Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 39,203
- 79,500
Labda kama sijui kiingerezaWakuu nisaidieni hapo natokajae,nikisubmit inaniandikia hvyo
Mbona hapo inasema taasisi uliyopo sasa hivi ina staff wachache wa cheo chako? Means bado unahitajika
Labda kama sijui kiingerezaWakuu nisaidieni hapo natokajae,nikisubmit inaniandikia hvyo
Mimi ningekua wewe ningeomba kazi kabisa kama naona sifa ninazo.Hapa pananifaa kwani naona wazoefu mpo tena mko serious kwenye kusaidia. Mimi nimekutana na not budgeted kila ninapojaribu ku submit vacancy transfer. Ubaya wakati mwingine naona taasisi husika imetoa nafasi za ajira kupitia ajira portal na sifa wanazohitaji ninazo ila kwenye ESS inagoma.Hapa navukaje wakuu.
NB: Niwe tu muwazi kwenu ndg zangu,Nina bachelor of education in adult education and community dvlpt. Naomba mwenye uwezo wakunisapoti anisaidie nipate connection ya vyuo vya kati (vya ualimu au maendeleo ya jamii)au kuhamia taasisi ya elimu ya watu wazima.
Jaribu kutafuta taasisi mbalimbali one day Mungu atakujalia utakuta taasisi Moja ombi litakubalika tu pia kwa kozi Yako jaribu nafasi kama TA, Warden, Examination officer, Admissions officer nk tafuta sehemu sahihi kwako ,usitafute sehemu yenye mshahara mkubwaHapa pananifaa kwani naona wazoefu mpo tena mko serious kwenye kusaidia. Mimi nimekutana na not budgeted kila ninapojaribu ku submit vacancy transfer. Ubaya wakati mwingine naona taasisi husika imetoa nafasi za ajira kupitia ajira portal na sifa wanazohitaji ninazo ila kwenye ESS inagoma.Hapa navukaje wakuu.
NB: Niwe tu muwazi kwenu ndg zangu,Nina bachelor of education in adult education and community dvlpt. Naomba mwenye uwezo wakunisapoti anisaidie nipate connection ya vyuo vya kati (vya ualimu au maendeleo ya jamii)au kuhamia taasisi ya elimu ya watu wazima.
Taasisi ya elimu ya watu wazima mbona ina nafasi nyingi za kuhamia muhimu ni kwenye mfumo wakati wa kuomba vacancy bonyeza kipengele cha recategorization then chagua kada kama Instructor, Tutorial Assistant, Assistant lecture na kadhalika ila pale nafasi zipo mzeeHapa pananifaa kwani naona wazoefu mpo tena mko serious kwenye kusaidia. Mimi nimekutana na not budgeted kila ninapojaribu ku submit vacancy transfer. Ubaya wakati mwingine naona taasisi husika imetoa nafasi za ajira kupitia ajira portal na sifa wanazohitaji ninazo ila kwenye ESS inagoma.Hapa navukaje wakuu.
NB: Niwe tu muwazi kwenu ndg zangu,Nina bachelor of education in adult education and community dvlpt. Naomba mwenye uwezo wakunisapoti anisaidie nipate connection ya vyuo vya kati (vya ualimu au maendeleo ya jamii)au kuhamia taasisi ya elimu ya watu wazima.
Kama Ajira portal wanatangaza za kuhamia kada kama yako kwanini usiombe via that channel..?Hapa pananifaa kwani naona wazoefu mpo tena mko serious kwenye kusaidia. Mimi nimekutana na not budgeted kila ninapojaribu ku submit vacancy transfer. Ubaya wakati mwingine naona taasisi husika imetoa nafasi za ajira kupitia ajira portal na sifa wanazohitaji ninazo ila kwenye ESS inagoma.Hapa navukaje wakuu.
NB: Niwe tu muwazi kwenu ndg zangu,Nina bachelor of education in adult education and community dvlpt. Naomba mwenye uwezo wakunisapoti anisaidie nipate connection ya vyuo vya kati (vya ualimu au maendeleo ya jamii)au kuhamia taasisi ya elimu ya watu wazima.
Ina maana huo kibali Cha uhamisho wa mwanzo hawakutoa hao UTUMISHI, kwanini wamrudishe au kumsumbua mtumishi..?Kuna ajira mpya iliajiriwa mwaka jana hapa halmashauri ndani ya miezi minne ikahamia taasisi Dodoma bila hata kuthibitishwa.
Yenyewe ilihama kwa makaratasi.
Wiki iliyopita imerudi tena baada ya utumishi kuitumia barua ya kurudi kituo chake cha kazi alichoajiriwa mwanzoni.
Kuna mwezi fulani Utumishi walitangaza wanarudisha watumishi waliohama bila utaratibuIna maana huo kibali Cha uhamisho wa mwanzo hawakutoa hao UTUMISHI, kwanini wamrudishe au kumsumbua mtumishi..?
Kaka uliajiriwa taasisi straight au ulihamia na ndiyo umehamishwa tena?NDIYO maana NASEMA huyu KM-UTUMISHI ni KUMANYOKORO na MUSENGEREMA SANA.
UNANIAMISHA KUTOKA TAASISI NALIPWA ALLOWANCES MILIONI 2-3 UNANIPELEKA HALMASHAURI YENYE MSHAHARA MDOGO MARA TATU NILIYOKUWA NALIPWA HALAFU HAKUNA ALLOWANCES NA UNAKAA MIEZI 7 SASA HAKUNA MSHAHARA UNAOLIPWA WALA POSHO YA SAFARI ULIYOLIPWA.
KUMAMAYO KM-UTUMISHI
Duuh kwel kaka hii n changamotoNiliajiriwa kwenye Taasisi Straight tena kwa mchujo mkali wa Written na Oral Interview.
Nimedumu kwenye hiyo Taasisi Kwa miaka zaidi ya 15.
Mshahara nilikuwa nalipwa ambao ni Basic Salary ni TZS 4.5 Milioni ambao hadi Sasa nalipwa ingawa Mwaka huu wa Fedha hiyo Taasisi imeongeza 25% na Allowances zote nilizokuwa nalipwa zilikuwa Milioni 2?5 na hizo ALLOWANCES hazikuwa na Kodi nazipata kama zilivyo.
Ililipofika mwezi Januari Mwaka huu nikapokea barua ya Uhamisho ya bila TAARIFA kuhamia Halmashauri Moja iliyopo Mikoani huko bila hata kuwa na shauri lolote la Nidhamu na sijawahi kuandikiwa barua yeyote hata ya kuchelewa ofisini, File langu ni clean tangu nilipoajiriwa.
Halmashauri niliyofika wamenipokea huu ni mwezi wa 8 Sasa unaenda sijalipwa Mshahara WALA posho ya uhamisho na Kila siku kazini naenda.
Ndiyo maana NASEMA huyu KM- UTUMISHI KUMANYOKORO NA MSENGEREMA TU.
ALIYEPACHIKWA BAADA YA MIMI KUTOLEWA NI MTOTO WA KIGOGO MMOJA HIVI HUKO SERIKALINI.
MAKUMA SANA HAWA UTUMISHI
Mkuu embu nenda Sumbawanga nasikia kuna waganga wazuri usikae kinyonge.Niliajiriwa kwenye Taasisi Straight tena kwa mchujo mkali wa Written na Oral Interview.
Nimedumu kwenye hiyo Taasisi Kwa miaka zaidi ya 15.
Mshahara nilikuwa nalipwa ambao ni Basic Salary ni TZS 4.5 Milioni ambao hadi Sasa nalipwa ingawa Mwaka huu wa Fedha hiyo Taasisi imeongeza 25% na Allowances zote nilizokuwa nalipwa zilikuwa Milioni 2?5 na hizo ALLOWANCES hazikuwa na Kodi nazipata kama zilivyo.
Ililipofika mwezi Januari Mwaka huu nikapokea barua ya Uhamisho ya bila TAARIFA kuhamia Halmashauri Moja iliyopo Mikoani huko bila hata kuwa na shauri lolote la Nidhamu na sijawahi kuandikiwa barua yeyote hata ya kuchelewa ofisini, File langu ni clean tangu nilipoajiriwa.
Halmashauri niliyofika wamenipokea huu ni mwezi wa 8 Sasa unaenda sijalipwa Mshahara WALA posho ya uhamisho na Kila siku kazini naenda.
Ndiyo maana NASEMA huyu KM- UTUMISHI KUMANYOKORO NA MSENGEREMA TU.
ALIYEPACHIKWA BAADA YA MIMI KUTOLEWA NI MTOTO WA KIGOGO MMOJA HIVI HUKO SERIKALINI.
MAKUMA SANA HAWA UTUMISHI
Nakuelewa mkuu.Niliajiriwa kwenye Taasisi Straight tena kwa mchujo mkali wa Written na Oral Interview.
Nimedumu kwenye hiyo Taasisi Kwa miaka zaidi ya 15.
Mshahara nilikuwa nalipwa ambao ni Basic Salary ni TZS 4.5 Milioni ambao hadi Sasa nalipwa ingawa Mwaka huu wa Fedha hiyo Taasisi imeongeza 25% na Allowances zote nilizokuwa nalipwa zilikuwa Milioni 2?5 na hizo ALLOWANCES hazikuwa na Kodi nazipata kama zilivyo.
Ililipofika mwezi Januari Mwaka huu nikapokea barua ya Uhamisho ya bila TAARIFA kuhamia Halmashauri Moja iliyopo Mikoani huko bila hata kuwa na shauri lolote la Nidhamu na sijawahi kuandikiwa barua yeyote hata ya kuchelewa ofisini, File langu ni clean tangu nilipoajiriwa.
Halmashauri niliyofika wamenipokea huu ni mwezi wa 8 Sasa unaenda sijalipwa Mshahara WALA posho ya uhamisho na Kila siku kazini naenda.
Ndiyo maana NASEMA huyu KM- UTUMISHI KUMANYOKORO NA MSENGEREMA TU.
ALIYEPACHIKWA BAADA YA MIMI KUTOLEWA NI MTOTO WA KIGOGO MMOJA HIVI HUKO SERIKALINI.
MAKUMA SANA HAWA UTUMISHI
Kwenye hizo taasisi umetaja kuna mojawapo kuna senior wangu kaenda anakuambia mshahara wake ni mkubwa kuliko hata wa DED na kamzidi mkuu kada yetu kitaifa.Mkuu hii ni NSSF au PSSSF..? maana kwa hiyo salary na posho inaweza kuwa ni Moja ya Taasisi kati ya hizi..?
Nawaza hiyo posho 2.5 M.. yaan hata basic ya mshahara wangu haifiki halafu huko wanapokea kama posho. Uwiiiiiiih kuna taasisi watu wanakula maisha hii Bongo🤔
Sisi wengine tunapambania uhamisho Taasisi zenyewe hata posho hazieleweki na Bado hatupewi Vibali tunasugua😁
kinondoniilala
ukiwa mwajiriwa mfumo wa ajira portal unakataa mkuuMimi ningekua wewe ningeomba kazi kabisa kama naona sifa ninazo.
Mwanzo nilikuwa naomba kwa ku create transfer vacancy ikawa inagoma kwa kuandika "not budgeted", ila baada ya kupitia uzoefu wa watu humu nika delete ile transfer nakuomba kupitia normal transfer naona imekubali kwenda. Ngoja nijaribu kusikiliziaJaribu kutafuta taasisi mbalimbali one day Mungu atakujalia utakuta taasisi Moja ombi litakubalika tu pia kwa kozi Yako jaribu nafasi kama TA, Warden, Examination officer, Admissions officer nk tafuta sehemu sahihi kwako ,usitafute sehemu yenye mshahara mkubwa
sawaMwanzo nilikuwa naomba kwa ku create transfer vacancy ikawa inagoma kwa kuandika "not budgeted", ila baada ya kupitia uzoefu wa watu humu nika delete ile transfer nakuomba kupitia normal transfer naona imekubali kwenda. Ngoja nijaribu kusikilizia
Si uache kazi brother? Mimi kaka yangu alikuwa kigoma dc akahamishiwa sehemu wanapaita njia za maji ndani ndani akwenda akafungua case mahakamani yuko mtaani tu.Niliajiriwa kwenye Taasisi Straight tena kwa mchujo mkali wa Written na Oral Interview.