewe kama umezidiwa na huyo Msukuma ni wewe Mzee
 
Kilaza kama wewe huwezi niuliza swali nikashindwa

Siulizwagi maswali na watu wa darasa la saba. Tafuta size yako Mzee sawa?

Unachoweza ku-share na mimi ni vichekesho vyako, sawa Mzee!!
Hili jibu lako ni dhahiri wewe sio msomi ila una vyeti tu.

Hakuna msomi wa kijinga kama wa aina yako.
 
Kwa uandishi huu, nachelea kusema wewe sio msomi.
 
Kilaza kama wewe huwezi niuliza swali nikashindwa

Siulizwagi maswali na watu wa darasa la saba. Tafuta size yako Mzee sawa?

Unachoweza ku-share na mimi ni vichekesho vyako, sawa Mzee!!
Heee[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Kuna baadh ya mambo usomi Mara nyingi Hua hausaidii mfano ue Baharia ambae umerith toka kwa baba zako na maisha yako yote umekua baharia na mtu ambae kausomea miaka mitano unafikir mtaringana? Ila kwa msukuma Elim yake na Kaz anayo fanya haviendan kabisa sababu Ile kazi Inaitaj Elim kubwa sababu Ina mambo mengi makubwa Sema msukuma Hua anaonekana anajua Sana sababu wasom wengi mle ni wagonga Meza Hua hawajitumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…