HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sikuanza na Vacancy Request nilianza na Normal Transfer moja kwa moja...
Ila nimejipanga, wakigoma kupitisha sababu ya sikuomba nafasi (vacancy) before, basi nitaanza upya.

Nilitaka ku-withdraw nianze upya kwa kuomba Vacancy, ila nikaambiwa niache hivyo hivyo kwasababu wapo walianza na Normal Transfer moja kwa moja bila kupitia Vacancy Request na walitoboa.

Yote kwa yote MUNGU ATATENDA KWA UKUBWA WAKE.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Umeweka viambata gani kwenye hiyo normal transfer?
 
Mwalimu 😳😳😳

Jifunze kuheshimu watu.

Unanijua??

Ila kwa kukusaidia nina ...
1. Diplima in Finance
2. Bachelor of Science in Economics and Finance
3. Masters of Science in Economics and Finance
4. Candidate PhD in Financial Economics.

Employeed since 12/Feb/2012
Miaka 14 of experience, unadhani nitakuwa level gani??

""Naona umewatag walimu""
Hii dharau siku nyengine usiilete tena.

Nimekuheshimu sanaaa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Watu wa JF hua wanadhani kila mtu ni kama wao 😅😅

Safi sana, PhD candidate mwenzangu
 
Taaluma unique haipo hivyo.
Hapa LGA kwetu Idara ya Engineering wapo 12 na wahasibu wapo 4 na Idara ya biashara wapo wawili tuuu.

Hapo nani ni unique??

Unique ni GENERAL TERM sanaa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mkuu vacancy yeyote kwenye taasisi inaanzia idara ya utumishi wao ndio wanajua ikama yao. Sasa hebu fikiria kuwe na nafasi ya HR Officer moja inatakiwa. Unafikiri huyu HR kasoma na watu wangapi kwenye hiyo kozi alipokuwa chuo na kama hao classmate wake wana uhitaji unafikiri ataanza na mtu wa nje asiyemjua.
Sasa ninaposema taaluma Unique namaanisha HR anaumiza kichwa kwenye cycle yake yote hakuna mtu anaemfahamu, ukija kwa DG nae ndugu zake wote hawana vigezo husika. Hapo sasa mtoto wa masikini unaingia kiroho safi huku ukiupongeza mfumo lakini uhalisia pale ndani ya ofisi wamekosa mtu mwenye vigezo katika cycle ya watu wao wote wa karibu.
Tukubali tukatae kuna taaluma zina watu wachache kwa idadi ya graduate kuliko taaluma nyingine
 
Naombeni maelekezo Wakuu utaratibu wa Kuhama Pia nipo Kwenye RRH ya moja ya mkoa hapa Tanzania nataka nihame niende Moja ya Taasisi ya Elimu ya Juu mchakato naanzaje ni ESS au ndio nikaulizie nafasi huko ninakotaka kwanza au Vp wakuu!?
 
Naombeni maelekezo Wakuu utaratibu wa Kuhama Pia nipo Kwenye RRH ya moja ya mkoa hapa Tanzania nataka nihame niende Moja ya Taasisi ya Elimu ya Juu mchakato naanzaje ni ESS au ndio nikaulizie nafasi huko ninakotaka kwanza au Vp wakuu!?
Ukitaka mambo yasiwe mengi, anza kuweka mipango physically halafu ndo unaingia kwenye mfumo. Kwenye mfumo unakuwa unafanya kitu ambacho una uhakika nacho.

Vinginevyo🤷🏽‍♀️
 
Ukitaka mambo yasiwe mengi, anza kuweka mipango physically halafu ndo unaingia kwenye mfumo. Kwenye mfumo unakuwa unafanya kitu ambacho una uhakika nacho.

Vinginevyo🤷🏽‍♀️
Ni point ya msingi sana hii mkuu, wengi tunaenda kichwa kichwa sana, ndo maana mambo yanakuwa magumu kupita kiasi.
 
Back
Top Bottom