Wasukuma ndivyo mlivyo au huyu ananiigizia

😃😃😃 wewe ni wa pili kunambia hivyo
Kuna rafiki yangu nae aliposikia na date na msukuma alishangaa maana anasema walishindwana na mtu wake ana tabia kama hizo sasa ameolewa na mchaga mwenzie
Ndiyo walivyo yaani hata kutongoza hawajui vizuri😁😁
As long as mnapendana, ishi naye hivyo hivyo ila usikubali kupika na kupakua kabla hajakuoa
 
Aliyesema tuishi na ninyi kwa akili aliona mbali. Hamjui nini mnataka.

Umempata mpole, unaboreka. Ukimpata mkali ama muongeaji utakuja kulalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…