HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sio taasisi zote ziko vizuri kuna taasisi ambazo hazina makusanyo kabisa au makusanyo yao hafifu wanategemea bajeti kutoka serikali kuu. Hizo taasisi ziogope kama ukoma utakula unga kama nyoka.
Hebu zitaje mzee tusije tukajichanganya siku ikifika ya kuweza kuhama
 
Ni kweli kabsaa mkuu kuna taasisi mishahara mikubwa ila no safari,no posho zingine ni mwendo wa kusubir basic salary yaaan mwez to mwez mbona utajuta
 
Hebu zitaje mzee tusije tukajichanganya siku ikifika ya kuweza kuhama
Hizi ninazo taja hapa nenda hazina dhiki ila zilizobaki nje ya hapo ambazo sijazitaja kuwa makini sana na fanya tafiti vya kutosha kabla ya kwenda
1. Mifuko ya hifadhi yote na bima PSSSF, NSSF, NHIF, WCF
2. Taasisi zilizo chini ya wizara ya fedha Hazina, BOT, UTT, IFM, CSMA, CAG, UTT
3. Taasisi chini ya wizara ya uchukuzi LATRA, TANROAD, TASAC, ATCL
4. Taasisi za wizara ya afya MSD, TMDA, MUHIMBILI, JKCI
5. Taasisi wizara ya mawasiliano TCRA, UCSAF, eGA
6. Taasisi wizara ya nishati na madini TPDC, PURA, TMA,
7. Taasisi wizara ya viwanda TBS, BRELA
8. Taasisi wizara ya maliasili TANAPA, NGORONGORO
9. Taasisi wizara ya elimu TEA, NECTA
10. Taasisi wizara ya Tamisemi TARURA
11. Taasisi wizara ya michezo TTB bodi ya michezo ya kubahatisha
 
Hizi ninazo taja hapa nenda hazina dhiki ila zilizobaki nje ya hapo ambazo sijazitaja kuwa makini sana na fanya tafiti vya kutosha kabla ya kwenda
1. Mifuko ya hifadhi yote na bima PSSSF, NSSF, NHIF, WCF
2. Taasisi zilizo chini ya wizara ya fedha Hazina, BOT, UTT, IFM, CSMA
3. Taasisi chini ya wizara ya uchukuzi LATRA, TANROAD, TASAC, ATCL
4. Taasisi za wizara ya afya MSD, TMDA, MUHIMBILI, JKCI
5. Taasisi wizara ya mawasiliano TCRA, UCSAF, eGA
6. Taasisi wizara ya nishati na madini TPDC, PURA, TMA,
7. Taasisi wizara ya viwanda TBS, BRELA
8. Taasisi wizara ya maliasili TANAPA, NGORONGORO
9. Taasisi wizara ya elimu TEA, NECTA
10. Taasisi wizara ya Tamisemi TARURA
Umetisha mkuu hapo namba 5 upande wa mfuko wa mawasiliano kwa wote(UCSAF) ni balaa tupu,tuliwahi shiriki nao michezo ya kuvuta kamba wote ofisi zima wana vitambi
 
Mavazi tu ya watumishi yanatosha kujua kama hii taasisi hapa nitakula maini au nitakula nyasi. Unakaa mapokezi watumishi wote wanaopita hakuna hata mmoja aliyevaa hata kiatu cha 150000 jua hapo taa nyekundu imewaka ni wewe sasa kuamua kupita au kusimama
 
Hlf tukumbushane tu wakuu,kabla ujafanya maamuzi ya kuhamia sehemu hakikisha umefanya utafiti wa kutosha uko unakotaka kuhamia kukoje??vinginevyo unaweza jutia kwa nn ulifanya uamuzi wa kuhama
NB:uhamisho ni haki ya mtumishi
 
Hizi ninazo taja hapa nenda hazina dhiki ila zilizobaki nje ya hapo ambazo sijazitaja kuwa makini sana na fanya tafiti vya kutosha kabla ya kwenda
1. Mifuko ya hifadhi yote na bima PSSSF, NSSF, NHIF, WCF
2. Taasisi zilizo chini ya wizara ya fedha Hazina, BOT, UTT, IFM, CSMA
3. Taasisi chini ya wizara ya uchukuzi LATRA, TANROAD, TASAC, ATCL
4. Taasisi za wizara ya afya MSD, TMDA, MUHIMBILI, JKCI
5. Taasisi wizara ya mawasiliano TCRA, UCSAF, eGA
6. Taasisi wizara ya nishati na madini TPDC, PURA, TMA,
7. Taasisi wizara ya viwanda TBS, BRELA
8. Taasisi wizara ya maliasili TANAPA, NGORONGORO
9. Taasisi wizara ya elimu TEA, NECTA
10. Taasisi wizara ya Tamisemi TARURA
Kuna taasisi zipo hapo umezitaja, ni njaa tupu, kila siku watumishi wanazikimbia. Kuna zingine upo sawa

Kuna watu kama NAOT, hujawataja ila hawana njaa.
 
Shukrani chief
 
TARURA wanalia kilio cha kusaga meno sa hivi,waombe ROAD FUND kieleweke.La sivyo sio sehemu ya kukimbilia
 
Kuna taasisi zipo hapo umezitaja, ni njaa tupu, kila siku watumishi wanazikimbia. Kuna zingine upo sawa

Kuna watu kama NAOT, hujawataja ila hawana njaa.
NAOT mshahara ni kama Halmashauri tu,tofauti wao NAOT wanapewa posho nyingi za kufanya kazi za nje na pia wanalambishwa sana asali huko wanakoenda kukagua.
 
Niliomba transfer kupitia dirisha la vacancy.

Wiki iliyopita nimejibiwa hivi:

Your transfer vacancy request is ACCEPTED. You can initiate transfer out request to desired authority.

Kwenye comments:
System auto-accepted Vacancy Request after exceeding 10 days without action at Destination Accounting Officer stage".

Je kuna matumaini yoyote hapo, ukizingatia imejibiwa automatically tu?

Liverpool VPN Uhamisho_
Babu jibu umegewa wiki iliyopita hadi leo unajiuliza cha kufanya?

We fanya tu hiyo kuomba transfer mengine yatajulikana mbele
 
WAKUU KAMA HIVI VIBALI VINATOKA KWA MFUMO KWANINI VINACHELEWA HIVI..?

Yaah suala la ku-click tu option ya GRANTED ndio ichukuwe miezi miwili hadi mitatu. Ku-click tu si naweza kutoa kwa siku hadi maombi zaidi ya 20,000

Yaani tufanye Afisa anaanza kazi saa 2:00 Asubuhi hadi 9:30 jioni.
Hapo JUMLA ni masaa 7 na dk 30 anafanyakazi,
Tutoe saa 1 ya Kula (yaan dk 30 Breakfast na 30 lunch)
Sasa yatabaki masaa 6 na dk 30
6.5×60×60 = 23,400
(Tufanye Kila sekunde 1 anafanyia kazi ombi 1)
Kwa mantiki hiyo kwa siku Moja Afisa mmoja tu anaweza kufanyiwa kazi maombi ya uhamisho 23,400 sasa je wakiwa wapo 10..?

Hii nashindwa kuelewaaa kwa kweli..
 
Back
Top Bottom