Wasomi wanamageuzi wa nchii wapo wapi? Mpaka mtu aliyepata division 0 anaongza taasisi kubwa hivi miaka 20?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Kuna shida Tena sio kidogo wasomi wameenda wapi miaka 20 taasisi inaburuzwa na mtu aliyefeli shule na kufukuzaa wasomi kwenye chama.?

Mtu Kama Dr Slaa na Zitto wanaondoka kihuni na wasomi kibao wanakimbia hiki chama

Ana Nini Cha ziada huyu zero brain ambaye Hana hata shahada ??

Nina mashaka na elimu yetu Tanzania!!
 
sasa ile siku si angemaliza tu kawavuta watu ati mpk masaa 48..🤣
Tanzania nchi yakipekee sana ndio maana hata korona iliogopa ikasema nikienda pale navunjwa!, watu huko dunia nyengine wanahangaika sisi tukapima hadi mapapai!.

Hii nchi hata shetani mwenyewe huwa anaiogopa yani ipo hivi, hii nchi inashetani wake maalum na vipepo maalum!.. sasa yule shetani mwenyewe wa dunia siku akijichanganya kuingia hapa bongo land anaweza kushangaa anaanguka mapepo!, maana vipepo vya hapa vitamvagaa!. halafu ataletewa nabii amuombee mpk ataokoka..🤣

Hii ndio bongo land.
 
Kuna shida Tena sio kidogo wasomi wameenda wapi miaka 20 taasisi inaburuzwa na mtu aliyefeli shule na kufukuzaa wasomi kwenye chama.?

Mtu Kama Dr Slaa na Zitto wanaondoka kihuni na wasomi kibao wanakimbia hiki chama

Ana Nini Cha ziada huyu zero brain ambaye Hana hata shahada ??

Nina mashaka na elimu yetu Tanzania!!
Mafia la Kimachame....
 
Hahahaha hizi hasira zote zanini? Huu idhalilishaji wanini? Kwani huyo Zero kakalia kiti kwa mtutu wa bunduki?

Huu uchaguzi wa CDM ndo tumeona kiwango cha upumbavu walichonacho watanzania. Yaani nyie mnaogopa box la kura mnataka kuzuia wengine wasitumie haki yao ya kuchaguliwa? Kwanini msitumie sanduku la kura kuchagua wenye akili wakufanana na ninyi?
 
Kama kweli wasomi wana faida huko CCM kwanini Polisi na usalama wanaiba kura🤦🏾‍♂️
 
Mitihani ya Shule na kukariri watu huwa wanafeli sio sababu ya kukosa ufahamu bali kutokujali au kutofanya the right thing at that particular time...

“If you judge a fish by its ability to climb a tree, it will live its whole life believing that it is stupid” In this case the guy should be judged by his political prowess na sio his ability to solve matrix or quadratic equations..., au memorizing what Sundiata did and where....
 
Kuna shida Tena sio kidogo wasomi wameenda wapi miaka 20 taasisi inaburuzwa na mtu aliyefeli shule na kufukuzaa wasomi kwenye chama.?

Mtu Kama Dr Slaa na Zitto wanaondoka kihuni na wasomi kibao wanakimbia hiki chama

Ana Nini Cha ziada huyu zero brain ambaye Hana hata shahada ??

Nina mashaka na elimu yetu Tanzania!!

Ndo kakifikisha Chama hapo Kilipo, Dr Slaa na Zitto na usomi wao wamefanya nini? Fala wwww
 
Attachments

  • 81933FF1-825A-4A5A-8D75-AE26D79CEE0E.jpeg
    81933FF1-825A-4A5A-8D75-AE26D79CEE0E.jpeg
    29.1 KB · Views: 1
Hahahaha hizi hasira zote zanini? Huu idhalilishaji wanini? Kwani huyo Zero kakalia kiti kwa mtutu wa bunduki?

Huu uchaguzi wa CDM ndo tumeona kiwango cha upumbavu walichonacho watanzania. Yaani nyie mnaogopa box la kura mnataka kuzuia wengine wasitumie haki yao ya kuchaguliwa? Kwanini msitumie sanduku la kura kuchagua wenye akili wakufanana na ninyi?
Ukabila ,ukabila ,ukabila, ukabila ,ukabila, umeiua Chadema kifo cha asili .

Ni wakati sasa wa wasomi kuachana na siasa za Qxenge Qxenge .

wajumbe 70% wa chagga halafu eti chama cha kitaifa .
Tukutane kwenye sanduku la kura
 
Back
Top Bottom