Hivi wakuu kama mtu aliajiriwa utumishi baada ya kwenda kuripoti kwa mwajiri zile siku 14 akapata kazi kwenye taasisi ya serikali ambayo haitumii check namba baada ya muda ile taasisi ya mwanzo inamwambia mchakato wa check namba tayari akaripoti aanze kazi, baada ya hapo akaawaandikiq barua kuwa amepata sehemu nyingine na wakakubali wakamtoa kwenye mfumo wa mishahara, sasa mwaka mpya wa fedha taasisi hii mpya imehamia kwenye check namba, anaambiwa na utumishi arudishe mshahara wa mwanzo wa ile taasisi wakati hakulipwa, je inachukua muda gani kukubaliwa ombi na katibu mkuu utumishi kuhusu matumizi ya check namba ya awali???, naombeni muongozo hapo