Unakuwa na mwanamke anakupa fungus halafu bado unaendelea nae.You must be..... aisee.Unasema UTI ikute ilikuwa ugonjwa wa zinaa hata hayo maambukizi ya kwanza.Shukran Sana Dr Kwa your time, nothing to reward...
Mwanamke nilkua nae since last year Nov, na miezi hiyo nilpata UTI nikapewa flucamox nikapona kabisa.
September mwaka huu ndio nikapata Tena hii UTI mwanamke huyuhuyu Ila ndio haiponi.
Awali nimetumia dawa za UTI bila kupata nafuu, inapoa Tu ukimaliza dozi ikarudi, ndio nikabadil hospital wakanambia Kwa dawa nilizotumia kama ni UTI ingekua imeisha nilichonacho ni STD nikapewa dawa lakini ndio siponi..
Nisaidie kuleta hiyo guideline inayosema tutumie Penadur bila VDRL/ RPR kuwa positive. Napenda pia nikukumbushe the current guideline ni ya mwaka 2021/2022 hiyo ya 2017 Isha kuwa phased out though Nina uhakika kuna kitu umeoverlook kwenye VDRL/ RPRUmesema hivyo umenikumbusha kuna Jamaa yangu mmoja anafanya kazi kwenye Hospitali ya wilaya alikuwa Oncall siku moja wagonjwa unajua ukiwa oncall mara nyingi wanakuja sana kuanzia Saa 4 mpaka saa nane usiku sasa muda wa tisa akasema alale Ile ameenda kulala..
Akaja mgonjwa anaumwa japo alikuwa mzima tu yaani anasema anakojoa mkojo wa njano..
Jamaa na wenge la usingiz na hasira Akamuuliza ndo uje usiku huu..
Jamaa akamuandikia Penadur Tangu siku hiyo jamaa ananiambia hajawahi kukanyaga usiku tena π€£π€£
MKuu uko sawa Hivyo ndivyo inavyotakiwa kufanywa lakini Kwa hapa Tanzania Sijawahi kuona ikifanyika hivyo Nina miaka takribani Ishirini na kitu nikitibu na kufanya supervision sehemu mbalimbali..
Umesema kwenye syndromic Approach yoyote hakuna Penadur seriously
Kasome flow Chart 12. 8: ukurasa wa 129 wa STANDARD TREATMENT guildline toleo la mwaka 2017..
Na kingine huyu jamaa anaSyndromic approach inayosuggest Multi infection na kulingana na STG lazma kwanza umalize Treatment ndo uende kwenye culture and sensitivity..
Lakini kwa kuwa Ametumia sana dawa nakubalina na wewe Wayforwad ilikuwa ni moja Tu culture and Sensitivity vinginevyo atakuwa anameza Dawa kama Karanga tu
Liongo hilo ni ligonjwa halafu ni li malaya.Yaaani mimi ningempiga block moja matata,na ningehakikisha ninajitibu na kutulia kabisa.Huyo ni munipulator mkubwa.Anajua anaumwa na hawezi kupona cozi still analala na hao wengine aliowaambukiza au waliomuambukiza.Baada ya Mimi kuugua nilimjulisha akawa anawasiwasi, pia anakijitabu cha magonjwa ya STD nikajua Tu kapewa zahanati, pia Yuko very supportive kunambia Kua nitapona pia yeye anasema anadr wake anamjua tukishindwa uku nimwambie... Nikajua tayari pia ashawahi kunambia Anatoka Usaha na damu kabla sijaugua mim
Shukran Sana Kwa Ushauri, nataka kujua Tu ni sehemu naweza kwenda kufanya hicho kipimoMkuu naomba ufafanue zaidi hayo maneno hapo juu ?
Ni pm number yako nikupe elimu.Hautapona as bado unafanyana na huyo dada.Mana yeye bado ana hizo STD's.Kigambn kaka
DR Mambo JamboShukran Sana Kwa Ushauri, nataka kujua Tu ni sehemu naweza kwenda kufanya hicho kipimo
Kabisa asee, shukran SanaKuzurura kwake kumetokana na kukosa kipimo sahihi na Daktari sahihi wa kumpa dawa na vipimo sahihi. Hakuna antibiotic inayoua wadudu wote. Hi you mitishamba ingekuwa inatibu kwa kiwango hicho jamii za porini au jamii za sentinels wangekuwa na maisha marefu
Mkuu natambuaje kama nimepatwa na syphilis...!?Syphilis ya mwaka mmoja haiwezi kuonesha dalili maana ipo kwenye latent phase. Na toka lini syphilis ikasababisha urethral discharge au maumivu ya tumbo la chini (LAP)? Pia amesema mara ya kwanza alipona so kilichotokea ni recurrence sio chronicity
Liongo hilo ni ligonjwa halafu ni li malaya.Yaaani mimi ningempiga block moja matata,na ningehakikisha ninajitibu na kutulia kabisa.Huyo ni munipulator mkubwa.Anajua anaumwa na hawezi kupona cozi still analala na hao wengine aliowaambukiza au waliomuambukiza.
Unaachaje kufanya ilhali unakula, unashiba na mwili unataka?Bora kuacha kufanya. Au kuwa na mpenzi mmoja ambaye na yeye ana mpenzi mmoja ambaye ni wewe.
Umesema hivyo umenikumbusha kuna Jamaa yangu mmoja anafanya kazi kwenye Hospitali ya wilaya alikuwa Oncall siku moja wagonjwa unajua ukiwa oncall mara nyingi wanakuja sana kuanzia Saa 4 mpaka saa nane usiku sasa muda wa tisa akasema alale Ile ameenda kulala..
Akaja mgonjwa anaumwa japo alikuwa mzima tu yaani anasema anakojoa mkojo wa njano..
Jamaa na wenge la usingiz na hasira Akamuuliza ndo uje usiku huu..
Jamaa akamuandikia Penadur Tangu siku hiyo jamaa ananiambia hajawahi kukanyaga usiku tena π€£π€£
MKuu uko sawa Hivyo ndivyo inavyotakiwa kufanywa lakini Kwa hapa Tanzania Sijawahi kuona ikifanyika hivyo Nina miaka takribani Ishirini na kitu nikitibu na kufanya supervision sehemu mbalimbali..
Umesema kwenye syndromic Approach yoyote hakuna Penadur seriously
Kasome flow Chart 12. 8: ukurasa wa 129 wa STANDARD TREATMENT guildline toleo la mwaka 2017..
Na kingine huyu jamaa anaSyndromic approach inayosuggest Multi infection na kulingana na STG lazma kwanza umalize Treatment ndo uende kwenye culture and sensitivity..
Lakini kwa kuwa Ametumia sana dawa nakubalina na wewe Wayforwad ilikuwa ni moja Tu culture and Sensitivity vinginevyo atakuwa anameza Dawa kama Karanga tu
πππππ mkuu umefanikiwa kunichekesha kwa nguvu aisee daahhhNdiyo kwaheri hiyo, kwanza uzazi sahau.
Mkiambiwa zinaa na uasherati ni uchafu msiukaribie mnajifanya hamuelewi, mnaongeza na kufirana juu yake.
Shenzi taipu.
Dalili ya mwanzo inaweza kukuletea kidonda sehemu za siri kisicho na maumivu baadae kinatoweka. Mara nyingi Syphilis inakaa mwilini muda mrefu ( miaka kadhaa) bila kuonesha dalili yoyote tunaita latent phase. Kwa hiyo njia sahihi zaidi ni kufanya kipimo na uzuri kwa Tz kila mama mjamzito hupima Syphilis pindi anapohudhuria klinikiMkuu natambuaje kama nimepatwa na syphilis...!?
Hahahaha wabongo banaπππππ mkuu umefanikiwa kunichekesha kwa nguvu aisee daahhh
Sijakutana nae toka nianze kumeza dawa I think last time ilkua ni October, Mpaka sasa sijakutana nae, na nilielekezwa vizuri Kua niache sex Mpaka niponeNi pm number yako nikupe elimu.Hautapona as bado unafanyana na huyo dada.Mana yeye bado ana hizo STD's.
Usikutane nae tena.Kama kweli unataka kuepuka magonjwa ya zinaa.Sijakutana nae toka nianze kumeza dawa I think last time ilkua ni October, Mpaka sasa sijakutana nae, na nilielekezwa vizuri Kua niache sex Mpaka nipone
Sema mkuu usisahau kutubu pia Mungu yupo na anachukia matendo maovu...Hahahaha wabongo bana
Mkuu Kuna wakati as a Medical Personel Hutakiwi kuwa mbishi..Nisaidie kuleta hiyo guideline inayosema tutumie Penadur bila VDRL/ RPR kuwa positive. Napenda pia nikukumbushe the current guideline ni ya mwaka 2021/2022 hiyo ya 2017 Isha kuwa phased out though Nina uhakika kuna kitu umeoverlook kwenye VDRL/ RPR