HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Naona umewatag walimu wenzako, sisi wa idara nyingine kwenye taasisi zinazojitegemea tukae kimya. Ila naimani utafanikiwa as long as it has already been approved. Nenda Dom kaka personally, utanishukuru

Mwalimu 😳😳😳

Jifunze kuheshimu watu.

Unanijua??

Ila kwa kukusaidia nina ...
1. Diplima in Finance
2. Bachelor of Science in Economics and Finance
3. Masters of Science in Economics and Finance
4. Candidate PhD in Financial Economics.

Employeed since 12/Feb/2012
Miaka 14 of experience, unadhani nitakuwa level gani??

""Naona umewatag walimu""
Hii dharau siku nyengine usiilete tena.

Nimekuheshimu sanaaa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Inshu ya kuomba nafasi ya kuhamia mbona kila nikigusa inanikatalia kuna mtu amesha toboa kweli? Jumbe nyingi mara no vacancy mara no designation
 
Inshu ya kuomba nafasi ya kuhamia mbona kila nikigusa inanikatalia kuna mtu amesha toboa kweli? Jumbe nyingi mara no vacancy mara no designation
Inamaana huko unakotaka kwenda nafasi hakuna.
Na kama unaomba kupitia hii PDF ya page 25, ina maana hiyo post nafasi zishajaaa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mimi nauliza tuseme mtu ameajiliwa amefikisha mwaka Mmoja na akapewa barua ya kuzibitishwa je anaweza kuhama? Pia ikiwa mtu huyu ana connection anapotaka kwenda Kuna dalili ya kupokelewa je Kuna haja ya kujaza kwenye mfumo kuomba kuhama au ni mwendo wa barua tu?
 
Unahama ila kwa connection.
Kwa kutumia ESS ni baada ya miaka mitatu ila kwa connection INAWEZEKANA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Naona umewatag walimu wenzako, sisi wa idara nyingine kwenye taasisi zinazojitegemea tukae kimya. Ila naimani utafanikiwa as long as it has already been approved. Nenda Dom kaka personally, utanishukuru
Kwahyo akienda tu Dodoma wakamuona physically watachakata ombi lake chap, ndio una maanisha..
 
Wakuu mimi nilitaka kuhama sababu ni medical reason, ninayo report ya Daktari.
Niliweka ombi langu kwenye mfumo, mwajiri akakubari, ila ombi likakataa kutumwa sababu sijamaliza miaka mitatu.
Nikawasiliana nao wizarani wakaniambia niende kwa Katibu tawala yeye ndio aandike barua kuniombea.
 
Fanya hivyo kama ulivyoambiwa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kwahyo akienda tu Dodoma wakamuona physically watachakata ombi lake chap, ndio una maanisha..
Hizo nijitihada ambazo anaweza kuzifuata kwa mifumo ambayo wamejitengenezea "Know who" ila tunapoelekea ni ukombozi halisi wa kiakili, uwezo na uwajibikaji. Sisi ni watanzania na nilazima tupiganie vizazi vyetu vijavyo. If you're keen enough to understand what I mean.... asante sana
 
Buda hii ni ngumu kweli. Mimi nimesikia watu wakipitia hivyo, na ushauri wangu ni kwamba usikae kimya, jaribu kufuatilia kupitia mamlaka ya juu kama TAMISEMI au Baraza la Ushauri la Utumishi. Pia, kama una nyaraka zote, endelea kusisitiza, usikate tamaa. Wengine wamefanikiwa kwa kupitia njia za kintawala, ila ni uvumilivu mwingi. kweli
 
Huu mchakato wa kuhama lazima niuanze soon
 
Back
Top Bottom