Wataalam wa mambo ya uzazi naombeni msaada wenu, nimechanganyikiwa

Kwa jinsi mlivyochanganyikiwa, inaonekana kabisa hiyo mimba itakuwa sio ya kwenu.
 
Kipimo cha mimba siyo exact. Hizo huwa ni estimates tu. Kwani umejuaje mimba iliingia mara ya mwisho. Labda ungeweka mara 3 za mwisho kufanya mapenzi
 

Changamoto ni upumbavu wako, send her where she belongs, the street
 
Ultrasound inategemea sana na Mtaalam , inahitaji MTU ambaye ni More experienced.

Je kabla ya tarehe 28/12 hukuwa umeonana naye kunyanduana ?.

Je tarehe ya mwisho ya Hedhi yake aliipata lini ??.
 
Nenda peke yako hospital uombe kuelekezwa, kipimo cha mimba hakianzii siku uliyosex. Mwisho utajikuta unakataa mtoto wako bila sababu ya msingi.
 
Nenda peke yako hospital uombe kuelekezwa, kipimo cha mimba hakianzii siku uliyosex. Mwisho utajikuta unakataa mtoto wako bila sababu ya msingi.
Niwe muwazi kabisa wiki 9 na siku 3 zilizopita nilikuwa hata simfahamu huyu bibie kwa maana sijawahi hata kumuona ,nimemfahamu tarehe 24 desemba tarehe 28 tukanyanduana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…