mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Mule walipandushwa wakina baba level...machawa unategemea nini tenaWaswahili bwana yaani Treni ya SGR Dar hadi Moro ni masaa 2 na dakika 20 mnafurahi na kushangilia KAMA MAZUZU.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mule walipandushwa wakina baba level...machawa unategemea nini tenaWaswahili bwana yaani Treni ya SGR Dar hadi Moro ni masaa 2 na dakika 20 mnafurahi na kushangilia KAMA MAZUZU.
Yaani kwa 99% ya Watetezi Wapumbavu wa Mama walioko Lumumba, Chimwaga na Chamwino unategemea jibu la maana na mantiki kwa hili Swali lako la Akili Kubwa?Unajua gari ikiwa inatestiwa inastiwa katika full speed ili kujua ita behave vipi ikitokea mteja kaweka full speed? Sasa hii kwanini inatestiwa katika spidi ndogo?
Kwa umeme huu wa 233 mega watt, kaka uliamini kabisa lile konokono lingetembea kwa dk 60 mpaka 70 DAR TO MORO?, Hii miradi ya usafiri unaotumia umeme hakuna hata mmoja utafanikiwa mzee......Tanzania bado hatuna umeme wa kurun hivi vitu. Imagine jana unaambiwa umeme ulikata mara mbili wakiwa njiani hivo kupelekea treni kusimama.🚮🚮🚮🚮🚮
kitu cha ajabu ni kwamba, wale wanaowatukana wenzao wapumbavu wao ndio huwa hawana akili kabisa kabisa. hamna hata haja ya kuwajibu.ni kupoteza muda.Wapumbavu hampungui tu Tanzania.
Mule walipandushwa wakina baba level...machawa unategemea nini tena
Ova
Nilijua ukiishi Ulaya hata Akili nazo zinabadilika kwa kujua Kufikiri vizuri kumbe ni tofauti kabisa.exposure ninayo, nimeishi na kusoma majuu miaka mingi, treni za mwendo kasi sizisikii tu, nimezipanda mno, za aina zote. tuambie wewe sasa exposure yako ni ya wapi. kuhusu garama, unasema garama za SGR na treni zake ni public revenue, tunachokuambia ni kwamba mradi huo hata kama ni wa huduma, unatakiwa ugenerate pesa ili ujitegemee kiuendeshaji, sio uendeshwe ufike mahali uhitaji pesa toka kwenye bajeti ya serikali, hapana, ujiendeshe, na ili ujiendeshe unahitaji utengeneze pesa out of that huduma. huko ndiko kutapatikana pesa za kulipa wafanyakazi, na wala hao watu hawalipwi pesa nyiiingi kihivyo, tunahitaji tuwaajiri, miradi huwa ni chanzo cha ajira pia sio huduma tu, cha muhimu ujiendeshe, usiwe mzigo kwa serikali. sijui kama unaelewa?
Nigeria, morocco na misri wanazo za mwendo kasi sana. na miundo yake ni ile ile ya majuu, ila hii 3rd class ya kadogosa sijui ameokota wapi, hadi aibu.
my friend, wewe hata ubebe familia au ukoo wako wote mchanganye akili hauwezi kunifikia mimi kabisa. tuishie tu hapo.Nilijua ukiishi Ulaya hata Akili nazo zinabadilika kwa kujua Kufikiri vizuri kumbe ni tofauti kabisa.
Nje ya Mada, utawala wa watusi utaisha Rasmi mwezi june 2024 na wahutu kurejea Ikulu.Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya watu wenye akili na yaliyoendelea.
Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu mazuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika Mataifa mengine wanaotumia Saa 3 tu kwa umbali wa mfano wa kutoka Dar es Salaam hadi Singida wanatucheka na kutudharau mno.
GENTAMYCINE nikisikia au niliambiwa Treni ya SGR itatumia saa 2 na dakika 30 au hata na dakika 45 kidogo nitaona imefanikiwa ila hili la kutoka Dar hadi Moro kutumia Saa 2 na dakika 20 naona ni Kufeli kwa Mradi na Mpango kwa Maendeleo ya Taifa, Muda na Uimarishwaji wa Uchumi wa Tanzania na Watanzania.
Haya Team Kusifu Upuuzi na Wanafiki karibuni sana katika Kunipinga ili mlipwe Buku Saba Saba zenu, mlambe Uteuzi na Maisha yaendelee ila wenye Akili Kubwa na tusiopenda Upuuzi na Unafiki ndiyo tumeshafunguka.
Just wait, Mwisho wa Kagame umewadiaDamn Fool.
Inawezekana alikua peke ake barabarani....dar chalinze unaweza kwenda kwa masaa matatu siku za foleni ya wastani.Lini hio ulienda Dar-Moro masaa mawili?
Sasa wewe ndo you are so outdated na nadhani hujui how employment thing work in our country, Speaking of my very own area of expertise, haya mashirika yakitoa ajira yanapata kibali kutoka PSRS, na mode of payments zinatokana na revenue collection ya Serikali kuu meaning hawa ni watumishi wa umma, mode of recruitment hawa wanaweza wakaanza kwa kupewa mikataba ya ajira kwa muda usiozidi mwaka mmoja ila after kibali chao cha kazi kutoka kwa Katibu Mkuu kiongozi kutoka wanaingia moja kwa moja serikalini for the rest of their life regardless of whether wanachokifanya kinaipa Taifa faida au hasara. Msajili wa Hazina ambaye ndo msimamizi mkuu wa mashirika yote ya serikali, anapiga kelele kila siku namna haya mashirika yanavyotengeneza hasara kizembe hivyo kwa njia mbalimbali ikiwemo hio ya kuajili watu ambao they are not necessarily needed kwenye mashirika. Mimi i have been to London, studied in Texas, Lived in Austria and Finland na hao hostess sijawahi kuwaona kwenye hizo bullet train. Tusifanye waTanzania ni wajinga kiasi hicho.exposure ninayo, nimeishi na kusoma majuu miaka mingi, treni za mwendo kasi sizisikii tu, nimezipanda mno, za aina zote. tuambie wewe sasa exposure yako ni ya wapi. kuhusu garama, unasema garama za SGR na treni zake ni public revenue, tunachokuambia ni kwamba mradi huo hata kama ni wa huduma, unatakiwa ugenerate pesa ili ujitegemee kiuendeshaji, sio uendeshwe ufike mahali uhitaji pesa toka kwenye bajeti ya serikali, hapana, ujiendeshe, na ili ujiendeshe unahitaji utengeneze pesa out of that huduma. huko ndiko kutapatikana pesa za kulipa wafanyakazi, na wala hao watu hawalipwi pesa nyiiingi kihivyo, tunahitaji tuwaajiri, miradi huwa ni chanzo cha ajira pia sio huduma tu, cha muhimu ujiendeshe, usiwe mzigo kwa serikali. sijui kama unaelewa?
Sir John RobertsNje ya Mada, utawala wa watusi utaisha Rasmi mwezi june 2024 na wahutu kurejea Ikulu.
Sasa kama Mimi ni Basha wako / Mumeo kwanini usinifahamu? Hakikisha usisahau kuja Ghetto baadae ili nikumiminie Tone langu la Nazi iliyokomaa.hahaha sasa bahati mbaya wewe nimekufuatilia tangu kitambo, nakufahamu. Ngoja tu nikuheshimu, labda shida yako hasa ni nini hadi ufikie hali hiyo, leta hoja nikujibu kwa hoja ili mwenye akili achambuliwe na wengine.
Atadumu milele kama Rais wa Rwanda.Just wait, Mwisho wa Kagame umewadia
kwa bahati mbaya, nimeokoka, siwezi kutukanana na wewe kabisa hata unitukane vipi, ninamwomba Mungu akusamehe, mimi nakusamehe bure. Yesu anakupenda, mpe maisha yako. hayo sio maisha unayostahili ambayo Mungu alikuumba nayo uishi hapa duniani. Mungu akubariki.Sasa kama Mimi ni Basha wako / Mumeo kwanini usinifahamu? Hakikisha usisahau kuja Ghetto baadae ili nikumiminie Tone langu la Nazi iliyokomaa.
Kama wakisema hivyo alafu ukaamini bhasi kuna uwalakini kwenye uwezo wa kuchambua mambo au vyombo vinavyohusu kiteknolojia ya hali ya juu. Kiufupi kwenye modern locomotive kama haya yaliyoletwa nyumbani kwenye mradi huu wa SGR yamewekewa kitu kinachoitwa electric out backup devices hata kama umeme utakatika chombo hiko haiwezi kusimama wala kupunguza speed bali.Kwa umeme huu wa 233 mega watt, kaka uliamini kabisa lile konokono lingetembea kwa dk 60 mpaka 70 DAR TO MORO?, Hii miradi ya usafiri unaotumia umeme hakuna hata mmoja utafanikiwa mzee......Tanzania bado hatuna umeme wa kurun hivi vitu. Imagine jana unaambiwa umeme ulikata mara mbili wakiwa njiani hivo kupelekea treni kusimama.🚮🚮🚮🚮🚮
Nitolee upuuzi wako hapa Kafie mbele huko.kwa bahati mbaya, nimeokoka, siwezi kutukanana na wewe kabisa hata unitukane vipi, ninamwomba Mungu akusamehe, mimi nakusamehe bure. Yesu anakupenda, mpe maisha yako. hayo sio maisha unayostahili ambayo Mungu alikuumba nayo uishi hapa duniani. Mungu akubariki.
Hapo tumepigwa, Kadogosa ili kuongezea kasi ya treni aliamua kutoa maelezo.Maumbo ya vichwa hvyo CETNRE OF GRAVITY iko juu mno na hivyo kwa upande wangu mimi kama mtu nilyesoma PHYSICS tu, si-RECOMMEND vichwa hivyo kutembea kilometre zaidi ya 100 kwa saa.
The higher the centre of gravity of a body, the less less stable it becomes
hili ni shirika kama mashirika mengine tu, tanesco, ewura, posta, NHC n.k, hayo pia hayakusanyi mapato? na yanailemea sana serikali? sitabishana sana kwa hapa. naona napoteza muda.Sasa wewe ndo you are so outdated na nadhani hujui how employment thing work in our country, Speaking of my very own area of expertise, haya mashirika yakitoa ajira yanapata kibali kutoka PSRS, na mode of payments zinatokana na revenue collection ya Serikali kuu meaning hawa ni watumishi wa umma, mode of recruitment hawa wanaweza wakaanza kwa kupewa mikataba ya ajira kwa muda usiozidi mwaka mmoja ila after kibali chao cha kazi kutoka kwa Katibu Mkuu kiongozi kutoka wanaingia moja kwa moja serikalini for the rest of their life regardless of whether wanachokifanya kinaipa Taifa faida au hasara. Msajili wa Hazina ambaye ndo msimamizi mkuu wa mashirika yote ya serikali, anapiga kelele kila siku namna haya mashirika yanavyotengeneza hasara kizembe hivyo kwa njia mbalimbali ikiwemo hio ya kuajili watu ambao they are not necessarily needed kwenye mashirika. Mimi i have been to London, studied in Texas, Lived in Austria and Finland na hao hostess sijawahi kuwaona kwenye hizo bullet train. Tusifanye waTanzania ni wajinga kiasi hicho.