kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 2,181
- 1,988
vuta subra september kinawakaKama mwezi ivi
vuta subra september kinawakaKama mwezi ivi
Same to me,, September tunatoboa,Kama mwezi ivi
Kwa saaaaana,, September zaga lazima liteme. Ushuhuda kwa watu waliopata vibali ni kwamba PO-PSMGG wanajibu maombi ndani ya miezi miwili.Itoshe kusema September inasubiriwa kwa hamu kubwa na members wa uzi huu,sijui hizi tetesi za September zimetokea wapi!
Not budgeted mlikwepa vipiSame to me,, September tunatoboa,
Mungu Ni Mwema 🙏
hongera naweHongera kwa kutoka utumwani....
Huku Local Govaa, ni shidaa kwa kweli
Ziko taasisi zina mishahara tu mikubwa lakini kwenye posho ni sifuri hakuna hata mia mbovu bora hata halmashauri unaweza kuokota chochote kitu. Inabidi uwe makini sana unapochagua sehemu ya kwendaHongera kwa kutoka utumwani....
Huku Local Govaa, ni shidaa kwa kweli
Mkuu,...kwanza mi nmechanganya mafaili...Ziko taasisi zina mishahara tu mikubwa lakini kwenye posho ni sifuri hakuna hata mia mbovu bora hata halmashauri unaweza kuokota chochote kitu. Inabidi uwe makini sana unapochagua sehemu ya kwenda
Chagua Taasisi zenye Vacancy, usilazimishe Taasisi isiyo na Vacancy itakuua kwa pressureNot budgeted mlikwepa vipi
Utajuaje kuwa hii taasisi ina vacancy kwa kada yako?Chagua Taasisi zenye Vacancy, usilazimishe Taasisi isiyo na Vacancy itakuua kwa pressure
Kwa hiyo aliye commenthapo ikama kwenye kituo chako kuna upungufu
Kama zipi mkuuZiko taasisi zina mishahara tu mikubwa lakini kwenye posho ni sifuri hakuna hata mia mbovu bora hata halmashauri unaweza kuokota chochote kitu. Inabidi uwe makini sana unapochagua sehemu ya kwenda
Tra nasikia wanabasic kubwa ila hawana posho, tpdc wana basic ndogo ila posho kubwa ila ewura wako vyema kila kitu kuzidi wote wawili hawa....Kama zipi mkuu
hizo setting tu za adminKwa hiyo aliye comment
Daa,ko haiwezekani kubadili hiyo statushizo setting tu za admin
Hizo ni kama nchi za ahadi,Unless otherwise ukutane na ma destiny helper akushike mkonoTra nasikia wanabasic kubwa ila hawana posho, tpdc wana basic ndogo ila posho kubwa ila ewura wako vyema kila kitu kuzidi wote wawili hawa....
ongea na boss wakoDaa,ko haiwezekani kubadili hiyo status