TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Unaweza ukawa mchapa kazi lakini ukawa masikini,uchapakazi ili uzae Matunda ni sharti uambatani na productivity kubwa yenye thamaniNini inaongeza umaskini hapo? Hawa jamaa ni wachapa kazi haswa sasa umaskini unatoka wapi?
Mikoa ya wasukuma kabila lokote unaweza kutajirika na ukafanya biashara kabisa aisee ila kufanya mikoa ya wachaga,wakinga,wabena ni ngumu kutajirika aiseeKweli wasukuma kabila kubwa, kila sehemu ya Tanzania wapo wengi na wanachapa kazi kwelikweli. Nimewakubali sana.
Karibuni kwenye huu uzi tuwapongeze.
🤣🤣🤣🤣weeeUnaongelea usafi wa namna gani? Kama ni kuoga huogea sabuni za vipande mtoni ama ziwani tena hujisugua na magunzi na huwa wasupuu 😂
Wananiboa tu hasa wale waitwao wafugaji. Ni wachafuuu ila wanazaaa hao balaaa. Kwao kuoa hakuna ukomo, ila ni wachapakazi saaaaana mnoooo. Kila kinachokubali kinalimwa. Wana pesa sana lkn hawataki kusikia habari za bankiMikoa ya manyara, arusha, kilimanjaro, tanga, dar, pwani, lindi na mtwara huko hawajahamia kwa wingi kama mikoa mingine jirani na sukumaland. Ukiacha kwao mwanza, shinyanga, geita na simiyu tabora ni kama kwao na wameenda mpaka katavi, rukwa, ruvuma, mbeya, iringa, njojobe, singida, dodoma, morogoro, songwe, kigoma, kagera, kigoma na mara utawakuta wasukuma wengi tu katika vijiji vya mikoa hiyo.ni watu wazuri hawana dharau na wenyeji wao
Kweli kabisa wachaga wapo mikoa mingi ila utawakuta mijini tuu kwenye biashara nzuri. Wasukuma wapo mijini ña vijijini wanafanya kazi zote zà nguvu na za akili, hawa wamesambaa sanaa aisee.Wachaga wapo nchi nzima kimkakati, tofauti na wasukuma wanaokaa mahali kwa ajili ya kufyeka mapori na kuzaana, wachaga ukiwakuta sehemu ujue n maokoto, infact nchi nzima wapo
Kweli nami nimeona kama wewe jamaa hawa popote wapo. Hawajui suala la umalaya wao ni kuoa tu kihalali na kuzaa. Uzuri hàta wake wenza hushirikiana sana. Niliona mmoja anahangaika mke mwenza alikuwa hapati watoto alipopata mtoto alifanya sherehe kubwà sana! Nikajisemea moyoni ningejua toka zamani ningeoa wasukuma.Wananiboa tu hasa wale waitwao wafugaji. Ni wachafuuu ila wanazaaa hao balaaa. Kwao kuoa hakuna ukomo, ila ni wachapakazi saaaaana mnoooo. Kila kinachokubali kinalimwa. Wana pesa sana lkn hawataki kusikia habari za banki
Wasukuma wametofautiana kuna wanyantuzu kuna wa shy na mwanza na kuna wanyamweziWananiboa tu hasa wale waitwao wafugaji. Ni wachafuuu ila wanazaaa hao balaaa. Kwao kuoa hakuna ukomo, ila ni wachapakazi saaaaana mnoooo. Kila kinachokubali kinalimwa. Wana pesa sana lkn hawataki kusikia habari za banki
Kuna kipindi nliwavuta wasukuma wengi wakaja maeneo ya mwarusembe,jaribu,kimanzi chana jamaa nawakubali wanajua kutamia fursaMikoa ya manyara, arusha, kilimanjaro, tanga, dar, pwani, lindi na mtwara huko hawajahamia kwa wingi kama mikoa mingine jirani na sukumaland. Ukiacha kwao mwanza, shinyanga, geita na simiyu tabora ni kama kwao na wameenda mpaka katavi, rukwa, ruvuma, mbeya, iringa, njojobe, singida, dodoma, morogoro, songwe, kigoma, kagera, kigoma na mara utawakuta wasukuma wengi tu katika vijiji vya mikoa hiyo.ni watu wazuri hawana dharau na wenyeji wao
Niongeze neno,Hawa jamaaa Ni wakarimu hatariKweli wasukuma kabila kubwa, kila sehemu ya Tanzania wapo wengi na wanachapa kazi kwelikweli. Nimewakubali sana.
Karibuni kwenye huu uzi tuwapongeze.
wazungu wanasisitiza msizaliane sana😂😂Kuzaliana kama simbilisi na yenyewe siyo sifa nzuri ya kujivunia.
Mola sanaGinehe nkima 🤣
Wapo hivyo wakiwa ugenini tu...huku kwao ni watu wenye wivu mno! hawataki wageni wawe na maendeleo, wanatuma mbinu zote za hila kuhakikisha wageni hawawi na maendeleo kuwazidi. Wenye nafuu ni ambao wametembea angalau kidogo.Katika kutembea kwangu mikoa ya Tanzania nimepata kujua haya kuhusu wasukuma;
1. wasukuma hawana ubaguzi wa kikabila kama wakinga na wahaya. Mtu ambaye si msukuma unafanya biashara bila shida
2. Ni wakarimu hawana roho mbaya
3. Wanapenda ushirikina.
Wasukuma mlioko humu Pascal Mayalla et al najua mtaunga mkono hoja
Mozambique kuna lugha zaidi ya 40, nusu ya nchi tu ndio wanazungumza kireno.Mozambique mpaka kesho wanajua wasukuma tunaichi yetu tofaut na Tanzania
Maana sisi tulikuwaga hatuzungumzi kiswahili ni mwendo wa kisukuma kwa kwenda mbele
Kwahiyo watu wa huko wakawa wanajua watanzania ni wengine na wasukuma ni wengine maana haiwezekan nchi moja lakin lugha mbili tofaut na utamadun tofaut na majina tofaut
Wabunge wa Arusha mjiniKatika kitu wasukuma wapo vzr ni pamoja na kutokuwa wakabira, kasikazin hata kama mtu ni mbovu ila kama anashindana na mtu kutoka nje yao hawawez kutomchagua huyo wa kwao mbovu,
Ujue Lowasa na Lissu walipata kura nyingi tu kanda ya ziwa na walikuwa wanapata watu wa kutosha kwenye mikutano
Miongoni mwa vitu viliirudisha nyuma sahara media (star tv na RFA) ni mmiliki kutokumuunga mkono JPM bwana Antony Diallo (mmiliki) akiwa ni mwenyekiti wa CCM mkoa Mwanza hakuwa anamuunga mkono JPM, JPM aliteseka sana kupata wadhamini akiwa anatia nia kwenye chama, wakati Lowassa aliungwa mkono
Kwa kasikazini isingetokea hivyo, just imagine JPM anafariki mm nlikuwa usukumani kuna baadhi ya wasukuma walishangilia kifo chake sasa ndio useme waandamane
Arusha ni kama mji huria, nikisema watu wa kasikazini namaanisha Wachaga, ambao wao ni watu wa Kilimanjaro-MoshiWabunge wa Arusha mjini
Mrisho Gambo
Abdulrahaman Kinana
Makongoro Nyerere
Jaffar Michael mbunge wa Moshi mjini mwaka 2015 hakuwa mchaga,Arusha ni kama mji huria, nikisema watu wa kasikazini namaanisha Wachaga, ambao wao ni watu wa Kilimanjaro-Moshi
Sasa Arusha ina Wameru, Waarusha na Masai, Wameru ni kakabira kadogo sana Wamasai wapo sana nje ya mji kwaiyo mji ni kama umekuwa wa wageni, waambie hao watu waende kugombea Moshi
Lugha zipi hizo mtumish maana wale lugha yao ni kireno au unazungumzia makabilaMozambique kuna lugha zaidi ya 40, nusu ya nchi tu ndio wanazungumza kireno.