Wataalamu wa Dini tusaidieni kwenye dhambi ya kuzini

Ni vizuri kwanza ukajua kwa kina unachizungumzia kabla ya kuuliza swali juu yake.
Labda nijue kwanza kile unachobeba linapotajwa neno "roho".
Roho ni nini?
 
Ufunuo Sura 21 Na Isaya 11:6-10.
Katika Isaya 11 uliyoyotoa ni kweli kwamba kina maisha yakijumuisha wanadamu na viumbe wengine. Maisha hayo ni ya hapa hapa duniani kwa mujibu wa kifungu cha 9.
Katika ufunuo 21 kuna harusi ya mwana kondoo ambapo kama maandiko yanavyotujuza ni ya kipindi cha miaka Elfu1.
Wakati wa kuuingia huu utawala sharti kwanza kuwe na tukio la ufufuo unaoitwa wa kwanza ambapo ufufuo huu utakuwa sambamba na kugeuzwa miili kwa watakaokutwa hai katika tukio la kufumba na kufumbua.
Tukio hili litokeapo kutakuwepo na hawa viumbe wengine wote na kwa kuwa hawahesabiwi kuwa na dhambi hawata angamia wakati wa kuitakasa dunia kwa moto
Warumi 8:21
[21]kwa kuwa viumbe vyenyewe navyo vitawekwa huru na kutolewa katika utumwa wa uharibifu, hata viingie katika uhuru wa utukufu wa watoto wa Mungu.
Because the creature itself also shall be delivered from the bondage of corruption into the glorious liberty of the children of God.

HAWA NDIO WATAKAOKUWEPO KATIKA ULE UTAWALA WA HARUSI YA MWANA KONDOO MIAKA 1000.
na kwa kuwa wana miili ya kutukuka waliyoipokea kwa kugeuzwa, wanarudi kwenye state ya umilele(eternity) iliyokuwepo kwa viumbe kabla ya anguko la Edeni huko mwanzo.
 
Kwa Nini viumbe wengine hawana dhambi?
 
Ni vizuri kwanza ukajua kwa kina unachizungumzia kabla ya kuuliza swali juu yake.
Labda nijue kwanza kile unachobeba linapotajwa neno "roho".
Roho ni nini?
🤣Niwaulize nyie mnaoamini hivi vitu...kwangu Mimi roho ni kisingizio Cha mwanadamu kukosa maarifa juu ya Hali halisi ya mwili, maisha na ulimwengu kiujumla
 
Kwa Nini viumbe wengine hawana dhambi?
Hawana nafsi ambayo ni utashi wa kupambanua mema na mabaya.
Ngombe au mbuzi wakila mahindi ya shamba lako huwezi wahubiria injili waguswe kwa kuungama na kutubu.
Hiyo inaitwa "kumpigia mbuzi gitaa"
 
[emoji1787]Niwaulize nyie mnaoamini hivi vitu...kwangu Mimi roho ni kisingizio Cha mwanadamu kukosa maarifa juu ya Hali halisi ya mwili, maisha na ulimwengu kiujumla
Labda ungetoa somo la hiyo hali halisi kwa viumbe hai ni nini kinachotokea ikifika wakati hakipumui tena na mifumo yate ya uendeshaji mwili kusimama na process ya kuoza kuanza kuchukua nafasi.
 
Kwanza uelewe mada yako umeikosea. Kuna ngono, uasherato, uzinzi, na ulawiti bila shaka. Sasa wewe umechanganya ngono, uasherati na uzinzi kapu moja. Ni kweli uzinzi ni kosa kwa mujibu wa maandiko. Uasherati pia, na ngono nje ya mfumo wa ndoa. Ulawiti ndio kasheshe. Sasa baada ya hapo ndio ulete mada yako
 

Asante na barikiwa sana.
Tunatazamia Mbingu mpya pia nchi mpya.
 
Hawana nafsi ambayo ni utashi wa kupambanua mema na mabaya.
Ngombe au mbuzi wakila mahindi ya shamba lako huwezi wahubiria injili waguswe kwa kuungama na kutubu.
Hiyo inaitwa "kumpigia mbuzi gitaa"
Kwani we ukila ng'ombe wanakuhubiria? Huwezi sema kula mazao yako ni kosa kwani ye anajua Hilo ..? Nafsi ni Nini? Niambie utashi ni Nini? Kama ndo hivyo kwa Nini Kuna mbwa tofauti, si wangekuwa wote sawa..mbona Kuna wapole wakali waoga wajasiri wavivu etc ... Mbona wanatabia tofauti... If huyo Mungu wako ni fair mbona anawapa free pass? Mbwa anaua anabaka anapiga mbwa wenzake anaibia pia, Ila sio wote wanafanya hivi...it means Kuna mbwa wema na wabaya so by using ur logic na roho zao zinabidi ziende either mbinguni au motoni. Why Sasa haipo hivyo according to storybook yako u call Bible
 
Labda ungetoa somo la hiyo hali halisi kwa viumbe hai ni nini kinachotokea ikifika wakati hakipumui tena na mifumo yate ya uendeshaji mwili kusimama na process ya kuoza kuanza kuchukua nafasi.
Sijui... Ila from the knowledge science has on brain...akili ikizima na we umezima... Ushawahi kuwa kwenye Ile gas ya usingizi hospital.. unakuja kushtuka tu operation imeisha u know nothing in between.. ndo hivyo hizi nerves ndo Zina control mawazo fikra na uhai wako sio roho sijui nafsi...hivi vitu vimetungwa na watu wazamani waliojua magonjwa yote yanasababishwa na mapepo
 
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" huyu mwanafalisafa na mwanamapinduzi ya kifikira hakukosea mnamuita Yesu!

Watu wanalishwa matango pori hata hawajigusi inasikitisha sana.
 
Kwa hiyo wewe pale home kwako mnafanana kwa kila kitu na mbwa wako.
Sina cha kukusaidia.
 
Akili ni nini?
Ukiufanyia upasuaji mwili wa kiumbe hai akili utaioona wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…