HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuna jamaa kapata kibali wiki hii na ombi lake lilifika Utumishi mwezi July mwaka huu..
Je, hii tuichukuwe kama ni habari njema kwa wote ambao maombi yao yalifika UTUMISHI mwezi huo July..?
Hongera zake ngoja tuvute subra
 
Kuna jamaa kapata kibali wiki hii na ombi lake lilifika Utumishi mwezi July mwaka huu..
Je, hii tuichukuwe kama ni habari njema kwa wote ambao maombi yao yalifika UTUMISHI mwezi huo July..?
Inawezekana kweli kuna formula hizo za first in first out , ila kuna mtu ombi lake lipo utumishi kabla ya julai na bado hajapata majibu. Vinginevyo alipata msaada, ongea nae vizuri.

Kila kitu kinawezekana, Je huko unakokwenda kama una ukaribu nao wanaweza kukulindia nafasi yako lakini kama hakuna mtu unaemjua wanaweza kufanya uhuni vile vile hasa HR wakauza nafasi kwa mwingine ambaye akapambana na kibali kikatoka kabla yako akaingia.
Mimi nina ushuhuda wa jamaa mmoja kapewa kibali cha kwenda kuripoti akachelewa kwa mwezi mmoja. Siku anaenda akakuta kuna mtu karipoti kwenye nafasi yake kama wiki mbili nyuma. Wakamwambia tayari kuna mtu. Ikabidi arudi Dodoma kwa katibu mkuu alikopewa barua ile. inavyoonekana aliyerioti ni mzito kuliko yule mtoto wa masikini uliyetumia ESS. Akapangiwa taasisi nyingine ingawa haikuwa nzuri kama ile ya awali aliyoikosa.
Taasisi tamu zina fitina nyingi unless uwe na taaluma unique kama za engineering, computer science e.t.c lakini kwa hizi fani za HR, Accounts na jamii ya hizo dakika sifuri watu wanakugeuka
Taaluma unique haipo hivyo.
Hapa LGA kwetu Idara ya Engineering wapo 12 na wahasibu wapo 4 na Idara ya biashara wapo wawili tuuu.

Hapo nani ni unique??

Unique ni GENERAL TERM sanaa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Wakuu hamtaki kuhamia Ofisi ya Msajili wa Hazina? Mbona wanatoa tangazo la marudio la nafasi za kuhamia?
Tukutane Interview kwenye hiyo Senior moja wapo.

Mungu Mkubwa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA.
 
Kuna jamaa kapata kibali wiki hii na ombi lake lilifika Utumishi mwezi July mwaka huu..
Je, hii tuichukuwe kama ni habari njema kwa wote ambao maombi yao yalifika UTUMISHI mwezi huo July..?
Jamaa angu alituma mwezi wa saba
Akapokea kibali
Na kasha report.
Yote hayo yamefanyika mwezi wa 7.

Life is not fair.

Tuendelee kupambana.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Jamaa angu alituma mwezi wa saba
Akapokea kibali
Na kasha report.
Yote hayo yamefanyika mwezi wa 7.

Life is not fair.

Tuendelee kupambana.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Yaaaah, kweli mkuu "Life is not fair" yaan mtu anatuma ombi Leo na baada ya wiki kibali hicho kimeappear kwa ESS. Chap tu
 
Hivi hizi za kuhamia zinahitaji barua ya maombi utakayoweka kwenye ajira portal ipite kwa Mwajiri..?
Lazima ipite kwa mwajiri.

Hiki ni kigezo tena kipo kisheria.
Kuna circular moja ya utumishi inasema hivyo.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom