Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 39,203
- 79,500
Vaa viatu vyake kaka.Duuh huu uzi hapana kwa kweli. Moderators huu uzi unaanza kuchefua kuna matumizi ya maneno makali yanayochefua wengine kinyume na sera zenu. Hebu futeni hayo maneno mabaya aisee tuendelee kujadili kwa amani.
Maxence Melo Fang Active Paw Boqin Bridger celix hebu angalieni comments no. 341, 342 and 343 na nyingine za namna hiyo.
Wewe haupo TAMISEMI ndiyo sababu haumuelewi jamaa