Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
- Thread starter
- #221
Mbona wanasema GRANTED ina-appear sambamba na kibali (PDF)Kwenye ESS unakutana tu na status.
Kama ni "Granted" basi unasubiri kibali, na HR wako akikipokea na Mkurugenzi akisaini basi yeye HR ana ki-attach kwenye ESS na huko unakoenda wanakipokea kwa mfumo.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Samahani kaka, hivi maana yake amepokea barua ya uhamisho kutoka utumishi au tyr kila kitu paka kazini ameshapitishwa.. na je kaka barua ikitoka utumishi je process za kutoka ofisin kwenu paka uhamishiwe taarifa zako kwenda taasisi nyingne inachukua muda ganiKuna mmoja kazini kwetu alituma maombi na yakafika Utumishi June, kalamba asali juzi (26/08/2026).
Tuendelee na Dua na sala.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
watumishi wote wapo chini ya Utumishi ambae ndo hutoa kibali cha hiyo taasisi/wizara/Halmashauri nk wewe kukuajiri. Sasa nani anakuzuia na yeye kaajiriwa na nani kibali cha ajira yake?Hivi kuna uwezekano barua ya uhamisho ikatoka utumish kuwa umehamishiwa taasis fulan afu bado taasisi yako wakakuzuia kuondoka...?
duh kubwa kuliko hiiView attachment 3660910Majibu yameanza kutoka wakuu
Kweli hata kama ofisi yako hatua zote zimepita sawa, ila utumishi mambo yanaweza badirika, na ukakosa transfer
lini hiyoView attachment 3660910Majibu yameanza kutoka wakuu
Kweli hata kama ofisi yako hatua zote zimepita sawa, ila utumishi mambo yanaweza badirika, na ukakosa transfer
Hili jibu la lini mkuu na alianzisha ombi lini?Mhusika alianza na vacancy request?View attachment 3660910Majibu yameanza kutoka wakuu
Kweli hata kama ofisi yako hatua zote zimepita sawa, ila utumishi mambo yanaweza badirika, na ukakosa transfer
Mmmh,, ,, Nashindwa kuelewaaa...kwanini uthibitisho wa nafasi usiwepo,, wakati muda wa ku submit kwenye vacancy request,ilikubali? Haikusema not badgetView attachment 3660910Majibu yameanza kutoka wakuu
Kweli hata kama ofisi yako hatua zote zimepita sawa, ila utumishi mambo yanaweza badirika, na ukakosa transfer
Hii ilianza Moja kwa Moja na transfer bila vacancy request.View attachment 3660910Majibu yameanza kutoka wakuu
Kweli hata kama ofisi yako hatua zote zimepita sawa, ila utumishi mambo yanaweza badirika, na ukakosa transfer
Mmmh,, ,, Nashindwa kuelewaaa...kwanini uthibitisho wa nafasi usiwepo,, wakati muda wa ku submit kwenye vacancy request,ilikubali? Haikusema not badget
😂😂😂KM-UTUMISHI KUMANYOKO SANA
Unamuhamisha mtu kwenye TAASISI anayolipwa Allowances za Milioni 2 Kila mwezi unamuhamisha kwenye TAASISI ambayo wanaishia kupata BASIC SALARY TU.
Huku unajua huyu Mtumishi huo Mshahara wake BASIC SALARY yake amekopea Bank pamoja na hizo ALLOWANCES zake pia amekopea.
Sasa unategemea huo mkopo wake atalipaje???
Haya ndiyo mambo ambayo Ofisi ya Rais - UTUMISHI mnachukiwa na Watumishi wa Umma.
USENGEREMA TU, mnatoa watu katika Taasisi zenye kulipa vizuri ili mpachike Ndugu zenu.
KUMANYOKOLO NYIE
kabisa😂😂😂
Pole sana mkuu, usikute Huyo mtumishi alikorofishana na Boss zake.. KM UTUMISHI ye kaombwa tu kuwa tuhamishie huyu mtu. So hapo KM UTUMISHI wala hana baya😁
kipenseli2021 September ishaingia hii.. vipi kuhusu spidi ya utokaji wa vibali vya uhamisho huko ofisini kwenu au Hakuna wanaosubiria..?kabisa
hahahaahahha uku badokipenseli2021 September ishaingia hii.. vipi kuhusu spidi ya utokaji wa vibali vya uhamisho huko ofisini kwenu au Hakuna wanaosubiria..?
Pole sana mkuu. Ila naona umekuwa wa mwanzo kujibiwa kuliko tuliotangulia. Mkuu Liverpool VPN lake lilifika 15 July ila sidhani kama kajibiwa labda aje atupe ushuhudaHii ilianza Moja kwa Moja na transfer bila vacancy request.
Ilianza kwa muajiri wa Sasa July 10 2026, akaipitisha kwenda utumishi July 30.
Ndio majibu yametoka usiku wa tarehe 31 August 2026. Jioni status ilikua pending approval ya utumishi
Sasa sijui ni automatic reply, maana majibu yamekuja usiku status imebadirika
Nakumbuka reason ya transfer ilikua medical condition, lakini hakukua na attachment ya hospital report pia. Japo kama sababu ni hiyo ingesemwa
Anyway all the best kwa wengine, huenda hii inasababu za msingi pia kuwa rejected
Pole sana mkuu. Next time viambata muhimHii ilianza Moja kwa Moja na transfer bila vacancy request.
Ilianza kwa muajiri wa Sasa July 10 2026, akaipitisha kwenda utumishi July 30.
Ndio majibu yametoka usiku wa tarehe 31 August 2026. Jioni status ilikua pending approval ya utumishi
Sasa sijui ni automatic reply, maana majibu yamekuja usiku status imebadirika
Nakumbuka reason ya transfer ilikua medical condition, lakini hakukua na attachment ya hospital report pia. Japo kama sababu ni hiyo ingesemwa
Anyway all the best kwa wengine, huenda hii inasababu za msingi pia kuwa rejected
Me naona ni issue ya Vacancy tu yaan nafasi wazi kama walivyojibu. Halafu Kuna Uzi Fulani wa uhamisho wadau waliwahi kuleta REJECTED kama hii. Yule jamaa alielekezwa moja kwa Moja kuwa aombe tena kupitia dirisha la VacancyPole sana mkuu. Next time viambata muhim