He did it purposely... Toka lin joka hajui L na R! [emoji23]
Jf Mimi siondoki n'gooo.Mimi ni msomi,ila wewe huwezi kuwa miongoni mwetu,maana msomi aliekamilika hawezi kuandika mashudu kama haya.
Wewe ni msomi, na hapo ulipo hujui hata matumizi ya R na L kwenye uandishi wako, lakini pia sijaona matumizi sahihi ya alama za uandishi.Kama wewe ndo aina ya wasomi mnaochipukia Tz, basi ni bora tukubaliane na Msukuma.
Watu wanakuuliza umesomea nini,unawajibu kihuni, msomi unatumia maneno kama "huelewi babu",nani babu yako humu?
Tukiachana na hayo yote, wewe hupaswi kubishana na Msukuma, maana pamoja na hizo unazoziita comedy,bado amekuzidi mbali sana wewe mwenye elimu makaratasi.Ukija kwangu,ukanambia wewe ni msomi,alafu huna hela,huna ajira, hujui kujenga hoja, mimi nakuchukulia kama mtu anaelezimisha puru(mknd) wake utafune muwa, wakati sio kazi uliyoumbiwa.
Unamuona Msukuma mjinga wakati,wewe unashonda jF kulalamikia maisha magumu.Sasa hiyo ni elimu au kinyesi tu.
Darasa la saba kibao wamekuzidi maisha amini nachokwambia upo mkoa gani nikupe mfano hapo hapo ulipo kwenye hii big five...bongo kutafuta milioni unauma meno unajifanya mpo njema kwani si bongo hatuijui...Hahahhaha
Unazungumzia msomi mmoja kwa mia
Hao darasa la saba wao wanaishi maisha yapi?
Nilishaandikaga hapa siwezi shindwa kwenye maisha na mtu aliyelingana na mimi kiumri Alafu kaishia darasa la saba hapa nchini
Wewe kama umezidiwa na huyo Msukuma ni wewe Mzee
Kuna baadh ya mambo usomi Mara nyingi Hua hausaidii mfano ue Baharia ambae umerith toka kwa baba zako na maisha yako yote umekua baharia na mtu ambae kausomea miaka mitano unafikir mtaringana? Ila kwa msukuma Elim yake na Kaz anayo fanya haviendan kabisa sababu Ile kazi Inaitaj Elim kubwa sababu Ina mambo mengi makubwa Sema msukuma Hua anaonekana anajua Sana sababu wasom wengi mle ni wagonga Meza Hua hawajitumi
Poa[emoji41][emoji52]Vipi Na wewe
Point mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu anayeelezewa ni darasa la saba Alafu nijihangaishe kumuandikia kisomi ili iwe nini, hayo ni matumizi Mabaya ya usomi
Wao wakiongea na sisi lazima wajikakamue kutoa hoja na lugha zinazokaribia usomi ili tuone nao sio wajinga
Usipende kuchezea simu ya babako akiwa amelala kuweni na adabu basi.Hari yenu humu!
Bira shaka mpo wazima.
Sisi wasomi tunafulahishwa sana na kipaji alichonacho Mbunge Msukuma, kipaji cha uchekeshaji. Huyu jamaa anakipaji cha ufutuhi futuhi.
Upande wangu napenda akiwa sirius akijifanya anatoa hoja ya maana, 😀😀😀😀 hapo atajifanya anaakili sana mpaka kuwazidi Maprofesa.
Napenda utani na mzaha wake kwa Mapolopesa.
Napendekeza Msukuma atafutiwe menejimenti na lasmi aingie kwenye industry ya uchekeshaji.
Msukuma atafutiwe kipindi kwenye Tv walau cha dakika 15 atufulahishe na vioja vyake.
Msukuma nakubali kipaji chako hapo bungeni
Kkoo kibao wamekuzidi na darasa la saba tuu hiyo kkoo hayo majengo ya biashara si wakinga na wachaga kuna mtu unamgusa hapo na tuvyeti twako..opposite na bigbon hapo huyo mwenye majengo ya maduka hapo Saba saba ni darasa la sabaNipo Dar
Nipe mfano
Kkoo kibao wamekuzidi na darasa la saba tuu hiyo kkoo hayo majengo ya biashara si wakinga na wachaga kuna mtu unamgusa hapo na tuvyeti twako..opposite na bigbon hapo huyo mwenye majengo ya maduka hapo Saba saba ni darasa la saba
Hongera msomi usiojua kuandika hali yenu unaandika "hari"Hari yenu humu!
Bira shaka mpo wazima.
Sisi wasomi tunafulahishwa sana na kipaji alichonacho Mbunge Msukuma, kipaji cha uchekeshaji. Huyu jamaa anakipaji cha ufutuhi futuhi.
Upande wangu napenda akiwa sirius akijifanya anatoa hoja ya maana, 😀😀😀😀 hapo atajifanya anaakili sana mpaka kuwazidi Maprofesa.
Napenda utani na mzaha wake kwa Mapolopesa.
Napendekeza Msukuma atafutiwe menejimenti na lasmi aingie kwenye industry ya uchekeshaji.
Msukuma atafutiwe kipindi kwenye Tv walau cha dakika 15 atufulahishe na vioja vyake.
Msukuma nakubali kipaji chako hapo bungeni
Wasiomuelewa wamepanik, 😅 😅He did it purposely... Toka lin joka hajui L na R! [emoji23]
Pole yako ya kujifanya msomi, kumbe uwezo wako ni mdogo kuliko wa MsukumaPole sana Mkuu