Kiby
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 6,921
- 4,683
Ni vizuri kwanza ukajua kwa kina unachizungumzia kabla ya kuuliza swali juu yake.Usiniletee vitabu ambavyo vinazungumzia madragon, unicorn, magiant, angels kulana na binadamu, watu wanaotembea juu ya maji, nyoka na punda wanaoogea, jua kusimama, wanyama wote kuishi ndani ya boti na bustani yenye miti ya kimiujiza....
Nipe jibu kamili Kama mbwa ana roho.. roho yake inaenda wapi akifa na kwa Nini na unipe ushahidi wa maelezo yako
Labda nijue kwanza kile unachobeba linapotajwa neno "roho".
Roho ni nini?