Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

Mkuu unaishi Tanzania au unaishi nje ya nchi?
Kwa Tanzania Hospitali za Private nyingi kutoa Rufaa ni mpaka pale waone hali ya mgonjwa ni mbaya na hawawezi kufanya chochote
 
Matumizi ya miti shamba ni salama BICHWA KOMWE - Japo Inatakiwa kunywa Mitishamba iliyoThibitishwa na TMDA na Kupewa kibali kwenye Baraza la Tiba asili na tiba mbadala
Tatizo ndipo linapoanzia hapo kwenye TMDA na BARAZA.

Yani kuchuma majani ya mpapai mpaka nikaripoti kwa mwenyekiti wa TMDA? Ah weee!!

Babu zetu waliishi vizuri sana, wala hapakuwa na TMDA wala hayo MAGONOREA na MADOXYCYCLINE
 
Hata Dawa za Hospitali pia nyingi zimetokana na Mimea..
Mkuu
 
Uko sawa Mkuu haiwezi kuonyesha Symptoms na ndo maana you need to treat as Co-Infection..

Umewahi Kujiuliza Why we Treat STI as syndromic Approach and Not single Dx
Kwenye syndromic approach umewahi kuona wapi kuna Penadur? Point ya kufanya syndromic approach ni kwa sababu ya kukosa culture and sensitivity. Km unaweza kufanya culture and sensitivity hakuna haja ya syndromic approach. Back to your point niletee guideline yoyote inayotaja Penadur kwenye syndromic approach kuanzia first line mpaka third line.

Km unahisi kuna Syphilis unaweza kufanya VDRL/ RPR ku rule out na sio kumuumiza mtu na Penadur km Daktari wa ng'ombe ilhali haimsaidii
 
Tatizo ulipougua mara ya kwanza ulifanya aidha makosa mawili.

Mosi ,dawa ulizopewa zilifanya kazi ulipopata nafuu. Ukaziacha.

Pili , aliyekupa dawa hakufanya culture and sensitivity test hii iko maabara .

Yatokanayo

Mosi , ulipoacha dawa baada ya kupata nafuu vijidudu vilijibadili na kutengeneza usugu dhidi ya dawa hiyo kwani vilififishwa tu na havikufa hivyo vikaamka na kujihami zaidi.

Dawa za antibiotic hazitakiwi kutolewa kwa trial and error bali baada ya kufanya culture and sensitivity test ndio utajua dawa ipi bacteria wapo "susceptible" nayo.

Cha kufanya

Acha kujaribu jaribu tena dawa tofauti.

Fika hospitali ya kueleweka wakufanyie vipimo kwa usahihi walau hua ni kama saa 12 hadi 24 utapata majibu sahihi.

Ukipewa dawa tumia umalize dose kwa usahihi.

Mwenza wako apimwe pia akibainika mgonjwa aanze matibabu msikutane hadi upone.

Kila la kheri.
 
Hata Dawa za Hospitali pia nyingi zimetokana na Mimea..
Mkuu
Yes, mimea iliyochanganywa na makemikali LUKUKI kwa faida ya KIBIASHARA!

You are a very genuine doctor, lakini sasa hayo MADONGE YENU yanapunguzwa nguvu za uponyaji kwa makusudi na KUJAZWA MAKEMIKALI MABAYA ili kwamba mgonjwa aendelee kuwa mgonjwa milele and HENCE A FOREVER CLIENT.

MADONGE NI PESA, au nasema uongo?

Mgonjwa akipona maana yake mteja kapotea, NASEMA UONGO?

Ungekuwa wewe ni MUUZAJI WA MADAWA, ungekubali kupoteza wateja? NEHI.
 
Kwanza pole, lakini zaidi ya mate huenda uliplay kale kamchezo ka umri huo.
Lakini,kwa cefotraxisone hilo lidose mbona lingekupa na akiba kabisa hata ya miaka 10? Maana 2 au tatu mzigo kwisha! Inaelekea unaogopa kutumia dawa kwa usahihi ukiona umepata nafuu unaziacha. Utaanza upya sasa
 
Huyo unayemuamini ndio anakupa gono sugu, hiv na mengineyo. Yaani tunaambukizwa na watu tunaowaamini. Waliopo risk free ni wanaotumia kinga kwa kila tendo.
 
Antibiotics zipo kwa ajili ya kutibu na sio kupooza. Acha vita na Madaktari unapotosha jamii kwa sababu ya chuki zako za kushauriwa na Madaktari uache ushoga wako
 
Hahaha mkuu demu uliyemuamini ndio akakupa gonorrhea.Ukipona Uache Dhambi Mkuu Usiuze tena Mechi
 
Hao Madaktari unaowaita uchwara ndio watakaokutibu wewe na bwanako mnayefanya ushoga huku ukilalamika kufanyiwa domestic violence na mama mkwe. Unapinga dawa za Wagiriki huku unaendekeza tabia za Wagiriki ambao ndio waanzilishi wa ushoga na ufilanaji
Hahahahaaa 🀣🀣🀣🀣

Nakuona BABA DOXYCYCLINE umefura baada ya kichaka chako cha MAKEMIKALI kufyekwa.

Mgonjwa haponi kwa sababu ya ushamba wenu wa MAKEMIKALI, mko bize mnachanganya MADONGE YA HOVYO, mwisho wake mgonjwa anaharibika FIGO.

Amphetamine haiwezi kumuokoa mgonjwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unatakiwa utumie akili uache kuwa DOKTA UCHWARA unayeabudu MAKEMIKALI.

Embrace Nature. πŸ˜‰
 
Shukran Sana Kaka, nimechoka kumeza mrundiko WA antibiotics afu matokeo hakuna...
Swali Tu, matibabu yangu nayafanya APA agakhan kigambon au kisiwani he hivi vipimo vya culture naweza pata wapi, ili kujua Aina ya bacteria au fungus wanaonishambulia?
Thank you very much for time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…