Wataalam wa mambo ya uzazi naombeni msaada wenu, nimechanganyikiwa

ndo vile

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2023
Posts
443
Reaction score
296
Leo nimetoka kufanya kipimo cha ultrasound na mpenzi wangu, kipimo kikasema kuwa mpenzi wangu ana ujauzito wa wiki tisa na siku tatu, kinachotuchanganya ni mara ya mwisho kufanya nae mapenzi ilikuwa tarehe 28 desemba ambazo hadi leo wiki 9 hazifiki, je changamoto ni nini?
 
Gesta
Gestational age haipimwi hivo, angalia tar ya kwanza ya period ambapo hapo inaweza kuwa ilikuwa like 17 hivi ndo ujue ni week 9 au laa ndo uaze kupata presha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…