Preba de fisica
Member
- Apr 8, 2021
- 57
- 52
🙌Hii uliokosea unatakiwaa unazanze kuomba vacancy wao wakujibu then unanze na normal transfer wamekupigia KO hapo ww umeomba normal transfer na hauna connection kwny tasisi husika
🙌Hii uliokosea unatakiwaa unazanze kuomba vacancy wao wakujibu then unanze na normal transfer wamekupigia KO hapo ww umeomba normal transfer na hauna connection kwny tasisi husika
Mimi kwa uchunguzi wangu binafsi,nimebaini vibali vinatolewa kwa first in first out(na wanajitahidi ndani ya miezi mitatu),lakini pia nadhani taasisi unayokwenda inaweza kuomba kwa KM kuharakishiwa kupelekewa mtumishi. Hili niligundua siku ambayo watu wawili kwa pamoja ninaowajua kupata kibali kwenda taasisi moja ndani ya muda mfupi na waliomba siku tofauti na wakiwa hawajuani. Na pia nimelifuatilia kwa muda mrefu.Nakubali mkuu, Kuna watu tumeomba nao JULY tayari wameshatembea. Kwa mantiki hiyo nitashindwa kuwa na Wenge..!!
Hawa UTUMISHI wangeweka sign yoyotekuonesha kibali kinakaribia kutoka
Hii Weekend nani kapata kibali jamani au weekend hawatoi..?
Hivi kuna mtu ana experience kwamba Taasisi unayotaka kuhamia wakubali kwenye Vacabcy Request halafu UTUMISHI wakatae?Mimi kwa uchunguzi wangu binafsi,nimebaini vibali vinatolewa kwa first in first out(na wanajitahidi ndani ya miezi mitatu),lakini pia nadhani taasisi unayokwenda inaweza kuomba kwa KM kuharakishiwa kupelekewa mtumishi. Hili niligundua siku ambayo watu wawili kwa pamoja ninaowajua kupata kibali kwenda taasisi moja ndani ya muda mfupi na waliomba siku tofauti na wakiwa hawajuani. Na pia nimelifuatilia kwa muda mrefu.
Yes inawezekanaMimi kwa uchunguzi wangu binafsi,nimebaini vibali vinatolewa kwa first in first out(na wanajitahidi ndani ya miezi mitatu),lakini pia nadhani taasisi unayokwenda inaweza kuomba kwa KM kuharakishiwa kupelekewa mtumishi. Hili niligundua siku ambayo watu wawili kwa pamoja ninaowajua kupata kibali kwenda taasisi moja ndani ya muda mfupi na waliomba siku tofauti na wakiwa hawajuani. Na pia nimelifuatilia kwa muda mrefu.
Sawa mkuu, Ila hii FIFO yao ina walakini kidogo. Kana mpambanaji mwezangu ombi lake lilifika Utumishi 21 June, Bado anasugua kama Mimi wa July. Wiki hii watu wa JULY wengi wametoboa wengine Bado.Mimi kwa uchunguzi wangu binafsi,nimebaini vibali vinatolewa kwa first in first out(na wanajitahidi ndani ya miezi mitatu),lakini pia nadhani taasisi unayokwenda inaweza kuomba kwa KM kuharakishiwa kupelekewa mtumishi. Hili niligundua siku ambayo watu wawili kwa pamoja ninaowajua kupata kibali kwenda taasisi moja ndani ya muda mfupi na waliomba siku tofauti na wakiwa hawajuani. Na pia nimelifuatilia kwa muda mrefu.
Ndo niende makao makuuyao au hata nikiwatumia hawa wakufunzi wakazi wa mikoani(centers)Nenda ofisi za tasisis za elimu ya wTy watu wazima anza kumuona mkuu wa idara husika wanahitaji sana wty hawa jamaa
Gusa hayo maneno ya blue "Transfer request" utakuja ukurasa ambao kwa chini kabisa utakuwa na maneno ya rangi nyekundu "withdraw request" gusa hayo maneno then fanya utakachoelekezwa,hapo utakuwa umefanikiwa kufuta ombi lako. Jaribu hilo.Ivi wakuu kuna jamaa nilianza mchakato wa kubadilisha nae ikafika hatua hiyo lakini alighairi nimepata wa kubadilishana nae mwingine lakini wananiambia haiwezekani niko na pending request sehemu ya kudelete haipo tunafanyaje hapo.
Kwenye sehemu ya Uhamisho/Transfer kule ESS, Kuna option kama nne (Maombi ya Kuhama, Maombi ya Kupata Nafasi ya Kuhamia, Maombi Mapya ya Kubadirishana na Maombi yangu ya Kubadirishana)Ivi wakuu kuna jamaa nilianza mchakato wa kubadilisha nae ikafika hatua hiyo lakini alighairi nimepata wa kubadilishana nae mwingine lakini wananiambia haiwezekani niko na pending request sehemu ya kudelete haipo tunafanyaje hapo.
Uhamisho ulikua FEKI. Huwezi kuhamisha taarifa kwenye HCMIS kabla hajathibitishwa.Kuna ajira mpya iliajiriwa mwaka jana hapa halmashauri ndani ya miezi minne ikahamia taasisi Dodoma bila hata kuthibitishwa.
Yenyewe ilihama kwa makaratasi.
Wiki iliyopita imerudi tena baada ya utumishi kuitumia barua ya kurudi kituo chake cha kazi alichoajiriwa mwanzoni.
Mkuu embu nenda Sumbawanga nasikia kuna waganga wazuri usikae kinyonge.
Wamekufanyia roho mbaya sana kumamae'
Nenda HQNdo niende makao makuuyao au hata nikiwatumia hawa wakufunzi wakazi wa mikoani(centers)
Sema huu uhamisho wko ni mtu kwny tasisi yko ndo kauchezesheHAKUNA HAJA KWA SASA NAWAPA MWAKA MMOJA MBELE, BAADA YA HAPO NASTAAFU KAZI ZAO ZA UTUMISHI ILI NIKAJIIMARISHE KWENYE BIASHARA ZANGU WABAKI NA HUO USENGEREMA WAO WA KUHAMISHA WATU TAASISI ZENYE HELA NA KUWAPELEKA HALMASHAURI ILI WAPACHIKE WATOTO WAO NA NDUGU ZAO
HUYU KM-UTUMISHI HATA AKIFA LEO HAKIKA NITAKUNYWA BEER INGAWA MIMI SIYO MLEVI KUMAMAE ZAKE
Kwa kweliSawa mkuu, Ila hii FIFO yao ina walakini kidogo. Kana mpambanaji mwezangu ombi lake lilifika Utumishi 21 June, Bado anasugua kama Mimi wa July. Wiki hii watu wa JULY wengi wametoboa wengine Bado.
Yule Uhamisho_ amejibiwa tarei 31 August lakini ombi lilifika 31 July..
Hebu tuone hii wiki, usijekuta wakatoka wa August wa JULY wanasubiri
OK sasa naomba unisaidie jambo moja endpoint mimi nikiendea na mchakato, maana nikigusa hayo maneno ya blue inaleta transfer request kwenye normal nikiendelea na mchakato, na halmashauri yangu wakapitisha kila kitu je Kibali ninaweza kukipata?Gusa hayo maneno ya blue "Transfer request" utakuja ukurasa ambao kwa chini kabisa utakuwa na maneno ya rangi nyekundu "withdraw request" gusa hayo maneno then fanya utakachoelekezwa,hapo utakuwa umefanikiwa kufuta ombi lako. Jaribu hilo.
OK sasa naomba unisaidie jambo moja endpoint mimi nikiendea na mchakato, maana nikigusa hayo maneno ya blue inaleta transfer request kwenye normal nikiendelea na mchakato, na halmashauri yangu wakapitisha kila kitu je Kibali ninaweza kukipataKwenye sehemu ya Uhamisho/Transfer kule ESS, Kuna option kama nne (Maombi ya Kuhama, Maombi ya Kupata Nafasi ya Kuhamia, Maombi Mapya ya Kubadirishana na Maombi yangu ya Kubadirishana)
Wewe hapo kati ya hayo ya Kubadirishana Kuna Moja utaona kina namba 1 mengine ya namba 0.
Gusa kwenye Hilo lenye namba 1, Kisha angalia sehemu iliyoandikwa ghairi au cancel (Huwa ina maandishi mekundu), hapo utatakiwa kuweka sababu kwanini unaghairi hayo maombi. Sababu utasema hiyo uliotushirikisha hapo. Kisha utakua umefuta hili ombi, ndio mfumo unakueuhusu kuendelea na ombi jipya, mfumo hauruhusu okbi zaid ya Moja kufanyika, mpaka liishe lililoanza au likatishwe.
Hatimaye Weekend inaishia,week end
Taratibu Mkuu wasije wakatufutia Uzi wetu, kama kuna matumizi ya Abuse language basi iondolewe hiyo au wadeal na muhusika. Uzi wetu watuachie kwani unatusaidia kupeana updates WapambanajiDuuh huu uzi hapana kwa kweli. Moderators huu uzi unaanza kuchefua kuna matumizi ya maneno makali yanayochefua wengine kinyume na sera zenu. Hebu futeni hayo maneno mabaya aisee tuendelee kujadili kwa amani.
Maxence Melo Fang Active Paw Boqin Bridger celix hebu angalieni comments no. 341, 342 and 343 na nyingine za namna hiyo.