HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

KM-UTUMISHI KUMANYOKO SANA

Unamuhamisha mtu kwenye TAASISI anayolipwa Allowances za Milioni 2 Kila mwezi unamuhamisha kwenye TAASISI ambayo wanaishia kupata BASIC SALARY TU.

Huku unajua huyu Mtumishi huo Mshahara wake BASIC SALARY yake amekopea Bank pamoja na hizo ALLOWANCES zake pia amekopea.

Sasa unategemea huo mkopo wake atalipaje???

Haya ndiyo mambo ambayo Ofisi ya Rais - UTUMISHI mnachukiwa na Watumishi wa Umma.

USENGEREMA TU, mnatoa watu katika Taasisi zenye kulipa vizuri ili mpachike Ndugu zenu.

KUMANYOKOLO NYIE
Kama vile mtu akutoe TCRA akupeleke Halmashauri. Wengi hupata stress na ufanisi wao hupungua na kama ameshajiwekeza vitega uchumi mara nyingi huwa wanaacha na kazi kabisa.
 
Me naona ni issue ya Vacancy tu yaan nafasi wazi kama walivyojibu. Halafu Kuna Uzi Fulani wa uhamisho wadau waliwahi kuleta REJECTED kama hii. Yule jamaa alielekezwa moja kwa Moja kuwa aombe tena kupitia dirisha la Vacancy
Shukran kwa ufafanuzi.. Maana mambo ya Ess Pasua Kichwa
 
Unamhamishaje mtu bila taarifa ulimsaidia kufanya interview??, jitu limekaa ofisini linajiandikia barua ya uhamisho aisee sio fair kabisa yani, kwani sababu ya kumhamisha mtu bila taarifa huwaga ni nini hasa??
Hahaha kuna mtu amehamishwa kutoka ewura kwenda tpdc, je hapo ameshushwa au amepandishwa...?
 
Hii wiki wengi wamepata vibali. NIMEONA fb wadau wanatoa ushuhuda
 

Attachments

  • Screenshot_20260903_093224_Chrome.jpg
    Screenshot_20260903_093224_Chrome.jpg
    43.6 KB · Views: 20
Hii nimeona tarehe 1/9/2026.......,ila barua ilitumwa ninakokwenda na ninakotoka wiki moja kabla ya mimi kuona mabadiliko. Nilipigiwa simu kwenda kuchukua barua kabla ya kuona mabadiliko haya.
Kwa sasa barua imewekwa pia kwenye ESS yako..?
 
Back
Top Bottom