HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hlf kwa jinsi mfumo ulivyo,kama nafasi haiko budgeted au kwa sababu nyingine yeyote inakukatalia mapema kabsaa wakati wa kuomba vacancy request kabla ya hatua inayofuata ya kuinitiate transfer request
Hata kama imepita automatically?
 
Babu jibu umegewa wiki iliyopita hadi leo unajiuliza cha kufanya?

We fanya tu hiyo kuomba transfer mengine yatajulikana mbele
Nilishaomba sikupoteza hata dakika 5 mkuu.

Hapa nimeuliza nikitaka kufahamishwa nimepiga hatua kiasi gani, kama matumaini yapo makubwa, ya wastani au bado zero.
 
Ubaya wa auto unashangaa ukianza pale kwenye transfer inakwambia maybe not budgeted au hakuna nafasi,maana si inakua imepita tu automatically bila kuconfirm kama nafasi kweli ipo.
Na hapo ndipo wasiwasi wangu ulipo
 
Wakuu mimi nataka kujaribu UCSAF au TPDC, yupi yuko vyema zaid kuliko mwenzake...?
 
NIMEFUATILIA LENGO ILIKUWA KUMPACHIKA MTOTO WA KIGOGO SERIKALINI, SASA KAMA HIYO NDIYO SABABU KWANINI WANIPELEKE HALMASHAURI???

MIMI SIKATAI KUHAMA ILA HUWEZI KUNIHAMISHA KATIKA HALMASHAURI AMBAYO HAITOI HATA ALLOWANCES WAKATI NILIPOKUWEPO NILIKUWA NAPATA ALLOWANCES KILA MWEZI 2.5 MILIONI

HALAFU MBAYA ZAIDI HUU MWEZI WA NANE SIJALIPWA MSHAHARA TANGU NIHAMISHWE HATA HIYO STAHIKI YA UHAMISHO PIA WAMESHINDWA KUNILIPA KIASI CHA MILILIONI 12 SIJALIPWA HADI LEO NA BADO KAZINI KILA SIKU NAENDA

MPAKA HEAD WA HR WA HALMASHAURI ANANIULIZA NIMEMKOSEA NINI KM-UTUMISHI, KWANINI ASINIPELEKE TAASISI YENYE MFANANO WA MSHAHARA NA ALLOWANCES AU YENYE KULIPA VIZURI KULIKO HII NILIYOTOKA.

HAWA UTUMISHI MIMI WATANISAMEHE SANA, HUYU KM-UTUMISHI AKIFA LEO MIMI NITAFURAHI NITAKUNYWA BEER INGAWA MIMI SIYO MLEVI.

SORRY TO SAY THIS, HAWA JAMAA NI MAKUMANYORO TU, WASENGEREMA NA MIKUNDURU YAO, HAPA NAWAPW MWAKA MMOJA TU NASTAAFU UTUMISHI NAENDA KUIMARISHA BIASHARA ZANGU PINDI WATAKAPONILIPA MALIMBIKIZO YANGU YA MISHAHARA NA STAHIKI ZANGU ZA UHAMISHO NA KUJILIPUA KUCHUKUA MKOPO MKUBWA BAADA YA HAPO NAPIGA CHINI KAZI NA HUO MKOPO WATALIPA WENYEWE
Wanasiasa ndiyo maamuzi yao , nawachukia vibaya mno.
 
Nataka kuchagua sehemu moja niwekeze nguvu huko tu kaka, ndio maana nataka kufahamu wapi kuna maslahi mazuri
Mimi ningeenda hukohuko TPDC wnakosifia wadau. Sema we jamaa utakuwa una Connection mnato sana isiyoachia kabisa..😁
 
Back
Top Bottom