milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Kwenye sanduku la kura hiyo uliyoitaja 70% itamuacha Lissu salama!Ukabila ,ukabila ,ukabila, ukabila ,ukabila, umeiua Chadema kifo cha asili .
Ni wakati sasa wa wasomi kuachana na siasa za Qxenge Qxenge .
wajumbe 70% wa chagga halafu eti chama cha kitaifa .
Tukutane kwenye sanduku la kura