HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Taratibu Mkuu wasije wakatufutia Uzi wetu, kama kuna matumizi ya Abuse language basi iondolewe hiyo au wadeal na muhusika. Uzi wetu watuachie kwani unatusaidia kupeana updates Wapambanaji
Nakazia
 
MIMI NIMEHAMISHWA NIKIWA PRINCIPAL OFFICER NA NILIPOHAMIA KATIKA HALMASHAURI NIMEKUWA PRINCIPAL OFFICER.

HUU NDIYO UKUMANYOKORO ANAOUFANYA KM-UTUMISHI, UNANITOA TAASISI YENYE KUNILIPA 4.5 NA ALLOWANCES ZA 2.5 HALAFU UNANIPELEKA HALMASHAURI AMBAPO HATA HUO MSHAHARA NA HIYO POSHO YA UHAMISHO WAMESHINDWA KUNILIPA NA BADO NAENDA KAZINI KILA SIKU

. NASHUKURU MUNGU NILIWEKEZA KWENYE BIASHARA ZANGU NDIYO MAANA NAWEZA SURVIVE HADI LEO HII.

MBAYA ZAIDI KINACHONIUMA NI KWAMBA ILE NAFASI NILIYOTOLEWA KAPELEKWA MTOTO WA KIGOGO SERIKALINI. MAKUMAMAYO HAWA JAMAA
Duh iyo salary hamna anae kushika halmashauri na hawazi kukushusha

Ila ungewakea ugumu ku report km hawajakulipa hela ya uhamisho
 
UTUMISHI WOTE MAKUMANYOKORO TU, MASENGEREMA NA MKUNDURU YAO.

SIKU AKIFA HUYU KM-UTUMISHI NITAKUNYWA BEER INGAWA MIMI SIYO MLEVI, "K" SANA HUYU JAMAA, UNANIAMISHA BILA TAARIFA SIJAFANYA KOSA LOLOTE UNANIPELEKA HALMASHAURI AMBAPO HADI SASA HAWAJANILIPA MSHAHARA WALA HATA FEDHA YA UHAMISHO HALAFU UNAPACHIKA MTOTO WA KIGOGO SERIKALINI KAMA MBADALA WA MIMI KUHAMISHWA

MKUNDURU WAKE
Ww jamaa utumishi hawajakosea kukupeleka Halmashauri.
 
MIMI NIMEHAMISHWA NIKIWA PRINCIPAL OFFICER NA NILIPOHAMIA KATIKA HALMASHAURI NIMEKUWA PRINCIPAL OFFICER.

HUU NDIYO UKUMANYOKORO ANAOUFANYA KM-UTUMISHI, UNANITOA TAASISI YENYE KUNILIPA 4.5 NA ALLOWANCES ZA 2.5 HALAFU UNANIPELEKA HALMASHAURI AMBAPO HATA HUO MSHAHARA NA HIYO POSHO YA UHAMISHO WAMESHINDWA KUNILIPA NA BADO NAENDA KAZINI KILA SIKU

. NASHUKURU MUNGU NILIWEKEZA KWENYE BIASHARA ZANGU NDIYO MAANA NAWEZA SURVIVE HADI LEO HII.

MBAYA ZAIDI KINACHONIUMA NI KWAMBA ILE NAFASI NILIYOTOLEWA KAPELEKWA MTOTO WA KIGOGO SERIKALINI. MAKUMAMAYO HAWA JAMAA
Duh pole sana Kwa hapo halmashauri mwenye salary scale kama yako labda DED
 
Aiseee hivi huruhusiw kugomea uhamisho wa utumishi, happ labada na weww uanze kupambana kuomba uhamisho, ila unaonekana umetokea kwenye taasisi nzuri sana ilikuwa inalipa vzur sana hata TRA hawafiki huko
Niambieni kabla sijajichanganya pale TRA yule anaeanza kazi na degree ajira mpya scale yake TRA 4 ni pesa ngapi? Hapa nilipo mimi ni senior ila sioni mbele nataka kufanya recategorization nikaanze upya maisha TRA kwa fani nyingine niliyosomea.
 
Back
Top Bottom