Enthusiastic
Senior Member
- Dec 21, 2023
- 109
- 256
Madihani na maeneo mengi ya Makete jiografia yake ni ngumu na ardhi imejaa mashamba ya miti, ngano na viazi. Wasukuma wanaona bora walowee SongeaSasa wewe umejifunga hapo kijiji kwenu tuu, tembea uone hawa ngosha walivyosambaa TZ na wao wanaoñgea kisukuma tuu kwa sauti kubwa kila mahali.
Kweli wasukuma kabila kubwa, kila sehemu ya Tanzania wapo wengi na wanachapa kazi kwelikweli. Nimewakubali sana.
Karibuni kwenye huu uzi tuwapongeze.
Mlibhalogi gete.Bhebhe shi.
Ubhise na bulogi, yaya gete
Wasukuma wanazaa sana ila si wavivu na wanabidii ya kutafuta na hawana njaa, wengi wana mali za kutosha kuishi na pia wana mifugo mingi. Hàta mikoa yote wanayoishi hukuti wakiwa maskini wa kuombaomba.yaani bado watu wanasifia majitu kuzaana bila mpango bila resources?
Aiseee!
Waache waendelee kuwaponda....wingi wao ndiyo tawala yao na kusambaa kwao mnakokuzungumziaWasukuma wanazaa sana ila si wavivu na wanabidii ya kutafuta na hawana njaa, wengi wana mali za kutosha kuishi na pia wana mifugo mingi. Hàta mikoa yote wanayoishi hukuti wakiwa maskini wa kuombaomba.
Kwa maisha ya kiafrika wako sawa kuzaana maana wanayamudu maisha,
eti To yeye
Kwa wàtanzania wengi wanaoishi vijijini hadi leo ni masikini wa kutupwa, siyo wasukuma tuu. Tembea vijiji kote kuna umaskini sana. Hata pemba vijijini ni masikini sana.Watu wanazaa kama panya tena huku usukumani kuna umasikini uliotopea yani kajumba kamoja tena kaslopu watoto wanaotoka humo sasa utadhani kituo cha kulelea watoto yatima .
Watu wanalalia michembe wanashindia michembe
Akhsante sana kwa kutukubali mkuunimewakubali
Asante sanaUmesema kweli ngosha, Mungu kawabariki sana maana kila mnapokuwa mnakandamiza kisukuma na mnaishi kwa umoja sana.
Kongole zenu.
Siyo mboo peke yake, lazima na k iwepo. Mb peke yake siyo silaha.Mboo ni silaha pia ikitumika vizuri
Wajanja mkuu 😂😂 sio weziNgoja wale wezi na mataperi wa taifa waje kukushambulia
Any way;nale shiza onene
Uchawi ni tamaduni za wengi waafrika. Hapa tz wachawi/waganga konki wako Pemba. Mzee wa Lupaso aliondoka Pemba usiku wa manane baada ya kusalimiwa na kibwengo chumbani.Wasukuma na ushirikina nisawa na waha na uchafu hauwezi kuwatenganisha.Ukienda maswa huko sehemu za ipililo huko waganga kama wote.
Sasa nenda itilima huko serikali inakusanya kodi kubwa kutoka kwa waganga wa kienyeji yani kifupi huko kila baada ya nyumba moja kuna nyumba ya mganga. MAANA YA NENO IPILILO MAANA YAKE NI PAKUPONEA YAANI MTU AKIUGUA WANAMWAMBIA MPELEKENI IPILILO YAANI SEHEMU MAALUM PAKUPONEA MAGONJWA YAKO.
IngelegaKama kuna msukuma hapa anitajie neno la kisukuma linaloingia i na u nimpe liteni
Morogoro, Njombe, Katavi, Rukwa, kanda ya kati yote nk.Jamukaya. Tumekamata Mwanza, shinyanga,Tabora, Geita, simiyu. Ongeza mkoa mwingine
Kwa sasa mmeshafika nusu labda mzidi.Basukuma tolebhachangamku! Kufikia 2040 nusu ya wabongo watakuwa wasukuma.
Onene olwembo lone hagishiwaga NG'WA LUGIKOng'wa nani nkoi