HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
UTUMISHI MAKUMANYORO TU, UNAMUHAMISHA MTU BILA TAARIFA ILI WAPACHIKE WATU WAO.

WEWE JUA TU KATIKA TRANSFER ZOTE ZA UTUMISHI WANAZOFANYA LAZIMA WALE WALIOHAMISHWA WATAKUWA WANAMAUMIVU KULIKO WANAOHAMIA
AMBAO WAO WANAJIONA WAMEPATA NEEMA KUMBE WAMEENDA KUPORA NEEMA ZA WATU WALIOHAMISHWA

FIKIRIA UNAHAMISHWA KUTOKA TPDC, EWURA, NSSF, TCRA, PSSSF, ETC SEHEMU UNAYOLIPWA ALLOWANCES MILIONI 2-3 HALAFU UNAPELEKWA HALMASHAURI AMBAPO UNAAMBULIA BASIC SALARY TU.

HALAFU UHAMISHO UNAKUJA BILA TAARIFA, LENGO NI KUPACHIKA WATOTO WAO AU WATOTO WA VIGOGO

HALAFU HUKO UNAPOENDA UNAKAA MIEZI YA 7-10 HUPATI HUO MSHAHARA WALA POSHO YA UHAMISHO, NA KILA SIKU UNAENDA KAZINI.

KM-UTUMISHI UTANISAMEHE, WEWE NI KUMANYOKORO TU, WATUMISHI WAMEKUKOSEA NINI KWENYE TAASISI ZINAZOLIPA VIZURI HADI UWAPELEKE HALMASHAURI AU TAASISI ZENYE NJAA KALI

MKUNDURU WAKO
Tungi limekuponza😂
 
Ninachojua Ajira Mpya huwa ni miaka mi5 regardless ni kada gani!? Ila baada ya hapo ndio miaka mi3
Mwaka mmoja wa kuthibitishwa.

Miaka mitatu ya kutumikia cheo.

Miaka mitatu ya kutumikia cheo jumlisha mwaka mmoja wa kuthibitishwa inakua jumla minne.

Ni sahihi kuona anapanda mwaka wa 5 kwa hesabu hii ila kwa ambao tunatumia kalenda ya mwaka wa fedha maana yake mwaka wa tatu wa kutumikia cheo kwa aliyeajiriwa June 2022 utakamilika June 2026.

Ikifika July 2026, ambayo ni kalenda ya mwaka wa fedha mpya huyu mtu inabidi aanze na daraja jipya.

Hii ni kwa mujibu wa hesabu nilizopigiwa na jamaa waliopanda.
 
Ninachojua Ajira Mpya huwa ni miaka mi5 regardless ni kada gani!? Ila baada ya hapo ndio miaka mi3
Sio miiaka 5 chief,ni miaka 4 ila wanaangalia mwaka wa fedha uliaojiriwa,inawezekana uliajiriwa 2022 mwezi wa 8 na mwingine 2022 mwezi wa 5 hawa watapanfa daraja miaka tofauti huyu wa mwezi 8 ,2022 atapanda mwaka 2027 kwa sababu aliajiriwa 2022/2023 na aliyeajiriwa mwezi 5,2022 atapanda daraja 2026 kwa sababu aliajiriwa mwaka wa fedha 2021/2022
Bila shaka imeeleweka
 
Nimekutana na muuguzi aliajiriwa 2022 June hajapanda daraja.

Ila huyu muuguzi alikuja na afisa lishe, huyu afisa lishe kapanda daraja.

Nimekutana na mwalimu wa mwaka huo na mwezi huo kashapanda.

Watu watatu ninaowajua wawili wamepanda na mmoja hajapanda. Halmashauri moja na wamekuja muda sawa.

Ndiyo naona na wewe unasema mwalimu wa 2022 atapanda 2027 hiyo si itakua miaka 5? Au muundo wa walimu wao wanapandaje?
Sio miiaka 5 chief,ni miaka 4 ila wanaangalia mwaka wa fedha uliaojiriwa,inawezekana uliajiriwa 2022 mwezi wa 8 na mwingine 2022 mwezi wa 5 hawa watapanfa daraja miaka tofauti huyu wa mwezi 8 ,2022 atapanda mwaka 2027 kwa sababu aliajiriwa 2022/2023 na aliyeajiriwa mwezi 5,2022 atapanda daraja 2026 kwa sababu aliajiriwa mwaka wa fedha 2021/2022
Bila shaka imeeleweka
 
Nyinyi jamaa mpo level ya kusubiri majibu na mna wasiwasi hivi mmetuwazia ambao ess inakuambia haujatimiza miaka 3? 😅

Siyo hivyo tu, na hata miaka 3 ikitimia najua nitakutana na changamoto aliyopost jamaa hapo ya "staff deficit" kwakua sisi tupo wawili tu na mwongozo unataka tuwe angalau 15.

Sasa shida ni maslahi, roho mbaya na kukua career wise. Mimi nimetoka private so kuna attitude fulani nilikuja nayo serikalini lakini kwa hapa nilipo hapana kubababake.
Hivi ESS wanavyokuandikia hujatimiza miaka 3 ni pamoja na ule wakuthibitishwa au?
 
Sio miiaka 5 chief,ni miaka 4 ila wanaangalia mwaka wa fedha uliaojiriwa,inawezekana uliajiriwa 2022 mwezi wa 8 na mwingine 2022 mwezi wa 5 hawa watapanfa daraja miaka tofauti huyu wa mwezi 8 ,2022 atapanda mwaka 2027 kwa sababu aliajiriwa 2022/2023 na aliyeajiriwa mwezi 5,2022 atapanda daraja 2026 kwa sababu aliajiriwa mwaka wa fedha 2021/2022
Bila shaka imeeleweka
Huwezi amini hichi ulichoandika akili yangu inaniambia nimeandika hichi hichi.

Shukrani kwa ufafanuzi chief
 
Hivi ESS wanavyokuandikia hujatimiza miaka 3 ni pamoja na ule wakuthibitishwa au?
Haya mambo ya mwaka wa kuthibitishwa ndio yanawachanganya watu. Sasa sikia nikwambie Mimi. Achana kabisa na kumbukumbu za kuthibitishwa we chukuwa tarehe uliajiriwa rasmi halafu hesabu miaka mitatu(3) yaaani kama umeajiriwa 11/09/2023 leo hii tarehe 11/09/2026 uko legal kuomba uhamisho kwenye mfumo na mfumo unakuruhusu bila shida.
Hii mada naomba iishie hapa coz nishafunga mjadala,, Watu tuko bize kusubiri vibali. Mkuu kipenseli2021 leta updates za vibali sasa😁
 
Back
Top Bottom