Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
- Thread starter
- #41
Ukipambana unarudishwa.mi nilienda masomoni wakanifukuza kwa utoro...
#YNWA.
#YANGA_BINGWA
Ukipambana unarudishwa.mi nilienda masomoni wakanifukuza kwa utoro...
Amesema hapo "...mwezi na nusu..""Maombi yako utumishi yalikaa kwa muda gani?
Watu wana bahati.Amesema hapo "...mwezi na nusu..""
Ni makadirio ya siku 40 - 50.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Asanteee.Kwa kawaida, mchakato huwa unachukua kati ya wiki 2 hadi 4, inategemea na wingi wa maombi yaliyopo na utayari wa mfumo, kwa kuwa una muda mfupi kabla ya kurudi chuoni, hali inaweza kuwa ya kusuasua.
Kukataliwa na Utumishi inawezekana kabisa maana wao huwa wanaangalia staffing levels, mahitaji ya taasisi unayotoka, na kama kuna kizuizi chochote cha kiutawala kama rekodi yako ya awali ya Stop Pay.
Kwenda Dodoma siyo lazima kwenda personally na mara nyingi haishauriwi kwani mifumo ni ya kidijitali, njia bora ni kuwasiliana na Afisa Utumishi wa taasisi unayokwenda ili wao wafuatilie kwa kutumia official channels au barua za kikazi.
Tuzidishe maombiWatu wana bahati.
Amin.Tuzidishe maombi
Mungu ni wetu soteee
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Jibu ni ndiyo. Utumishi wanao uamuzi maana DED anaweza kukosea au kuwa biased. Pili inawezekana unapotakiwa kuhamia kumejaa, hivyo utumishi wakakataa. Siyo kuwa Utumishi ni Rubber Stamp.Taasisi moja ya maokoto sanaa
Nililkuwa ""Focal person"" wao huko Halmashauri.
Mi nachoogopa na concern yangu ni ""Hivi kama mkurugenzi wako kapitisha ina maana karuhusu uondoke, Je Utumishi wao HAWAWEZI REJECT??""
#YNWA
#YANGA_BINGWA
AsanteJibu ni ndiyo. Utumishi wanao uamuzi maana DED anaweza kukosea au kuwa biased. Pili inawezekana unapotakiwa kuhamia kumejaa, hivyo utumishi wakakataa. Siyo kuwa Utumishi ni Rubber Stamp.
Nawe ulianza kuomba Vacancy transfer..?Umemaliza kila kitu mkuu. Mwaka jana mwezi wa saba nimehama kwa huu utaratibu. Nilienda utumishi wakaniambia nisubiri ombi langu linafanyiwa kazi, baada ya mwezi na nusu lilijibiwa na status ya APPROVED na barua ya uhamisho iliwekwa kwenye mfumo wa ESS.
Sio rahisi na wala sihitaji tena kurudishwa mkuu,Ukipambana unarudishwa.
#YNWA.
#YANGA_BINGWA
Hapana mkuu, Mimi nilienda kwenye mamlaka ambayo nataka kuhamia kuulizia kama nafasi ipo, wakanijibu kuwa niandike barua kisha wakajibu kuwa kuna nafasi ya senior Engineer II. Nikaandika barua kwa KM kuomba uhamisho kwenda huko na kuambatanisha ile barua kama attachment. Baada ya 40 days nikaona barua na APPROVED status.Nawe ulianza kuomba Vacancy transfer..?
Hiyo Barua ndio mbadala wa "Vacancy Request""Hapana mkuu, Mimi nilienda kwenye mamlaka ambayo nataka kuhamia kuulizia kama nafasi ipo, wakanijibu kuwa niandike barua kisha wakajibu kuwa kuna nafasi ya senior Engineer II. Nikaandika barua kwa KM kuomba uhamisho kwenda huko na kuambatanisha ile barua kama attachment. Baada ya 40 days nikaona barua na APPROVED status.
Yes.Hiyo Barua ndio mbadala wa "Vacancy Request""
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hebu nitumie PM hiyo Approved status nione inavyokuwa (hide taarifa zako muhimu) maana naisubiri kwa hamu sana😁. Kwa Mantiki hiyo wewe uliomba kupitia dirisha la NormalHapana mkuu, Mimi nilienda kwenye mamlaka ambayo nataka kuhamia kuulizia kama nafasi ipo, wakanijibu kuwa niandike barua kisha wakajibu kuwa kuna nafasi ya senior Engineer II. Nikaandika barua kwa KM kuomba uhamisho kwenda huko na kuambatanisha ile barua kama attachment. Baada ya 40 days nikaona barua na APPROVED status.
Yaaah, ukiwa na barua ya nafasi una uwezo wa kuanza normal Moja kwa Moja maana inakuwa ni vacancy toshaHiyo Barua ndio mbadala wa "Vacancy Request""
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sawa mkuu. Check PMHebu nitumie PM hiyo Approved status nione inavyokuwa (hide taarifa zako muhimu) maana naisubiri kwa hamu sana😁. Kwa Mantiki hiyo wewe uliomba kupitia dirisha la Normal
Ukiishafikia level hiyo shushu zipo nyingi tu hasa za kuhamia. Heko kwako Senior engineer.Hapana mkuu, Mimi nilienda kwenye mamlaka ambayo nataka kuhamia kuulizia kama nafasi ipo, wakanijibu kuwa niandike barua kisha wakajibu kuwa kuna nafasi ya senior Engineer II. Nikaandika barua kwa KM kuomba uhamisho kwenda huko na kuambatanisha ile barua kama attachment. Baada ya 40 days nikaona barua na APPROVED status.
Ukiishafikia level hiyo shushu zipo nyingi tu hasa za kuhamia. Heko kwako Senior engineer.
Hongera, vipi umeshafanikiwa kupata kibali?Habari wa ndugu ....
Iko hivi ...
Nilipata ruhusa ya kwenda chuo nje ya nchi ila mkurugenzi wangu aligoma kunisainia barua.
Nikaondoka bila ruhusa yake.
Nikiwa huko masomoni nikapigwa SP ""Stop Pay"" sababu ni kuondoka kwenye kituo cha kazi bila ruhusa.
Nikapambana kwa kumbembeleza mwajiri, nashukuru baada ya SP kudumu miezi 4 ilifunguliwa na barua yangu ya ruhusa ya kwenda masomoni nilipata.
Sasa bana juzijuzi nikiwa likizo kutoka masomoni niliona fursa ya kuhamia taasisi ""Tamutamu"" na nikatuma maombi ya kuhamia huko.
Ili kuharakisha mambo nilirudi Ofisini kwangu Halmashauri nikaomba na nashukuru kila muhusika wa ku-approve hatua fulani ya uhamisho kakubali na sasa uhamisho wangu unasoma ""Your Transfer Request Approval Status PO - PSMGG (UTUMISHI)""
View attachment 3631453
Sasa naomba ushauri ....
Kwanza kabisa Likizo yangu inaisha 22/08/2026 na 01/09/2026 natakiwa kuwa darsani, sasa Je ....
1. Hii hali ya status hii itachukua muda gani ili iwe approved na hao Utumishi?
2. Je ikiwa mkurugenzi wangu amekubali kama hivi nihame, Je utumishi wanaweza ku-reject??
3. Unanishauri ili kuharakisha mambo na kupokea majibu mazuri, Naweza kwenda Dodoma personally nika push mambo au nikae tu Dar nisubiri Utumishi wafanye kazi yao??
Asanteni.
Nasubiri ushauri.
#YNWA.
#YANGA_BINGWA