HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hivi Kuna mtu ombi lake lilifika Utumishi toka JUNE na Bado hajapata kibali..?
 
MKUU WATU TUMEHAMISHWA KIBABE HATA HIYO KUOMBA KUHAMISHWA HATUKUOMBA KUHAMA

YAANI MPAKA UPATE UHAMISHO SEHEMU NZURI TAMBUA LAZIMA KM-UTUMISHI AMTOE MTU KIBABE KWA BARUA YA KURASA MBILI TU, BAADA YA HAPO ANASOGEZWA MTU MWINGINE MTOTO WA SHANGAZI AU MJOMBA

USIFURAHIE SANA KUHAMIA SEHEMU NZURI, UKIONA UMEHAMIA SEHEMU NZURI TAMBUA KUNA MTU KATOLEWA KWA MANUNG'UNIKO SANA TENA KAPELEKWA PORINI TAMISEMI TENA HALMASHAURI YA PORINI HUKO YAANI KILA KITU NI KIGUMU MPAKA MAISHA NI MAGUMU
Ndio kufa kufaana huko sasa. Hata hao wanaofanya halmashauri hawafurahii, hivyo akipata chance ya kwenda pazuri lazima afurahi.
 
Hivi Kuna mtu ombi lake lilifika Utumishi toka JUNE na Bado hajapata kibali..?
Wapo wengi mbona nasikia ukipiga simu wanasema katibu mkuu utumishi aliidhinisha mara ya mwisho January 29.. kwahiyo kwa mujibu wao vibali vya uhamisho bado hawajaidhinisha.
 
Wataalamu mnivushe hapa ajira ya 2022 anapanda daraja mwakani 1/7/2027 ni mwalimu Sasa kaanza mchakato tamisemi uhamisho wa kubadilishana anatarajia desemba utakuwa umefika TAMISEMI ila amesikia fununu kwamba ukipewa barua ya uhamisho TU scores zako zinasoma 0% hata jamiiforums walipost kule Instagram, Sasa endapo akipewa barua ya uhamisho mwakani mwezi 3/6 chance yake ya kupanda daraja itakuwaje?
Nasubiria jibu
 
Hapana mkuu, Mimi nilienda kwenye mamlaka ambayo nataka kuhamia kuulizia kama nafasi ipo, wakanijibu kuwa niandike barua kisha wakajibu kuwa kuna nafasi ya senior Engineer II. Nikaandika barua kwa KM kuomba uhamisho kwenda huko na kuambatanisha ile barua kama attachment. Baada ya 40 days nikaona barua na APPROVED status.
Samahani kwahii njia nikwamba unatakiwa uendee makao makuu ya taasisi usika kuulizia nafasi au niofisi yeyote ya taasisi?
 
Nimekutana na muuguzi aliajiriwa 2022 June hajapanda daraja.

Ila huyu muuguzi alikuja na afisa lishe, huyu afisa lishe kapanda daraja.

Nimekutana na mwalimu wa mwaka huo na mwezi huo kashapanda.

Watu watatu ninaowajua wawili wamepanda na mmoja hajapanda. Halmashauri moja na wamekuja muda sawa.

Ndiyo naona na wewe unasema mwalimu wa 2022 atapanda 2027 hiyo si itakua miaka 5? Au muundo wa walimu wao wanapandaje?
Ninachojua Ajira Mpya huwa ni miaka mi5 regardless ni kada gani!? Ila baada ya hapo ndio miaka mi3
 
Hivi kuna uwezekano barua ya uhamisho ikatoka utumish kuwa umehamishiwa taasis fulan afu bado taasisi yako wakakuzuia kuondoka...?
Hapo muajiri akipata barua Yako alafu akawareply kua anaupungufu imekula kwako😂
 
Back
Top Bottom