milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Kwenye sanduku la kura hiyo uliyoitaja 70% itamuacha Lissu salama!Ukabila ,ukabila ,ukabila, ukabila ,ukabila, umeiua Chadema kifo cha asili .
Ni wakati sasa wa wasomi kuachana na siasa za Qxenge Qxenge .
wajumbe 70% wa chagga halafu eti chama cha kitaifa .
Tukutane kwenye sanduku la kura
Nina kila kitu ambacho mtu wa kawaida anatakiwa kuwa nachoWewe una nini kumlinganisha huyo zero brain?
Mbowe ni jembe acha makasirikoKuna shida Tena sio kidogo wasomi wameenda wapi miaka 20 taasisi inaburuzwa na mtu aliyefeli shule na kufukuzaa wasomi kwenye chama.?
Mtu Kama Dr Slaa na Zitto wanaondoka kihuni na wasomi kibao wanakimbia hiki chama
Ana Nini Cha ziada huyu zero brain ambaye Hana hata shahada ??
Nina mashaka na elimu yetu Tanzania!!
Siasa sio biashara pumbavu zenu wajasiliamali wa kisiasa!!Mbona huulizi Imekuwaje Diamond, a mere std 7, anaajiri Wenye degree.??
Hapa ndipo tuliosoma akili za kukaririshwa tunapofeli.
Uliwahi kujiuliza mwalimu wa kwanza alifundishwa na nani?
Nikimwangalia Profesa Lipumba, wacha tu vyama viongozwe na watu wenye elimu ya kawaida.Kuna shida Tena sio kidogo wasomi wameenda wapi miaka 20 taasisi inaburuzwa na mtu aliyefeli shule na kufukuzaa wasomi kwenye chama.?
Mtu Kama Dr Slaa na Zitto wanaondoka kihuni na wasomi kibao wanakimbia hiki chama
Ana Nini Cha ziada huyu zero brain ambaye Hana hata shahada ??
Nina mashaka na elimu yetu Tanzania!!
Lissu anategemea mataahira kama nyinyi ndo maana kapoteza mapema!!Nina kila kitu ambacho mtu wa kawaida anatakiwa kuwa nacho
tena nimetafuta sio kwa wizi, ufisadi au utapeli!! Ni kwa jasho anawezanizidi pesa za abudul labda!!
Tulishasema siku nyingi inakuaje hiki chama vilaza ndio wenye madaraka?Kuna shida Tena sio kidogo wasomi wameenda wapi miaka 20 taasisi inaburuzwa na mtu aliyefeli shule na kufukuzaa wasomi kwenye chama.?
Mtu Kama Dr Slaa na Zitto wanaondoka kihuni na wasomi kibao wanakimbia hiki chama
Ana Nini Cha ziada huyu zero brain ambaye Hana hata shahada ??
Nina mashaka na elimu yetu Tanzania!!
Kwa hiyo ndio maana mmekubali kuburuzwa na mzee MboweSedeka wa simanjiro kidato cha SITA Moshi secondary alipata division Gani?
Anamwita zero brain mtu alienza harakati kitambo akawapika hao anaowaona wana akili. Huu mtanange wa CDM unamdhalilisha sana Lissu kama wanaharakati wanaomshauri na anaowategemea ndo hawa!!Nikimwangalia Profesa Lipumba, wacha tu vyama viongozwe na watu wenye elimu ya kawaida.
Tukianza kuorodhesha Wasomi wa hovyo ndio utaelewa somo, anza na Profesa Kabudi, njoo kwa mchumi first class Mwigulu Nchemba ndio itachoka.
Huna hoja, kakojowe ulale.
Kauli ya kushindwa!Kwa hiyo ndio maana mmekubali kuburuzwa na mzee Mbowe
Siyo ukabila bro,Ukabila ,ukabila ,ukabila, ukabila ,ukabila, umeiua Chadema kifo cha asili .
Ni wakati sasa wa wasomi kuachana na siasa za Qxenge Qxenge .
wajumbe 70% wa chagga halafu eti chama cha kitaifa .
Tukutane kwenye sanduku la kura
Wajumbe 70% wachagga? Unaijua distribution ya wajumbe wa mkutano mkuu taifa na maeneo wanayowakilisha? Hizi chuki binafsi zanini?Ukabila ,ukabila ,ukabila, ukabila ,ukabila, umeiua Chadema kifo cha asili .
Ni wakati sasa wa wasomi kuachana na siasa za Qxenge Qxenge .
wajumbe 70% wa chagga halafu eti chama cha kitaifa .
Tukutane kwenye sanduku la kura
Hawakuondoka kihuni, waliondoka kwa taratibu.Mtu Kama Dr Slaa na Zitto wanaondoka kihuni na wasomi kibao wanakimbia hiki chama
Nimepitia changizi nyingi za wafuasi wa Lissu ndo napata taswira halisi. Mhe. Lissu aliposema yupo tayari kugombea uenyekiti sikujua motive behind ilikua ni kumharass mbowe asigombee ili apate land slide....Uko sure na unachokisema juu ya taaluma ya FAM kweli kiongozi?, kama upo.sure basi anza na mfumo ulioruhusu 2005 akagombea uraisi.
Kuna propaganda zinahitaji kujitafakari matokwo yake.
We mzee upo.Team Lissu imepagawa.....Mbowe pigilia hapo hapo