HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Vacancy kwa ninavyoelewa kama sehemu unayoenda hujui kama nafasi ipo ndio unatuma kwanza hiyo wakikubali unafanya transfer

Transfer uliyofanya kwa upande wangu uko sahihi kabisa kwasababu nafasi ilikuwepo kwahiyo kinachosubiriwa wenyewe wataangalia cv ya nani itawatosha watamjibu au kama ulikuwa kuna mtu tayari anakupambania kule unapohamia ni rahisi

Dodoma hakuna haja ya kwenda kila kitu ni mfumo utapoteza nauli ukienda dodoma , kwa supervisor inakaa siku 4 , mwajiri siku tatu, mkurugenzi siku saba wote wasipojibu kwa wakati automatic inaenda hatua nyingine , utumishi siku 21 hapa ndio kuna ugumu huwezi mforce katibu apitishe ndani ya huo muda ila siku 21 zikipita unaweza ulizia mchakato wako umefikia wapi kupitia call centre yao
 
Sijui niseme nini
Ila Mwajiri wako ku approve haimaanishi kukubali. Je kaweka comments zipi
Usikate kasema HUYU TUNAMSOMESHA KWA MASLAHI MAPANA YA HALMASHAURI. KWAIO MIAKA 3 YAKE KAMA TARATIBU ZA KUMSOMESHA MTUMISHI ZIZINGATIWE.

Though utumishi wanaweza TUPILIA MBALI SHAURI HILO
 
Umemaliza kila kitu mkuu. Mwaka jana mwezi wa saba nimehama kwa huu utaratibu. Nilienda utumishi wakaniambia nisubiri ombi langu linafanyiwa kazi, baada ya mwezi na nusu lilijibiwa na status ya APPROVED na barua ya uhamisho iliwekwa kwenye mfumo wa ESS.
 
Ulihama bila kuanza na "Vacancy Request", kwamba ulienda " Normal Transfer" moja kwa moja na ukapata barua??

#YNWA.
#YANGA_BINGWA
 
Sijui niseme nini
Ila Mwajiri wako ku approve haimaanishi kukubali. Je kaweka comments zipi
Usikate kasema HUYU TUNAMSOMESHA KWA MASLAHI MAPANA YA HALMASHAURI. KWAIO MIAKA 3 YAKE KAMA TARATIBU ZA KUMSOMESHA MTUMISHI ZIZINGATIWE.

Though utumishi wanaweza TUPILIA MBALI SHAURI HILO

Mwajiri nilimpigia simu, kiroho safi alikubali na alinibariki niondoke.

Nina miaka 14 Halmashauri, Masters nilimaliza 2020..!!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Vacancy kwa ninavyoelewa kama sehemu unayoenda hujui kama nafasi ipo ndio unatuma kwanza hiyo wakikubali unafanya transfer

Transfer uliyofanya kwa upande wangu uko sahihi kabisa kwasababu nafasi ilikuwepo kwahiyo kinachosubiriwa wenyewe wataangalia cv ya nani itawatosha watamjibu au kama ulikuwa kuna mtu tayari anakupambania kule unapohamia ni rahisi

Dodoma hakuna haja ya kwenda kila kitu ni mfumo utapoteza nauli ukienda dodoma , kwa supervisor inakaa siku 4 , mwajiri siku tatu, mkurugenzi siku saba wote wasipojibu kwa wakati automatic inaenda hatua nyingine , utumishi siku 21 hapa ndio kuna ugumu huwezi mforce katibu apitishe ndani ya huo muda ila siku 21 zikipita unaweza ulizia mchakato wako umefikia wapi kupitia call centre yao

Asante sanaa Boss.
Umenipa moyo, maana mi nilituma "Normal Transfer" moja kwa moja bila kuanza na "Vacancy Request".

Maoni yamekuwa mengi, japo KUKATA TAMAA NI MARUFUKU.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Sikuanza na Vacancy Request nilianza na Normal Transfer moja kwa moja...
Ila nimejipanga, wakigoma kupitisha sababu ya sikuomba nafasi (vacancy) before, basi nitaanza upya.

Nilitaka ku-withdraw nianze upya kwa kuomba Vacancy, ila nikaambiwa niache hivyo hivyo kwasababu wapo walianza na Normal Transfer moja kwa moja bila kupitia Vacancy Request na walitoboa.

Yote kwa yote MUNGU ATATENDA KWA UKUBWA WAKE.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hivi.. kuhama kwa njia ya zamani, kupeleka barua ambayo umepitishiwa na Boss wako.. hii njia bado inafanya kazi?
 
Ndio.
Mwaka jana nilienda nikaambiwa inafanya kazi..

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kwasasa naona kuna ugumu mambo ya hardcopy wanataka kupunguza/kuondoa kabisa barua utaona kwenye mfumo pale pale lengo ni kuondoa ule ukiritimba wa mtu kutokumsainia barua mtumishi kwa wakati ndio maana hata msimamizi au mkurugenz asiposaini katika muda uliowekwa inaondoka automatic kwenda hatua zingine , ila mfumo haukwepeki unayemtaka lazima utamwambia afanye transfer kwenye mfumo ili majukumu ya pepmis yaweze kuhama unapokwenda
 
Asante sanaa kiongozi kwa kuja kwenye uzi huu, na kunielewesha.

Ngoja mimi na jamaa angu tuzidishe maombi ili tukubaliwe kuhamia taasisi zenye maokoto.

Mwaka huu nimeanzisha harakati za kuhama kali sanaa, naomba Mungu kwa rehema zake mwaka huu anitoe huku TAMISEMI/Local Government na anipeleke hukoo pazurii.

2012 until present tukiwa local government ni muda mrefu sanaa.

Mungu mkubwa.

#YNWA.
#YANGA_BINGWA
 
Sijui niseme nini
Ila Mwajiri wako ku approve haimaanishi kukubali. Je kaweka comments zipi
Usikate kasema HUYU TUNAMSOMESHA KWA MASLAHI MAPANA YA HALMASHAURI. KWAIO MIAKA 3 YAKE KAMA TARATIBU ZA KUMSOMESHA MTUMISHI ZIZINGATIWE.

Though utumishi wanaweza TUPILIA MBALI SHAURI HILO
hii imenikumbusha mbali sana, by those days nilitaka kwenda kusoma pia, sasa mkuu wa idara alikuwa mshikaji wangu kinoma.
na kazi nilizokuwa nafanya hakutaka kabisa niondoke, lakini ile kunikatalia akashindwa, ishu nilikuwa sijamaliza miaka 2 kazini...
nilivyopeleka barua, alipitisha lakini akaandika muda nilio report kazini...bosi kubwa akapata sababu yakukataa. Ila sikujali nikasepa zangu, mwisho wa siku wakanifukuza na kazi yenyewe.
 
Asante sanaa kiongozi kwa kuja kwenye uzi huu, na kunielewesha.

Ngoja mimi na jamaa angu tuzidishe maombi ili tukubaliwe kuhamia taasisi zenye maokoto.

Mwaka huu nimeanzisha harakati za kuhama kali sanaa, naomba Mungu kwa rehema zake mwaka huu anitoe huku TAMISEMI/Local Government na anipeleke hukoo pazurii.

2012 until present tukiwa local government ni muda mrefu sanaa.

Mungu mkubwa.

#YNWA.
#YANGA_BINGWA
mi nilienda masomoni wakanifukuza kwa utoro...
 
Umemaliza kila kitu mkuu. Mwaka jana mwezi wa saba nimehama kwa huu utaratibu. Nilienda utumishi wakaniambia nisubiri ombi langu linafanyiwa kazi, baada ya mwezi na nusu lilijibiwa na status ya APPROVED na barua ya uhamisho iliwekwa kwenye mfumo wa ESS.
Maombi yako utumishi yalikaa kwa muda gani?
 
Back
Top Bottom