Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
Habari wa ndugu ....
Iko hivi ...
Nilipata ruhusa ya kwenda chuo nje ya nchi ila mkurugenzi wangu aligoma kunisainia barua.
Nikaondoka bila ruhusa yake.
Nikiwa huko masomoni nikapigwa SP ""Stop Pay"" sababu ni kuondoka kwenye kituo cha kazi bila ruhusa.
Nikapambana kwa kumbembeleza mwajiri, nashukuru baada ya SP kudumu miezi 4 ilifunguliwa na barua yangu ya ruhusa ya kwenda masomoni nilipata.
Sasa bana juzijuzi nikiwa likizo kutoka masomoni niliona fursa ya kuhamia taasisi ""Tamutamu"" na nikatuma maombi ya kuhamia huko.
Ili kuharakisha mambo nilirudi Ofisini kwangu Halmashauri nikaomba na nashukuru kila muhusika wa ku-approve hatua fulani ya uhamisho kakubali na sasa uhamisho wangu unasoma ""Your Transfer Request Approval Status PO - PSMGG (UTUMISHI)""
Sasa naomba ushauri ....
Kwanza kabisa Likizo yangu inaisha 22/08/2026 na 01/09/2026 natakiwa kuwa darsani, sasa Je ....
1. Hii hali ya status hii itachukua muda gani ili iwe approved na hao Utumishi?
2. Je ikiwa mkurugenzi wangu amekubali kama hivi nihame, Je utumishi wanaweza ku-reject??
3. Unanishauri ili kuharakisha mambo na kupokea majibu mazuri, Naweza kwenda Dodoma personally nika push mambo au nikae tu Dar nisubiri Utumishi wafanye kazi yao??
Asanteni.
Nasubiri ushauri.
#YNWA.
#YANGA_BINGWA