Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

Na pia white spots kwenye penis inaweza kuwa ni dalili ya ugonjwa gani.
 
Nimtafute inbox nikusaidie pole sana
 
Ulicholeta hapa ni treatment of genital sore na sio syndromic approach treatment ya STIs. Kwenye historia ya mgonjwa wetu hakuna historia ya kidonda sehemu za siri ! Hizi mambo za kung'ang'ana na Penadur unazitoa wapi?
 
Wewe ni Daktari au unatak mwenzio aweke uhai wake rehani kwa kufuata ushauri wa kubahatisha? Lini Watz tutajifunza kuacha kuwa Madaktari uchwara?
 
Kuna sindano moja n msumal wa moto uo kwanza picha linaanza unatakiwa kwenda kuichoma ukiwa umeshiba na inapgwa tako zote mbil yan nusu tako moja nusu nyingine tako moja apo unatakiwa kurud baada ta siku ya 3 unapgwa nyingine tena kwa style iyo iyo mpka wiki iishe ila ukitoka apo ngono utaishia kuiona kwenye magrupu ya telegram mana sndano inauma n hatar na ukipgwa iyo unapumzishwa kama dakika kumi ndio unaambiwa nenda.. kaitafute itakusaidia kulko kunywa ivyo vidawa vya infection na cha kukuongezea Gono ni ugonjwa uliotoka kwa Mbwa kuptia ngono na wanyama wazungu wakalipata wakajkuta limeanza kuenea kwa binadam ndio mana kama unafuga mbwa jarbu kumwangalia nyet zake ua znatoa hayo mavitu yanayokutoka sasa. ACHA NGONO ZEMBE NA KUPGA MADEM CHIP WATAKUUA
 
Alikuambia hana rashes mkuu au umefanya conclusion mwenyewe?
Umemuuliza
Kwani si keshaeleza complaints zake mkuu kwann nitengeneze complaints zangu mwenyew? Labda nikuulize wewe kama amekueleza ana kidonda sehemu za siri mpaka ukaja na hiyo conclusion ya kutumia Penadur.

All in all Point yangu inabaki palepsle kuwa Penadur sio part ya syndromic approach treatment of STI unless mgonjwa awe na genital sore au RPRiwe positive. Najua Madaktari wa zamani mlikuwa mnaitumia lakini mkubali ilikuwa makosa na mnapaswa kuacha
 
Hiyo sindano unayoisema ni Penadur na Ina very narrow range of bacteria coverage kwa hiyo sio msaada kwa mgonjwa zaidi ya kumuumiza.

Kwanini Watz mnapenda kutoa ushauri kwa mambo msiyo na utaalam nayo na sensitive sana yanayohusu uhai wa watu. Hebu jikite kwenye fani yako usilete trial and error kwenye uhai wa mtu.
 
Umepiga kwenye mshono.

Wewe ndo daktari wa kweli sasa, uko SIMPLE and STRAIGHT TO THE POINT.

Achana na hawa MAKASUKU wanaoshindana kukariri misamiati ya KIGIRIKI lakini hawawezi kutibu mtu.

Mambo ya AMPHETAMINE THROMBOLYSIS πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ

Hovyo kabisa πŸ˜‚πŸ€£
 
Unataka adungwe sindano gani itakayosambaratisha bakteria wote?

ITAJE HAPA, acha maneno mengi.
Nilishajibu kuwa afanye culture and sensitivity ambapo mdudu ( bakteria) anayemsumbua atatambulika kwa jina na dawa zinazomuua.

Mathalani anaweza kuwa ana mdudu mfano ni Escherichia coli mwenye gamba gumu ( ESBL positive) ambaye anauawa na dawa km vile Carbapenems, Amikacin, Fosfomycin., Nitrofurantoin n.k. Hivyo basi akitumia hizi dawa zilizozoeleka huenda asipate nafuu abadan

Ili kuepusha kupiga ramli na kubahatisha ndio maana nikamshauri afanye culture and sensitivity kwenye maabara reputable km Lancet, Metropolis n.k( Note : Reputable Laboratories na sio uambiwe maabara nyingi zinafanya coz wore tunajua wataalam wetu baadhi ni tia maji km Carlos The Jackal )
 
SAWA.
 
Ulicholeta hapa ni treatment of genital sore na sio syndromic approach treatment ya STIs. Kwenye historia ya mgonjwa wetu hakuna historia ya kidonda sehemu za siri ! Hizi mambo za kung'ang'ana na Penadur unazitoa wapi?
Alikuambia hana rashes mkuu au umefanya conclusion mwenyewe? Kwamba hana rashes bila kumuuliza..

Umemuuliza?

Mkuu as my Knowledge of Reading and see ulisema kuwa hakuna syndromic approach yoyote inayotibu bila kupima..
Nisaidie kuleta hiyo guideline inayosema tutumie Penadur bila VDRL/ RPR kuwa positive. Napenda pia nikukumbushe the current guideline ni ya mwaka 2021/2022 hiyo ya 2017 Isha kuwa phased out though Nina uhakika kuna kitu umeoverlook kwenye VDRL/ RPR

All in all mkuu uko sawa ila tatizo ni mifumo yetu ndo inaingiza siasa kwenye matibabu....

Na unachosema Ni medically correct ila huku makazini hakifmayiki
 
UD sio STI mkuu..
But uko sawa Tusibishane kwenye vitu ambavyo havina msingi cha msingi tujikite kwenye Kumtibu mgonjwa..

Kuna signs ma symptoms zingine inabidi umuulize mgonjwa sio zote atakuambia you have to probe kama ana sign za Rashes..

All in all lets stick kumsaidia mgonjwa ila tukijibizana haileti picha nzuri na ni ethically prohibited
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…