Leo nimetoka kufanya kipimo cha ultrasound na mpenzi wangu, kipimo kikasema kuwa mpenzi wangu ana ujauzito wa wiki tisa na siku tatu, kinachotuchanganya ni mara ya mwisho kufanya nae mapenzi ilikuwa tarehe 28 desemba ambazo hadi leo wiki 9 hazifiki, je changamoto ni nini?