Waswahili bwana yaani Treni ya SGR Dar hadi Moro ni masaa 2 na dakika 20 mnafurahi na kushangilia!

Unajua gari ikiwa inatestiwa inastiwa katika full speed ili kujua ita behave vipi ikitokea mteja kaweka full speed? Sasa hii kwanini inatestiwa katika spidi ndogo?
Yaani kwa 99% ya Watetezi Wapumbavu wa Mama walioko Lumumba, Chimwaga na Chamwino unategemea jibu la maana na mantiki kwa hili Swali lako la Akili Kubwa?
 

Mbona naye kadogosa anasema kwamba treni ina source nyingi ,haitegemei sehemu moja kulilisha ,ili izime basi source zote nchi nzima zikate...
 
Nilijua ukiishi Ulaya hata Akili nazo zinabadilika kwa kujua Kufikiri vizuri kumbe ni tofauti kabisa.
 
Nje ya Mada, utawala wa watusi utaisha Rasmi mwezi june 2024 na wahutu kurejea Ikulu.
 
Sasa wewe ndo you are so outdated na nadhani hujui how employment thing work in our country, Speaking of my very own area of expertise, haya mashirika yakitoa ajira yanapata kibali kutoka PSRS, na mode of payments zinatokana na revenue collection ya Serikali kuu meaning hawa ni watumishi wa umma, mode of recruitment hawa wanaweza wakaanza kwa kupewa mikataba ya ajira kwa muda usiozidi mwaka mmoja ila after kibali chao cha kazi kutoka kwa Katibu Mkuu kiongozi kutoka wanaingia moja kwa moja serikalini for the rest of their life regardless of whether wanachokifanya kinaipa Taifa faida au hasara. Msajili wa Hazina ambaye ndo msimamizi mkuu wa mashirika yote ya serikali, anapiga kelele kila siku namna haya mashirika yanavyotengeneza hasara kizembe hivyo kwa njia mbalimbali ikiwemo hio ya kuajili watu ambao they are not necessarily needed kwenye mashirika. Mimi i have been to London, studied in Texas, Lived in Austria and Finland na hao hostess sijawahi kuwaona kwenye hizo bullet train. Tusifanye waTanzania ni wajinga kiasi hicho.
 
hahaha sasa bahati mbaya wewe nimekufuatilia tangu kitambo, nakufahamu. Ngoja tu nikuheshimu, labda shida yako hasa ni nini hadi ufikie hali hiyo, leta hoja nikujibu kwa hoja ili mwenye akili achambuliwe na wengine.
Sasa kama Mimi ni Basha wako / Mumeo kwanini usinifahamu? Hakikisha usisahau kuja Ghetto baadae ili nikumiminie Tone langu la Nazi iliyokomaa.
 
Sasa kama Mimi ni Basha wako / Mumeo kwanini usinifahamu? Hakikisha usisahau kuja Ghetto baadae ili nikumiminie Tone langu la Nazi iliyokomaa.
kwa bahati mbaya, nimeokoka, siwezi kutukanana na wewe kabisa hata unitukane vipi, ninamwomba Mungu akusamehe, mimi nakusamehe bure. Yesu anakupenda, mpe maisha yako. hayo sio maisha unayostahili ambayo Mungu alikuumba nayo uishi hapa duniani. Mungu akubariki.
 
Kama wakisema hivyo alafu ukaamini bhasi kuna uwalakini kwenye uwezo wa kuchambua mambo au vyombo vinavyohusu kiteknolojia ya hali ya juu. Kiufupi kwenye modern locomotive kama haya yaliyoletwa nyumbani kwenye mradi huu wa SGR yamewekewa kitu kinachoitwa electric out backup devices hata kama umeme utakatika chombo hiko haiwezi kusimama wala kupunguza speed bali.
Sasa kama kuna msemaji aliongea hilo nawe ukawa miongoni mwa walioamini aisee, makosa lakusema🙌
 
Nitolee upuuzi wako hapa Kafie mbele huko.
 
Hapo tumepigwa, Kadogosa ili kuongezea kasi ya treni aliamua kutoa maelezo.
 
hili ni shirika kama mashirika mengine tu, tanesco, ewura, posta, NHC n.k, hayo pia hayakusanyi mapato? na yanailemea sana serikali? sitabishana sana kwa hapa. naona napoteza muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…