Wasomi wanamageuzi wa nchii wapo wapi? Mpaka mtu aliyepata division 0 anaongza taasisi kubwa hivi miaka 20?

Wakati wewe uko bush county ukisoma nadharia kwenye vitabu na chemli, mwenzio alikuwa akiyaishi yale wewe uliyokuwa ukiyasoma kwa vitendo. Kuna tofauti kubwa sana hapo.
 
Anamwita zero brain mtu alienza harakati kitambo akawapika hao anaowaona wana akili. Huu mtanange wa CDM unamdhalilisha sana Lissu kama wanaharakati wanaomshauri na anaowategemea ndo hawa!!
Mapimbi hawa hawajielewi, Mbowe ndiye aliyewashawishi na kuwaleta Chadema Zitto Kabwe, Halima Mdee, John Mnyika, Joseph Mbilinyi Sugu, Joseph Haule Profesa Jay, Tundu Lisu, Godbless Lema hao maarufu kwa uchache wote hao Mwamba ndiye aliyewashawishi kujiunga Chadema.
 
Na akawapika... Mbowe alifanikiwa kumshawishi aliyewahi kuwa mfanyakqzi mwenzangu pale UDSM Suzan Lyimo aliyejitolea nyumba yake pale Kinondoni iwe ofisi ya chama halafu mtu anakurupuka huko anaona Risasi za lissu ndo pekee zenye mchango kwa CHADEMA!!

Lissu kawekeza kwa wanaharakati wajinga sana!
 
Yah, kweli kabisa na moja ya matatizo ni kuamini kuwa ni haki na wakati wake kupewa uongozi.

Yaani ni kama vile kiti cha kurithishana hivi. Na mwengine kugombea wanaona kama kuonewa na kunyimwa fursa ya wakati wao
 
Mambo ya dv 0 hayana nafasi kwa sasa ,hata angekua la saba ,hakuna sababu ya kuattack personality ya mtu , huu utakua ni ushamba.

Hoja hapa nikuakikisha lissu anapenya ,wajumbe sio wenyeviti wa mkoa au kanda, tu ,tunataka kura 800 za lissu kupitia wajumbe basi kazi watakua wamemaliza
 
Sasa hao wasomi kwanini wasionyeshe usomi wao na kuanzisha chama chao?
Huyo unayemuita zero brain aliyepata zero anatimiza vizuri kazi aliyopewa nabosi wake.

Bahati mbaya Mbowe anakoripoti hawana wasiwasi na kazi yake, ameifanya na kuendelea kuifanya vizuri.
Kifupi Kpi yake iko sawa mpaka sasa.

Sasa hao wasomi ndio walipaswa kusimama kuanzisha chama kutumia usomi wao na kuchukua dola.
 
Unajua SSH ana divisheni ngapi?
 
Hakuna mtu unaogopa sanduku la kura isipokuwa kwa mwenyekiti aliekaa miaka ishirini na moja madarakani ilitakiwa kuwaani watu aliowafuwa kisiasa ili waendelee alipoishia maana kama unakumbuka mwaka jana alitamka mwenyewe kwa kinywa chake kuwa hatogombea tena
 
Maamuzi ya MBOWE Leo hayakuwa sahihi yamewakwaza watu wengi wapenda mabadiliko.

Ila ni vizuri tukaachana na personal-Attack.

Kwakuwa nafasi bado IPO tusubiri wajumbe wafanye Kazi yao.
Watakodiwa wajumbe waenguzi kutoka kuleee
 
πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna utofauti mkubwa kati ya usomi wa vyeti na usomi wa field.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…