peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Dr Mwinyi Rais wa Zanzibar atakopa lini ili naye agawie mkopo kwa Bara, ili tuweze kuenzi Muungano?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka yote deni linapaa halijawahi kushuka ila kipindi kile tulipofutiwa baadhi ya madeni.Kila mwaka tunalipa trillion 10 kupunguza deni lakini tangu Magufuli alipoingia madarakani deni limekuwa likipaa!
hivi ile sheria ya takwimu iliishafutwa?Mzee Wasira yupo Star TV Hivi sasa katika kipindi cha the Big Agenda anasema kwa miaka 10 kila mmoja cha Mkapa na Jakaya walikopa trillion 23 na 20 mtawalia.
Magufuli kwa miaka 5 alikopa trillion 29.
Duuh!Mzee Wasira yupo Star TV Hivi sasa katika kipindi cha the Big Agenda anasema kwa miaka 10 kila mmoja cha Mkapa na Jakaya walikopa trillion 23 na 20 mtawalia.
Magufuli kwa miaka 5 alikopa trillion 29.
Wewe bana. Nchi haijengwi lwa siku moja.Mfano mradi wa DRT, mbagala ulisimama kabisa, na mwaka huu ulikuwa ukabidhiwe, yule DC wa tmk, Gondwe alikuwa kila mala anakwenda anapigwa mkwara wapi eti mbona kazi haiendi, wao wanasema pesa hakuna, waki issue certificate, hakuna pesa, nenda sasa hivi ukaone kazi inavyokimbia, hiyo sgr kawaulize ma sub contractor walikuwa na hali gani, hadi ma bank yaliwakataa!!kulikuwa na kampuni la kireno pale, kaulizie lilienda wapi?hiyo barabara ya morogoro,
USA, mwenyewe anazingatia bajeti , wewe KIDUDU MTU, hutaki kufuata utaratibu kwa kuendesha nchi, unaendesha kwa mizuka tu, lazima u fail tu, Cha ajabu jana Ndugai ndio ana kili kuwa serikali ilikuwa inaendeshwa ki ugumu sana, kwani pesa iliyotengwa huku inapelekwa kule, mwaka wa fedha unaisha wizara imepata 16% ya bajeti yake iliyotengwa, halafu unakuja kumlaumu waziri!!kutokana na kila leo kuja na mambo ambayo hayako kwenye bajeti.
Mwinyi siyo Rais wa nchi hana uwezo wa kukopa!Dr Mwinyi Rais wa Zanzibar atakopa lini ili naye agawie mkopo kwa Bara, ili tuweze kuenzi Muungano?
Kwa kiingereza imperialist organs....IMF and WB ..mikopo yenye masharti...Ukienda bank ya maendeleo ya Afrika unakopa kama mteja tu kwa kuaminika utarejesha.Hupangiwi matumizi ya hiyo fedha.Kuna miradi kama wa umeme wazungu hawawezi kukukopesha fedha kulinda maslahi ya makampuni yao ya kuuza umeme na gesi...Lakini Magufuli alituambia anajenga uchumi kwa pesa za ndani na sio mikopo ya pesa za mabeberu.
Zanzibar sio nchi ni Mkoa?Mwinyi siyo Rais wa nchi hana uwezo wa kukopa!
Serikali ya mapinduzi Zanzibar ni nini?Mwinyi siyo Rais wa nchi hana uwezo wa kukopa!
Ukinikumbusha JK ninamkumbuka SSH.JPM alifanya mambo makubwa na yanayoonekana kuliko JK period.
Sahihi Zanzibar siyo nchi na wala haina benki kuu. Sasa Zanzibar ikikopa itaweka wapi hizo fedha?Zanzibar sio nchi ni Mkoa?
Imezuiliwa kuwa na Bank Kuu?Sahihi Zanzibar siyo nchi na wala haina benki kuu. Sasa Zanzibar ikikopa itaweka wapi hizo fedha?
Serikali ya mapinduzi Zanzibar ni sawa tu na serikali ya mtaa! Tofauti ni ukubwa wa eneo na kupewa mamlaka ya ndani!Serikali ya mapinduzi Zanzibar ni nini?
Serikali ya mapinduzi Zanzibar ni sawa tu na serikali ya mtaa! Tofauti ni ukubwa wa eneo na kupewa mamlaka ya ndani!
Sasa kama miaka 5, tu amekopa karibia trilioni 30, hata kama angemaliza muda wake cjui miaka 15 mbele, kwa mwenendo huo nchi isingekuwa ina kopesheka tena!ndio maana huwa ina sisitizwa utaratibu wa CASH BURGET, miradi yote ipo kwenye hatua tofauti tofwuti, ila hilo la bwana na SGR, ndiko kuna balaaa!!Wewe bana. Nchi haijengwi lwa siku moja.
Kila kitu kinaenda kimpango. Ujenzi unaweza ukaipanga sasa hivi hafu pesa ikaingia badae.
Uzuri unajua kabisa kwamba; Mzee alikufa akiwa anakabidhi miradi iliyokuwa imekamilika kwa asimia kubwa.. mfano.. Ubungo, Mbezi na Kisutu. Barabara ya Morogoro ilikuwa hatua nzuri. Miradi ya Maji ndo usiseme. REA, sasa hivi tumebaki na SGR na bwawa la nyerere tu na kele ni nyingi sana.
Taratibu za kimataifa ni kuwa nchi inakuwa na benki kuu moja tu, hivyo kwa kuwa Zanzibar siyo nchi inatumia benki kuu ya Tanzania!Imezuiliwa kuwa na Bank Kuu?
Ni kweli kabisa. Shida ni pale mlipokuwa mnatudanganya kuwa mnajenga kwa fedha za ndaniJiwe alikopa na miradi ikaonekana.